manonawire
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 943
- 1,223
napendamovie nn BOSS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko kujitambua kunatoka wapi.........?"Ukijitambua utajua kusudi la maisha yako na maisha yako utayaona yana maana kubwa.
maraika simfahamu kabisa na hizo hadhi sisi ndo hua tunajipia yaani tunasema tu cc ni mhimu kuliko vitu vingineUnataka kujilinganisha na wanyama.?
Unajua kama unamshimda hadhi malaika.?
1+1=2
Lengo la sisi kuishi + Mungu= kumuabudu Mungu..
Mkuu siunajua mambo ya BALIMI..😅Kenzy Mbona kama hiyo equation haijakaa sawa.
Labda ingekuwa
Lengo la kuishi + mwanadamu = Kumwabudu Mungu
Kwamba kwa kufanya purpose yako umemwabusu Mungu.
ata ww humfahamu zaidi ya kujitia ujuaji tuKwa kweli kama “maraika” tu ni taabu huu uzi kwako ni “sikitiko kuu” niliona umesambaza 😡😡😡😡 nikajiuliza shida iko wapi😀😀
Kwahiyo unakubali umekosea kuweka mlinganyo ?Swali lako la kwanza ndio ulilokuwa unatakiwa ulielezee kama njia ya kunijibu Halafu haya yanayofuata yatajibika nitakapo weka mtazamo wangu..
😅😅Kwahiyo unakubali umekosea kuweka mlinganyo ?
Nasubiri majibu sahihi siyo mtazamo wako, sababu akili yako haina uwezo wa kung'amua jambo hili, ndiyo umeanza kukosea mwanzo kabisa, na huna misingi kadhalika.
eeenhe unilimaanisha nini pale uliposemaNi kweli hata mimi simfahamu mkuu, namsikia tu
hua sinaga gadhabu mimi nilitaka kujua tuKwamba si rahisi kujua maana ya huu uzi kama hata malaika huamini uwepo wake....
Kiasi ni masuala ya Imani
Ooh were you offended mkuu???
Sorry if so..
Huwa nikiweka emoj ya kicheko huwa nachukulia mtu atang’amua that “humorous nature” of a post.
Again pole🙏
pahali gani mkuuUnashida mahali kiongozi..
Safi kabisa, wewe sasa ndiyo hujaelewa maswali yangu yame mili katika nini. Maswali yangu yanakurudisha katika lengo la sisi kuwepo hapa duniani, kwa maana kila unacho kiona hakipo kwa bahati mbaya bali ni mpango na matokeo ya usanifishwaji wa hali ya juu. Ndiyo maana nikakutolea mfano mwepesi sana wa SIMU. Suali la 1 + 1 = 2 ni sawa sawa na utake ithibati je ni kwa vipi nusu ni ndogo kuliko kitu kizima, au je ni kweli moja ni mara mbili ya nusu ? Huu mlinganyo hautaki ushahidi wala shule, ni suala la kawaida.Naona natumia lugha isiyoeleweka..
Hivi mkuu yale maswali yako kutoa lakwanza yanaendana nini na kile nilichokiuliza..?
Umeuliza kana kwamba unajua mtazamo wangu wakati mimi nimehoji usahihi kwa kutumia mfano 1+1=2
Unaweza kuthibitisha hili ulilo andika ?Halafu hili nilishaliuliza kwenye uzi wako fulani ila hukunijibu.. Kama hujanielewa kasome tena maana naona unaingilia vitu huvielewi!
Hii hali inanikuta hata MimiMimi huwa kuna nyakati huwa inatokea nataka kufanya au kuwaza jambo baya,kunakuwa kama kuna sauti inaniambia acha unafanya jambo baya,sasa unakuta nimelipania kweli nilifanye hilo jambo mpaka unakuta saa nyingine kweli nimelifanya,sasa utakuta kuna hali inaendelea kunisakama sana kuwa unafanya jambo baya ,haitaniachia hata kama ni siku mbili au tatu mpaka napoteza Amani,ila pale nitakapoamua ngoja niache na kutubu na kusema nimeamua kuacha ndio unakuta siisikii tena na pale ndio nakuta ninapata amani kwani muda wote huo inakuwa kama inanizonga kuwa nilichofanya au ninachofanya ni kibaya,nifafanulie hapo mkuu...
Nashkuru sana mkuu umenijibu vyema, nitatafuta muda nipitie uzi mzima naamini nitajifunza mengi mnoMate
Tunaposema sauti ndondo hatumaanishi "High Volume/sound" maana zote zipo kwa mfumo wa mawazo. Tunachogundua kwenye kutofautisha sauti hizo ni Jinsi sauti hizo zinavyosound ndani yetu.
Ile tunaita sauti kubwa maana hua inakua na Command kwenye mawazo/maamuzi yako. Na command hiyo hua inataka utekeleze vitu ambayo ni vibaya. Kumbuka Shetani hana free will kwamba atakuacha uchague lipi unalotaka yeye anataka utekeleze ubaya wake tu ndio maana anakupa Command
Sauti ndogo utaitambua maana yenyewe inatumia Polite Request, Itakushauri kiupole mno juu ya kitu unachotaka kufanya. Itakueleza madhara ya jambo unalotaka kufanya wakati sauti kubwa haitakueleza. Lakini Mungu si dikteta bado atakuacha either uichague sauti hiyo au ufuate sauti kubwa.