The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Sawa Mkuu umejitahidi ,

Lakini!!!! Hao watoto Maskini, kwenye Utangulizi wa Bandiko lako! wanadhihirisha nini?

Kwa nini wapo hapo? na hawana uhusiano na ulicho kiandika. au unamaanisha wazazi wao weusi (waafrica) hawakujua kusudi la kuwazaa?

Kwa nini umetuonyeshea watoto maskini kwenye akili zetu? tena wana masikitiko?

Wana dalili zote za uyatima hawa, Mkubwa kambeba mdogo! anakovu takoni tena yu uchi, wachafu, wako peku, kigodoro kichafu, wanamikamasi, wamekata tamaa, wanakula kutumia mkopo mbaya km wa kuchambia chooni, wana huzuni, je Mr Mzungu unaifurahia hii picha ya watoto wenye hali hii? kwa nini africa weusi? unaamini tunafurahia?

Umepataje ridhaa yao? au ya wazazi wao? Mbaya zaidi ni waafrica- weusi km tulivo wengi humu, ina maana gani kwa sisi wazazi wa ki-Africa, tuseme Kwa sababu labda Yesu ni Mzungu, basi hukutaka kudhalilisha rangi yake?,

Ila Nyani weusi, ( siyo maneno yangu, ndivo mnavotuita sometimes mnaturushia ndizi) watumwa wenu Rukhsa! unaweka utakavyo bila kujali itawaliza wangapi. hata chembe ya huzuni huna Mkuu?

Kwa nini hukuweka ya watoto wazungu km wewe mwenyewe? nijuavyo mimi wewe ni Mzungu- Pure, japo sijui ni wa Ulaya nchi gani, ila jina -Da' Vinci linasadifu wewe ni mzungu, Avatar yako pia ni ya Mzungu.

Siyo kama African's avatar ya Tata Nyarusare Ruya Nyamtibhita!. Nyie wazungu bana sijui tuliwakosea nini, kwa ubaguzi na madharau mmekubuhu tena, kukomesha hii ubaguzi Duniani ni kama udongo na chuma kamwe havichangamani. ki ukweli nimeumia sana,

Mkuu Jipimie mwenyewe wewe ni nani!!! au tukuiteje, na Naomba ufafanuzi.
Mkuu haya ya kuhusu kuwadahrau watoto weusi umeyatoa wapi??
lakini pia wapi nimesema kwamba mimi ni mzungu???????
 
Mkuu haya ya kuhusu kuwadahrau watoto weusi umeyatoa wapi??
lakini pia wapi nimesema kwamba mimi ni mzungu???????
Nimetoa kwenye Bandiko lako Mkuu.
wapi umesema? rudia kusoma nimeelezea'

matusi ya kijana.jpg
Stop Bullying, it's self inflicted, no one deserve to feel worthless. Personally!!!. Am valuable precious treasure, dan any useless flocks can think of!
mungu gani umesema tumuombe na matusi + kutukanwa juu? Mungu ana jazba? jibu swali!!, awali sijatoa lugha ya matusi mimimatusi ya kijana.jpg
 
Nimetoa kwenye Bandiko lako Mkuu.
wapi umesema? rudia kusoma nimeelezea'

View attachment 1547076Stop Bullying, it's self inflicted, no one deserve to feel worthless. Personally!!!. Am valuable precious treasure, dan any useless flocks can think of!
mungu gani umesema tumuombe na matusi + kutukanwa juu? Mungu ana jazba? jibu swali!!, awali sijatoa lugha ya matusi mimiView attachment 1547076
I'm fully black kiroho na kimwili..
Lakini mm sijatukana mbona mkuu.pia kuhusu signature sio vizuri kujiona bora na kujikweza
 
ufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake..

Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona).

Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa mpaka utimize( nitimize) kile ulichopangwa (nilichopangiwa)kukifanya katika quanta times( muda uliogawanyika ili kila kitu kifanyike kwa wakati maalumu kulingana na kukomaa kwa ufahamu wa mind yako)

Ni Saikolojia pana sana kuelewa hii dhana.. ila ukweli ni kwamba upo peke yako katika ulimwengu huu.. the other (people) and suroundings are just your personal aspects of personality(ideological view of manifestation)..

Ngumu kuelewa hapa...

but you are just alone in this universe ndo mana life pathy yako ni tofauti na ya mwingine (ulimwenguni kote)..

This is the matrix of your life... you are living alone and the manifestation of your ideas is that created following your idea of perception.

Your body(avotor) is just interacting with your own manifestation za kile mind yako iliwaza kipindi cha nyuma..

Tafuta muda kaaa peke yako halafu utafakari juu ya interactiom yote unayoipata ,utagundua kuwa ni product ya your own perception ambayo imezaa manifestation katika creation form ..

Kaa alone ufikirie kuwa kwanini hapa duniani pattern yote ya manifestation inaihusisha mind yako kwa asilimia 100!!! namanisha kwanini huwezi ishi kwa mbinu anazotumia mwingine?!! lazima mtatofautiana mtizamo na jinsi ya kumanifest mambo..



Kila unachokiona ni matokeo ya your own perception of ideas that turns into physical manifestation..

Ulimwengu ni wewe mwenyewe and nothing else...

The entire population of different things you interact is just a product of your every idea you had before today..

Kila wazo unalolipata sasa hivi linajenga manifestation badae na hii inategemeana na frequency ya vibration ya wazo lako katika kusynchronize na universal pattern of true nature on reality.

........... ndo mana time manifestation inatofationa na frequency inayopresent idea yako...

Hutakuja kuishi out of your own imagination..

And this is the game life-trick ambayo watu mabilioni bado hawajaijua...

If you change your idea from today hakika hata manifestation ya kitu chochote utakachointeract nacho kitabadirika na matokeo ni jinsi mind yako ilikichukulia kwa vibration frequency flani.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji101][emoji101]

""(vibration frequency ikiwa kubwa ndipo time manifestaion inakuwa short hence kinawahi kuonekana katika physical reality na kama vibration frequency ni ndogo hata time manifestation inakuwa ndefu hence kitachukua muda kuja kuonekana katika physical reality.. but kila wazo kichwani mwako one day menifestation into physical reality itakuja kuonekana)"""

Hapo ndo tunapata tafsiri sahihi ya usemi wa yule paka wa Schrödinger kuwa kuna option mbili au nne za kumwelezea paka akiwa ndani ya box..

Paka aliyeko ndani ya box anaweza kuwa hai au kafa kama utachukua maamuzi ya kumwangalia....usipomwangalia hakuna jibu sahihi hapo ila mpaka utakapochungulia ndo yes au no ila probability ni 0.5 kuwa paka yule kafa ndani ya box au yu mzima[emoji4]

Mpaka leo ni magwiji wachache sana wameelewa juu ya tafsiri halisi ya ile paradoxy katika quantum level... ukiwa na brain ya sisimizi hutaelewa jamaa alikuwa ana maana gani..( maybe somedays i wana make this clear juu ya paradoxy ya yule paka anapresent nini katika quantum level of awareness..

Katika maisha haya ,manifestation ya kitu chochote katika macho ya kuonekana inategemea na kama idea yake umeipresent kwenye subconscious mind yako au laaa...

kitu chochote kitaonekana katika mazingira ya kawaida kama tayari kilikuwa kishaongelewa kichwani( fikirika)

Hakitaonekana kamwe kama utakuwa hujakifikiria kwenye mind yako..[emoji3447]

Manake nini chochote kile unachointeract nacho iwe ni watu, miti wanyama au kitu chochote jua ni product ya mind creation uliyonayo...

Kama kila kinachoonekana duniani hapa ni matokeo ya perception zako basi amini upo alone katika ulimwengu huu na hapo ndo tunasema you are the creator of your own destiny...

Sory naweza kuwa nimepresent kitu tofauti na lengo lako ..sory mkuu [emoji122][emoji122]
Shukran mkuu umezidi kutufungua
 
Shukran Kaka andiko lako umegusa maisha yetu moja kwa moja.... Binafsi uwanikiona thread yeyote uliyo andika wewe uwa ni razma niisoma maana uwa inaleta matokeo chanya baada ya kuisoma... Be blessed
 
Shukran Kaka andiko lako umegusa maisha yetu moja kwa moja.... Binafsi uwanikiona thread yeyote uliyo andika wewe uwa ni razma niisoma maana uwa inaleta matokeo chanya baada ya kuisoma... Be blessed
Ahsante sana kiongozi napata faraja nikiona mwasoma maandiko yamgu ma kupata kitu kipya
Much bless to you mate 🙏🙏
 
Nini tofauti ya kifo na mauti?
Kifo inakua ni ile hali ya roho kuacha mwili, lakini mauti uki refer biblia mauti tunaweza sema kama ni kitendo cha mtu kufa kiroho. Anakua hahofu tena kesho yake anaishi kwa misingi aliyojiwekea sio kwa misingi ya Muumba. Pia mauti ya roho ni hali ya kuukosa uzima wa milele baada ya kifo
 
Yap nimejazia wapate na power of the tongue
Screenshot_20200814-174627.jpg
 
When the inner voice start to whisper to follow the furthest star. That voice inside is who you are

Ahsantee kwa maada nzuri, mie nimekuwa na tatizo sijui kama nitaeleweka vyema au lah maana sio mzuri sana kwenye uandishi. Kuna wakati nilikuwa katika mahusiano Nafsi yangu ilikuwa haina wasi wasi na wala sikuwahi kuwaza kama kutakuja kutokea yaliyotokea mbeleni, na kile kipindi kiukweli niliumizwa baada ya huyo mtu kurudiana na ex wake na tayari nilikuwa nimemuamini. Lakini zamu hii tena nafsi yangu inakua na wasi wasi sana juu ya mahusiano yangu niliyopo ijapokuwa nipo kwenye taratibu za kumuoa ila kuna muda nakuwa na hofu sana. Sasa naomba unisaidie, nawezaje kuitifautisha hofu inayokuja kwa sababu ya past experience na ile hofu inayokuja kutoka kwenye self concept ??? Msaada hapo mkuu. Utaniwia radhi kama nimetoka nje ya maada
 
Ahsantee kwa maada nzuri, mie nimekuwa na tatizo sijui kama nitaeleweka vyema au lah maana sio mzuri sana kwenye uandishi. Kuna wakati nilikuwa katika mahusiano Nafsi yangu ilikuwa haina wasi wasi na wala sikuwahi kuwaza kama kutakuja kutokea yaliyotokea mbeleni, na kile kipindi kiukweli niliumizwa baada ya huyo mtu kurudiana na ex wake na tayari nilikuwa nimemuamini. Lakini zamu hii tena nafsi yangu inakua na wasi wasi sana juu ya mahusiano yangu niliyopo ijapokuwa nipo kwenye taratibu za kumuoa ila kuna muda nakuwa na hofu sana. Sasa naomba unisaidie, nawezaje kuitifautisha hofu inayokuja kwa sababu ya past experience na ile hofu inayokuja kutoka kwenye self concept ??? Msaada hapo mkuu. Utaniwia radhi kama nimetoka nje ya maada
Uliza lolote tu mkuu wala usihofu tupo hapa kujifunza.
Hiyo hofu unayoisikia ndani mwako kuna mawili..
✓Ni self-defense nafsi yako inatengeza ili usijepata maumivu tena kama uliyoyapata nyuma. Hivyo inafanya hivo kukulinda yasikukute mabaya. So inawezekana ni hofu tu iliyotengenezwa ila hakuna ukweli.. since we create our own demons in the mind wakati kiuhalisia hakuna demons.
✓Inawezekana kabisa nafsi yako ishatambua kuna hatari huko mbele na inajaribu kukuonya..

👉👉🏼Nini kifanyike..?

Usidharau onyo lolote unalopewa na sauti ya ndani yako, cha kufanya anza kuchunguza taratibu na kuweka mipango ya kuthibitisha kama kuna penzi kweli hapo au unachezewa
 
Back
Top Bottom