The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

hii imetulia sana na inaamsha hali ya upambanaji na kupata imani....hii inaweza elekezwa labda kwenye graduation za vyuo na sehemu kubwa za ujasiriamali maana imejaa quality kubwa
Usiniambie nimefika level hiyo asee..
Ahsante sana mkuu..More bless
 
Usiniambie nimefika level hiyo asee..
Ahsante sana mkuu..More bless
Umefika mkuu hii ni zaidi ya motivational talk maana hii inaingia ndani ya mtu kujua purpose yetu na jinsi ya kuchagua matukio yetu kwa kutumia hii smart voice ndani yetu...
 
Yaani umeandika vitu vya msingi Sana ambavyo kila binadamu angetakiwa avijue na kuvielewa Asante, Mimi nna mazoea ya kusikiliza Sana sauti ya ndani kwasababu naamini ni sauti ya Mungu lakini hapo kwenye kujua kusudi langu nakua very confused hata sijui ni nini hasa kusudi langu
 
Yan umeandika vitu vya msingi Sana ambavyo kila binadamu angetakiwa avijue na kuvielewa Asante, Mimi nna mazoea ya kusikiliza Sana sauti ya ndani kwasababu naamini ni sauti ya Mungu lakn hapo kwenye kujua kusudi langu nakua very confused ata sijui ni nini hasa kusudi langu
Kwanza Ahsante sana mkuu
Kaa chini ipekue sauti yako itakuambia inatakiwa ufanye nini. Pia omba Mungu akufunulie kutambua wala usikate tamaa pale ikikuchukua muda mrefu bila kugundua
 
Umefika mkuu hii ni zaidi ya motivational talk maana hii inaingia ndani ya mtu kujua purpose yetu na jinsi ya kuchagua matukio yetu kwa kutumia hii smart voice ndani yetu...
Sifa na utukufu ni kwake aliyeziumba mbingu na nchi na kujaza yote niliyonayo kichwani.
Maarifa yote yapo kwake kama tutatega sikio na kumsikiliza
 
Sifa na utukufu ni kwake aliyeziumba mbingu na nchi na kujaza yote niliyonayo kichwani.
Maarifa yote yapo kwake kama tutatega sikio na kumsikiliza
Amen mkuu...pia kuna kitu umekizungumza japo hujakiandika ni vile kuwa kuna kazi fulani kila binadamu amepewa na Mungu....mfano unaweza kusomea udaktari ukapata kazi ila mafanikio madogo na huenjoy kazi yako kumbe kazi yako ni uuzaji wa nafaka au kilimo.....
 
Kwanza hongera kwa lililoshiba, kuandika sio kazi ndogo bila kujali umeandika nini. Wewe umeandika kitu cha maana.

Majibu yatatofautiana kutokana na sababu mbali mbali kama imani, malezi, kiwango cha uelewa, mazingira n.k.

Kwa ufupi, kuna kitabu ameandika Rick Warren kinaitwa The Purpose Driven Life, kimejaribu kuelezea kusudi la mwanadam kuwepo duniani.

Nikitulua naweza kuleta muhtasari na maoni yangu pia.

Kwa sasa, barikiwa sana mkuu
 
Amina mkuu
Toka kabla ya corona haijaingia tz ndio nimeanza kuandika. Nimemaliza leo maneno 1400+ kwa simu. Inachosha mno mno..

Kitabu hicho cha rick Waren nimekisoma 2018. Kwenye uzi wangu huo nilioweka link nilikitumia kama rejea.
Ahsante..mchango wako muhimu

https://www.jamiiforums.com/threads...ungua-ubongo-wa-mwanadamu-kujitambua.1469399/
 
Kongole zako kaka.
Sijui nitakua nje ya mada au lah nizungumze kitu kidha swali litafuata.

Nimekua kijana tofauti kimtazamo hua nikikaa na vijana (japo sipendi kuchangama kwenye halaiki hua nakua mpole) najiona/najihisi wa tofauti ndani yangu kwenye akili. Vile hua najihisi sijui nielezee vipi naona ni kitu hakielezeki kiwepesi na urahisi.

Nina maisha ya kawaida sana (kiuchumi) wakati mwingine maisha ya kiuchumi huniendea kombo ila sijawahi kuyaona magumu hata kidogo mpaka hua najishangaa ni sawa na umekanyaga kaa la moto ila hauoni maumivu japo unaona unaungua.

Sijawahi kujiona fukara wa kiuchumi sijawah kuona umaskini ndani ila matendo ya nje ni kujikongoja.
Swali langu je, ndio sauti ndani mwangu ikizungumza na mimi juu ya baadae yangu ijayo? Au ni mawazo tu najiwazia yananitia moyo?

Mawazo, Ushauri wako na wengine pia.

Swali gumu lisilojibika kwa wengi ni WHO AM I?
 
Guys will be back to you by tomorrow..
 
Da'Vinci, Je kuna uwezekano wa kutokea mgogoro wa nafsi na mwili. Nafsi inataka hiki mwili unataka hiki, Hapo unakuta kuna shida kiroho? Ama ni jambo la kawaida.

Najihisi kukosa utulivu wa nafsi kwa kitambo sasa. Kiasi chakua *sometime yes sometime no*
 
Nimefurahi sana kukutana na hilo bandiko lako mkuu. wakati naelekea kumalizia kitabu cha Rick warren. Hakika kuna jambo la pekee sana umewekewa ndani ya ko ambalo lina kusudi kubwa mno la Mungu kukuumba. Sauti hiyo ya ndani iendelee kukuonesha kwa wazi na uwepesi zaidi na zaidi. Sifa na utukufu apewe Mungu kwa namna anavokufunulia mambo kwa namna ya tofauti. Your The best Brother[emoji119]
 
Mimi nina changamoto nyingi mpka sasa nina miaka 30 , Lakini sijui ni nini lengo la mimi kuwepo duniani, Kwa sababu nimejitaidi kufanya niliyoweza kufanya, Matokeo yake nimeambukia kutengwa, kuachishwa kazi,mahusiano pia nimekua nasubiri labda sku moja mambo yatabadilika, Amani ya nafsi sina, nina mda mchache sana ambao akili yangu hutulia .
 
Back
Top Bottom