The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Destiny will find its way mkuu
 
I hate this thread..I hate everything about this thread
 
Thread nzurii iliyobeba madini.. Hongera mkuu and jah bless u!
..
Nina swali kuhusu kusudi la maisha yangu...
Nikiwa nafanya kitu ambacho kinawabariki watu, wakinipa hongera na kunitia moyo na kwa hicho nafarijika moyo! Je yaweza kuwa ndiyo kusudi la maisha yangu?
 
Nimetumia muda mwingi Sana kuwaza kuwa na hela ya kuendeshea maisha yangu na wale wanao nizunguka.
Lakini Manifestation inayotokea ni ndogo Sana Sana sijajua tatizo lipo wapi!
 
Mate hongera.
Roho yako inataka utende matendo ya wema ndio inapata furaha..
Endelea that's your purpose
Mimi hujisikia hivyo pia
 
Nzuri.
 
Huu uzi ni nadharia tu za kufikirika ila hakuna evidence yoyote ya kuthibitisha hizi dhana.huyo alitesa hapa duniani unaishi pekeyako wengine unaowaona ni just personal manifastation sijui ndio muongo kabisa.
 
Huu uzi ni nadharia tu za kufikirika ila hakuna evidence yoyote ya kuthibitisha hizi dhana.huyo alitesa hapa duniani unaishi pekeyako wengine unaowaona ni just personal manifastation sijui ndio muongo kabisa.
Haina shida mate...
 
Ahsante sana mkuukwa kunielewa inafarijisha. Sikudhani kama nitaeleweka kabisa.
Ni kweli napenda sana kusoma soma masuala ya Comp..
I was supposed to be IT personel then shit happened
Never stop, follow your dreams
 
Da’Vinci nimeelewa vizuri bandiko lako ni elimu nzuri sana be blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…