The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu


Ahsantee mkuu kwa jibu
 
Kwa yogis wenzangi hii inaitwa Divine Sound na mshirika wake ni Mwanga wa Milele yaani Divine Light.

Purpose ya Maisha ni Moja tuu. Zingine ni makoseo ya True Purpose.
 
Mada nzuri sana hii,hizi ni moja ya mada ambazo haziwezi ku expire,kila siku zinakuwa mpya...
 
Yes a life of purpose but what purpose.Purposes ziko mbili tu,for God or Satan na hizi purposes zote mbili zina a silent voice!For Gods' purpose is the Holy Spirit and for Satan is the voice of Satan or his Demons.Ni nani ambaye ana Roho Mtakatifu?Ni Mwana wa Mungu tuu,yaani yule ambaye amempokea Bwana Yesu kuwa Mwokozi wa maisha yake.The rest itakuwa whispers of satanic entities.
 
Hiyo isikusumbue sana mkuu,kwa kuwa katika matamanio yako hayo unaweza kumkosea Mungu.Remember God does not concern Himself with what you do to the World in pride,but rather what you do to him and others in Agape love.Ishi maisha matakatifu,kama unaweza kuwafanyia cho chote wanadamu wenzio do it,but in Agape love,kama huwezi jizatiti kumpendeza Mungu.
 
Huku ni kupunguza utukufu wa Mungu. Hakunaga vitu viwili au nguvu mbili. Hapa kuna Mungu tuu. You and everythings sorrounds you, are part of One, the almight God. Na upo hapa kuushuhudia ukweli huu na kuukubali. That is the purpose of life. Mapungufu yote uyapatayo ni darasa iliujifunze mpaka pale utakapobarikiwa kugundua ukweli. Only that you are looking for answer of life in wrong directions, the outside, to the space, science, books bad enough using your limited mind. The answer is just there with you, in you.
 
Sahihi.. Shetani na Mungu zote sauti zao ni silently. Ila utazitofautisha kwa sababu Devil's voice ina Command utende kitu ila God's voice ina please utende kitu fulani.
Lakini hata ambao hawajampokea still bado roho wa Mungu huja kuwakumbusha mkuu
Hizo sauti japo ni tofauti lakini kwa usikivu wenye concetration utagundua zime originate from one source, hiyo source inabadilika frequency kuwa fine and deeper zaidi ya namna saba. Hii sauti ina faida sana kwa nafsi yako hasa kupata self realization.

Mungu alisema NENO na kila kitu kikawa on past tense, but kwenye moment, Anasema na kilakitu kinakuwa.

Source: Yogi nafanya meditation ya Devine Lights and and Devine Sound.
 
Ni kweli mkuu, ila nadhani hizi sauti zipo mbili, maana ilpo ile inayokushauri mazuri na ile inayokushauri maovu. Na wakati mwengine kabla ya kufikia hatua ya kutaka kutenda jambo eidha ovu ama zuri hizi sauti hukinzana, na moja kuibuka mshindi, ndipo unaona mtu amefanya tukio fulani......
 
Wewe mkuu unamuamini Mungu kweli?Mbona Biblia iko wazi sana kuhusu the two opposing forces.Go back and read the Bible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…