Usiniambie nimefika level hiyo asee..hii imetulia sana na inaamsha hali ya upambanaji na kupata imani....hii inaweza elekezwa labda kwenye graduation za vyuo na sehemu kubwa za ujasiriamali maana imejaa quality kubwa
Umefika mkuu hii ni zaidi ya motivational talk maana hii inaingia ndani ya mtu kujua purpose yetu na jinsi ya kuchagua matukio yetu kwa kutumia hii smart voice ndani yetu...Usiniambie nimefika level hiyo asee..
Ahsante sana mkuu..More bless
Kwanza Ahsante sana mkuuYan umeandika vitu vya msingi Sana ambavyo kila binadamu angetakiwa avijue na kuvielewa Asante, Mimi nna mazoea ya kusikiliza Sana sauti ya ndani kwasababu naamini ni sauti ya Mungu lakn hapo kwenye kujua kusudi langu nakua very confused ata sijui ni nini hasa kusudi langu
Sifa na utukufu ni kwake aliyeziumba mbingu na nchi na kujaza yote niliyonayo kichwani.Umefika mkuu hii ni zaidi ya motivational talk maana hii inaingia ndani ya mtu kujua purpose yetu na jinsi ya kuchagua matukio yetu kwa kutumia hii smart voice ndani yetu...
Amen mkuu...pia kuna kitu umekizungumza japo hujakiandika ni vile kuwa kuna kazi fulani kila binadamu amepewa na Mungu....mfano unaweza kusomea udaktari ukapata kazi ila mafanikio madogo na huenjoy kazi yako kumbe kazi yako ni uuzaji wa nafaka au kilimo.....Sifa na utukufu ni kwake aliyeziumba mbingu na nchi na kujaza yote niliyonayo kichwani.
Maarifa yote yapo kwake kama tutatega sikio na kumsikiliza
Amina mkuuKwanza hongera kwa lililoshiba, kuandika sio kazi ndogo bila kujali umeandika nini. Wewe umeandika kitu cha maana.
Majibu yatatofautiana kutokana na sababu mbali mbali kama imani, malezi, kiwango cha uelewa, mazingira n.k.
Kwa ufupi, kuna kitabu ameandika Rick Warren kinaitwa The Purpose Driven Life, kimejaribu kuelezea kusudi la mwanadam kuwepo duniani.
Nikitulua naweza kuleta muhtasari na maoni yangu pia.
Kwa sasa, barikiwa sana mkuu
Ok have a nice night eventually a beautiful dawn.Guys will be back to you by tomorrow..
Sawa bro.Thanks ngoja nitulie