The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Hongera mkuu kwa Haya maandiko

Maandiko Kama haya yanaonesha wewe ni mtafutaji, unajitafuta,
Hata hivyo kuna pahala sijakusoma Sawasawa
1. Kusema Mind iko ndani ya roho .

Mkanganyiko naupata hapa , kwa uelewa wangu mdogo nafahamu kuwa roho ni SACRED PART ya binadamu, lakini MIND sio SACRED, kwenye mind ndio mawazo (mbaya na mazuri) yanakozaliwa humo kuna MEMORY na INTELLECT pia , humo kwenye mind ndio kuna REASONING ,na sehemu yoyote kuliko na reasoning basi kunakuwa na quest ya PROOFS, mahala kwenye REASONING lazima CONCLUSION iwe inamake SENSE.

Ukishaingia kwenye SENSE hiyo ni purely PHYSICAL. kwa sababu ili kitu kiwe SENSIBLE lazima kiwe kimepitia kwenye mojawapo ya milango mitano ya FAHAMU, hapo ndo mind na intellect zinaweza kukitafsiri kutokana na PAST EXPERIENCE

Kwa hiyo limited understanding yangu naona kabisa Mind. Ni kama centre ya kuchakata informations kutoka kwenye sense (Purely physical) sio sehemu ya roho,
Na si mara zote mind inashauri Vitu vya kuleta manufaa , Mind imewapoteza pia watu.

Ndio Maana Muumba akaweka angalizo TUSIZITEGEMEE AKILI ZETU WENYEWE.

Unaweza kuweka Mwanga zaidi hapo
Shukran
 
Loverness soma hapa, nimeona nikikuandikia I might miss a point
How to Break Soul Ties You Didn't Know You Had
Nimesoma na kwa kurudia tena ni bandiko fupi ila lina somo zito kwa kweli. Kibayya imeandikimwa in parties moja tayar ila ya mkuu nimeipambania ila sijafanikiwa. MSAADA hapa juu ya part 2.
Hii soul tie ni mbaya unakua mtumwa huru haujijui ila upo gereza huru.
I want to be me.

Ahsante.
 
Mimi ni nani?
Mimi ni sehemu ya Mungu,roho yake ni sehemu ya roho yangu na imetokea kwake pia Mungu anafurahia hilo jambo.

Lengo langu ni nini kuwa hapa duniani?
Lengo ni kutawala,baada ya kutawala hii dunia ndipo nitajua na kuelewa kazi ya Mungu aliyoifanya katika uumbaji hii itanipelekea kumuelewa Mungu pamoja na kumpa sifa zake.

I think ni hatari sana kumsifu Mungu kama hujamuelewa.
 
Thanks mate..Nashukuru jitahidi uulize ambapo hujaelewa...
 
Thanks mate..Nashukuru jitahidi uulize ambapo hujaelewa...
Mkuu binafsi naomba kujua ni kwa namna gani unaweza kutambua destiny yako pamoja na iyo inner voice na kwa wakati gani unaweza gh'amua kile kinaitwa inner voice maana bado niko njia kuu. Nadhani umenielewa mkuu any way unaweza nisaidia njia zozote zinazoweza saidia kukwepa depression 🙏
 
Nimekubaliiii... Short & Clear
 
Nimepita hapa, nimesoma, nimejifunza, nashukuru!


~Ncha Kali.
 
Shida yako iko hapa nilipoBold. Je unaweza share hapa yanayokusibu kwa faida ya wengine.?
 
Da' vinci ni mkatoliki


Elimu hii imejaa kwenye vitabu vya kikatoliki hasa vya majiundo na ukwasi wa kitaaluma kwa wanakanisa
 
Conscience na inner voice ni tofauti?
 
Shida yako iko hapa nilipoBold. Je unaweza share hapa yanayokusibu kwa faida ya wengine.?
any way naweza kukushirikisha PM alafu ukapata good way ya kushirikisha wakuu huenda nikapata msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…