The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Mkuu haya ya kuhusu kuwadahrau watoto weusi umeyatoa wapi??
lakini pia wapi nimesema kwamba mimi ni mzungu???????
 
Mkuu haya ya kuhusu kuwadahrau watoto weusi umeyatoa wapi??
lakini pia wapi nimesema kwamba mimi ni mzungu???????
Nimetoa kwenye Bandiko lako Mkuu.
wapi umesema? rudia kusoma nimeelezea'

Stop Bullying, it's self inflicted, no one deserve to feel worthless. Personally!!!. Am valuable precious treasure, dan any useless flocks can think of!
mungu gani umesema tumuombe na matusi + kutukanwa juu? Mungu ana jazba? jibu swali!!, awali sijatoa lugha ya matusi mimi
 
I'm fully black kiroho na kimwili..
Lakini mm sijatukana mbona mkuu.pia kuhusu signature sio vizuri kujiona bora na kujikweza
 
I'm fully black kiroho na kimwili..
Lakini mm sijatukana mbona mkuu.pia kuhusu signature sio vizuri kujiona bora na kujikweza
Sincerely sorry Mkuu, km ni signature, but nomba uiangalie upya km ikikupendeza.
 
Shukran mkuu umezidi kutufungua
 
Shukran Kaka andiko lako umegusa maisha yetu moja kwa moja.... Binafsi uwanikiona thread yeyote uliyo andika wewe uwa ni razma niisoma maana uwa inaleta matokeo chanya baada ya kuisoma... Be blessed
 
Shukran Kaka andiko lako umegusa maisha yetu moja kwa moja.... Binafsi uwanikiona thread yeyote uliyo andika wewe uwa ni razma niisoma maana uwa inaleta matokeo chanya baada ya kuisoma... Be blessed
Ahsante sana kiongozi napata faraja nikiona mwasoma maandiko yamgu ma kupata kitu kipya
Much bless to you mate 🙏🙏
 
Nini tofauti ya kifo na mauti?
Kifo inakua ni ile hali ya roho kuacha mwili, lakini mauti uki refer biblia mauti tunaweza sema kama ni kitendo cha mtu kufa kiroho. Anakua hahofu tena kesho yake anaishi kwa misingi aliyojiwekea sio kwa misingi ya Muumba. Pia mauti ya roho ni hali ya kuukosa uzima wa milele baada ya kifo
 
Yap nimejazia wapate na power of the tongue
 
Imenyooka, shukurani nimepata kitu hapa.
 
When the inner voice start to whisper to follow the furthest star. That voice inside is who you are

Ahsantee kwa maada nzuri, mie nimekuwa na tatizo sijui kama nitaeleweka vyema au lah maana sio mzuri sana kwenye uandishi. Kuna wakati nilikuwa katika mahusiano Nafsi yangu ilikuwa haina wasi wasi na wala sikuwahi kuwaza kama kutakuja kutokea yaliyotokea mbeleni, na kile kipindi kiukweli niliumizwa baada ya huyo mtu kurudiana na ex wake na tayari nilikuwa nimemuamini. Lakini zamu hii tena nafsi yangu inakua na wasi wasi sana juu ya mahusiano yangu niliyopo ijapokuwa nipo kwenye taratibu za kumuoa ila kuna muda nakuwa na hofu sana. Sasa naomba unisaidie, nawezaje kuitifautisha hofu inayokuja kwa sababu ya past experience na ile hofu inayokuja kutoka kwenye self concept ??? Msaada hapo mkuu. Utaniwia radhi kama nimetoka nje ya maada
 
Uliza lolote tu mkuu wala usihofu tupo hapa kujifunza.
Hiyo hofu unayoisikia ndani mwako kuna mawili..
✓Ni self-defense nafsi yako inatengeza ili usijepata maumivu tena kama uliyoyapata nyuma. Hivyo inafanya hivo kukulinda yasikukute mabaya. So inawezekana ni hofu tu iliyotengenezwa ila hakuna ukweli.. since we create our own demons in the mind wakati kiuhalisia hakuna demons.
✓Inawezekana kabisa nafsi yako ishatambua kuna hatari huko mbele na inajaribu kukuonya..

👉👉🏼Nini kifanyike..?

Usidharau onyo lolote unalopewa na sauti ya ndani yako, cha kufanya anza kuchunguza taratibu na kuweka mipango ya kuthibitisha kama kuna penzi kweli hapo au unachezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…