AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 589
This is meMimi nina changamoto nyingi mpka sasa nina miaka 30 , Lakini sijui ni nini lengo la mimi kuwepo duniani, Kwa sababu nimejitaidi kufanya niliyoweza kufanya, Matokeo yake nimeambukia kutengwa, kuachishwa kazi,mahusiano pia nimekua nasubiri labda sku moja mambo yatabadilika, Amani ya nafsi sina, nina mda mchache sana ambao akili yangu hutulia .