The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

FB_IMG_15928751401031526.jpg
 
Mkuu Da'Vinci nashukuru kwa bandiko lako hili, ila kama ujuavyo ni wachache sana wameweza kujua makusudi yao kuwapo hapa duniani, kwa sababu ule mfumo huvurugwa toka utotoni hivyo kufanya mtu kushindwa kupita kwenye mfumo umuelekezao katika kulitumikia kusudi lake.
Swali langu sasa, je mtu afanyaje kurudi katika njia yake sahihi, mfano njia yake ilivurugwa akiwa na umri wa miaka 5, mtu huyu alitakiwa awe daktari lakini baba na mama yake katika umri huo wakafariki, akachukuliwa na shangazi, huko akakutana na mkono wa chuma wa mumewe shangazi akamtesa ikapelekea binti kuacha shule akakimbilia mjini kutafuta unafuu akaishia kuwa kahaba.Ana umri wa miaka 28 ana watoto wawili wanamtegemea aliowapata katika vipindi tofauti na mababa tofauti ambao hawana msaada wowote.
Huyu mtu anatumikiaje kusudi lake?
Destiny will find its way mkuu
 
Warumi 8:28-30
"Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi. Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza."
I hate this thread..I hate everything about this thread
 
Thread nzurii iliyobeba madini.. Hongera mkuu and jah bless u!
..
Nina swali kuhusu kusudi la maisha yangu...
Nikiwa nafanya kitu ambacho kinawabariki watu, wakinipa hongera na kunitia moyo na kwa hicho nafarijika moyo! Je yaweza kuwa ndiyo kusudi la maisha yangu?
 
ufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake..

Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona).

Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa mpaka utimize( nitimize) kile ulichopangwa (nilichopangiwa)kukifanya katika quanta times( muda uliogawanyika ili kila kitu kifanyike kwa wakati maalumu kulingana na kukomaa kwa ufahamu wa mind yako)

Ni Saikolojia pana sana kuelewa hii dhana.. ila ukweli ni kwamba upo peke yako katika ulimwengu huu.. the other (people) and suroundings are just your personal aspects of personality(ideological view of manifestation)..

Ngumu kuelewa hapa...

but you are just alone in this universe ndo mana life pathy yako ni tofauti na ya mwingine (ulimwenguni kote)..

This is the matrix of your life... you are living alone and the manifestation of your ideas is that created following your idea of perception.

Your body(avotor) is just interacting with your own manifestation za kile mind yako iliwaza kipindi cha nyuma..

Tafuta muda kaaa peke yako halafu utafakari juu ya interactiom yote unayoipata ,utagundua kuwa ni product ya your own perception ambayo imezaa manifestation katika creation form ..

Kaa alone ufikirie kuwa kwanini hapa duniani pattern yote ya manifestation inaihusisha mind yako kwa asilimia 100!!! namanisha kwanini huwezi ishi kwa mbinu anazotumia mwingine?!! lazima mtatofautiana mtizamo na jinsi ya kumanifest mambo..

Kila unachokiona ni matokeo ya your own perception of ideas that turns into physical manifestation..

Ulimwengu ni wewe mwenyewe and nothing else...

The entire population of different things you interact is just a product of your every idea you had before today..

Kila wazo unalolipata sasa hivi linajenga manifestation badae na hii inategemeana na frequency ya vibration ya wazo lako katika kusynchronize na universal pattern of true nature on reality.

........... ndo mana time manifestation inatofationa na frequency inayopresent idea yako...

Hutakuja kuishi out of your own imagination..

And this is the game life-trick ambayo watu mabilioni bado hawajaijua...

If you change your idea from today hakika hata manifestation ya kitu chochote utakachointeract nacho kitabadirika na matokeo ni jinsi mind yako ilikichukulia kwa vibration frequency flani.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji101][emoji101]

""(vibration frequency ikiwa kubwa ndipo time manifestaion inakuwa short hence kinawahi kuonekana katika physical reality na kama vibration frequency ni ndogo hata time manifestation inakuwa ndefu hence kitachukua muda kuja kuonekana katika physical reality.. but kila wazo kichwani mwako one day menifestation into physical reality itakuja kuonekana)"""

Hapo ndo tunapata tafsiri sahihi ya usemi wa yule paka wa Schrödinger kuwa kuna option mbili au nne za kumwelezea paka akiwa ndani ya box..

Paka aliyeko ndani ya box anaweza kuwa hai au kafa kama utachukua maamuzi ya kumwangalia....usipomwangalia hakuna jibu sahihi hapo ila mpaka utakapochungulia ndo yes au no ila probability ni 0.5 kuwa paka yule kafa ndani ya box au yu mzima[emoji4]

Mpaka leo ni magwiji wachache sana wameelewa juu ya tafsiri halisi ya ile paradoxy katika quantum level... ukiwa na brain ya sisimizi hutaelewa jamaa alikuwa ana maana gani..( maybe somedays i wana make this clear juu ya paradoxy ya yule paka anapresent nini katika quantum level of awareness..

Katika maisha haya ,manifestation ya kitu chochote katika macho ya kuonekana inategemea na kama idea yake umeipresent kwenye subconscious mind yako au laaa...

kitu chochote kitaonekana katika mazingira ya kawaida kama tayari kilikuwa kishaongelewa kichwani( fikirika)

Hakitaonekana kamwe kama utakuwa hujakifikiria kwenye mind yako..[emoji3447]

Manake nini chochote kile unachointeract nacho iwe ni watu, miti wanyama au kitu chochote jua ni product ya mind creation uliyonayo...

Kama kila kinachoonekana duniani hapa ni matokeo ya perception zako basi amini upo alone katika ulimwengu huu na hapo ndo tunasema you are the creator of your own destiny...

Sory naweza kuwa nimepresent kitu tofauti na lengo lako ..sory mkuu [emoji122][emoji122]
Nimetumia muda mwingi Sana kuwaza kuwa na hela ya kuendeshea maisha yangu na wale wanao nizunguka.
Lakini Manifestation inayotokea ni ndogo Sana Sana sijajua tatizo lipo wapi!
 
Thread nzurii iliyobeba madini.. Hongera mkuu and jah bless u!
..
Nina swali kuhusu kusudi la maisha yangu...
Nikiwa nafanya kitu ambacho kinawabariki watu, wakinipa hongera na kunitia moyo na kwa hicho nafarijika moyo! Je yaweza kuwa ndiyo kusudi la maisha yangu?
Mate hongera.
Roho yako inataka utende matendo ya wema ndio inapata furaha..
Endelea that's your purpose
Mimi hujisikia hivyo pia
 
ufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake..

Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona).

Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa mpaka utimize( nitimize) kile ulichopangwa (nilichopangiwa)kukifanya katika quanta times( muda uliogawanyika ili kila kitu kifanyike kwa wakati maalumu kulingana na kukomaa kwa ufahamu wa mind yako)

Ni Saikolojia pana sana kuelewa hii dhana.. ila ukweli ni kwamba upo peke yako katika ulimwengu huu.. the other (people) and suroundings are just your personal aspects of personality(ideological view of manifestation)..

Ngumu kuelewa hapa...

but you are just alone in this universe ndo mana life pathy yako ni tofauti na ya mwingine (ulimwenguni kote)..

This is the matrix of your life... you are living alone and the manifestation of your ideas is that created following your idea of perception.

Your body(avotor) is just interacting with your own manifestation za kile mind yako iliwaza kipindi cha nyuma..

Tafuta muda kaaa peke yako halafu utafakari juu ya interactiom yote unayoipata ,utagundua kuwa ni product ya your own perception ambayo imezaa manifestation katika creation form ..

Kaa alone ufikirie kuwa kwanini hapa duniani pattern yote ya manifestation inaihusisha mind yako kwa asilimia 100!!! namanisha kwanini huwezi ishi kwa mbinu anazotumia mwingine?!! lazima mtatofautiana mtizamo na jinsi ya kumanifest mambo..

Kila unachokiona ni matokeo ya your own perception of ideas that turns into physical manifestation..

Ulimwengu ni wewe mwenyewe and nothing else...

The entire population of different things you interact is just a product of your every idea you had before today..

Kila wazo unalolipata sasa hivi linajenga manifestation badae na hii inategemeana na frequency ya vibration ya wazo lako katika kusynchronize na universal pattern of true nature on reality.

........... ndo mana time manifestation inatofationa na frequency inayopresent idea yako...

Hutakuja kuishi out of your own imagination..

And this is the game life-trick ambayo watu mabilioni bado hawajaijua...

If you change your idea from today hakika hata manifestation ya kitu chochote utakachointeract nacho kitabadirika na matokeo ni jinsi mind yako ilikichukulia kwa vibration frequency flani.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji101][emoji101]

""(vibration frequency ikiwa kubwa ndipo time manifestaion inakuwa short hence kinawahi kuonekana katika physical reality na kama vibration frequency ni ndogo hata time manifestation inakuwa ndefu hence kitachukua muda kuja kuonekana katika physical reality.. but kila wazo kichwani mwako one day menifestation into physical reality itakuja kuonekana)"""

Hapo ndo tunapata tafsiri sahihi ya usemi wa yule paka wa Schrödinger kuwa kuna option mbili au nne za kumwelezea paka akiwa ndani ya box..

Paka aliyeko ndani ya box anaweza kuwa hai au kafa kama utachukua maamuzi ya kumwangalia....usipomwangalia hakuna jibu sahihi hapo ila mpaka utakapochungulia ndo yes au no ila probability ni 0.5 kuwa paka yule kafa ndani ya box au yu mzima[emoji4]

Mpaka leo ni magwiji wachache sana wameelewa juu ya tafsiri halisi ya ile paradoxy katika quantum level... ukiwa na brain ya sisimizi hutaelewa jamaa alikuwa ana maana gani..( maybe somedays i wana make this clear juu ya paradoxy ya yule paka anapresent nini katika quantum level of awareness..

Katika maisha haya ,manifestation ya kitu chochote katika macho ya kuonekana inategemea na kama idea yake umeipresent kwenye subconscious mind yako au laaa...

kitu chochote kitaonekana katika mazingira ya kawaida kama tayari kilikuwa kishaongelewa kichwani( fikirika)

Hakitaonekana kamwe kama utakuwa hujakifikiria kwenye mind yako..[emoji3447]

Manake nini chochote kile unachointeract nacho iwe ni watu, miti wanyama au kitu chochote jua ni product ya mind creation uliyonayo...

Kama kila kinachoonekana duniani hapa ni matokeo ya perception zako basi amini upo alone katika ulimwengu huu na hapo ndo tunasema you are the creator of your own destiny...

Sory naweza kuwa nimepresent kitu tofauti na lengo lako ..sory mkuu [emoji122][emoji122]
Nzuri.
 
Huu uzi ni nadharia tu za kufikirika ila hakuna evidence yoyote ya kuthibitisha hizi dhana.huyo alitesa hapa duniani unaishi pekeyako wengine unaowaona ni just personal manifastation sijui ndio muongo kabisa.
 
Haina shida mate...
 
Ahsante sana mkuukwa kunielewa inafarijisha. Sikudhani kama nitaeleweka kabisa.
Ni kweli napenda sana kusoma soma masuala ya Comp..
I was supposed to be IT personel then shit happened
Never stop, follow your dreams
 
Back
Top Bottom