Leiya,
Mimi naandika ''political history,'' ndiyo ninachojua.
Sina ujuzi wa Biblia labda uwatafute akina Mazinge.
Abuja declaration!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leiya,
Mimi naandika ''political history,'' ndiyo ninachojua.
Sina ujuzi wa Biblia labda uwatafute akina Mazinge.
Abuja declaration!
family haijambo Swahiba!; umesherehekeaji Christmas!; mbuzi Katoliki ilikuwa dusro...hhhhhhhh...
Mzee said, huyu jamaa hapa anaitikisa imani yangu. Msaada
sheikh
NAsomaga makala zako nyingi ambazo hua sina ufahamu nazo na hua naamini kua usemacho hua ni kweli, kwa hili la profesa Kighma Ali Malima nalikumbuka vizuri sana, kwa ufupi umedanganya tena sana. Malima ali under perform sana kwenye wizara ya Fedha Enzi za Mwinyi, ikumbukwe pia mwezi February Mrema alifukuzwa uwaziri na yeye akaamua kuondoka kabisa ccm, Mrema wa wakati huo alikua kipenzi mno cha Watanzania, wengi wakaanza kuhoji how Mrema aliyekipenzi kafukuzwa na waziri wa fedha ambaye ana under perform vibaya hivyo hafukuzwi!? Ni kwamba hata mzee MWinyi alimwondoa uwaziri kwa shingo upande though inaelekea alikua kipenzi chake; Malima labda atetewe kwasababu ya dini yake but sio taaluma yake, kwenye fedha pale alipwaya sana, tena sana. Nakumbuka mwaka huo huo, hiyo wizara alipewa Kikwete, michakato ya uanzishwaji wa TRA ilianzia kwake, JK ndio alipojengea jina hapo hata kigodo (kama isingekua Nyerere) angepewa na Urais, Kikwete alijengea jina hapo alipoharibu Malima. Kwangu mimi Malima ni miongoni mwa maprofesa walifeli sana kwenye siasa. Kikubwa ilikua ni DINI na UDini wake tu, kwenye performance tuwe wakweli, he was hopeless!"Katika nchi nyingi, Wazayuni hawana haja ya kuweka taasisi za muundo mwingine bali wanapenyeza watu wao au kuwa na maajenti katika mashirika ya nchi husika na huwa na mamlaka ya kuendesha mambo watakavyo. Kwa mfano, CIA iko mikononi mwa Wazayuni ikipokea malekezo na mikakati toka Israel. Isiajabishe kusikiya kuwa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa vyombo ambavyo kupitia kwavyo Wayahudi wanatimiza malengo yao ya kijasusi kimataifa.
Mwanasiasa, kiongozi au mwanataaluma yeyote anayekwenda kinyume na watakavyo majasusi wa dunia huhatarisha maisha yake, mfano mmojawapo ni wa hapa Tanzania. Aliyekuwa waziri wa elimu, baadaye mipango, kisha fedha marehemu Profesa Kighoma Malima aliondolewa uwaziri wa mipango kwa kuwa hakuwa tayari kupokea sera za kinyonyaji kutoka kwa majasusi wa dunia katika kile kilichoitwa kufufua uchumi wa mataifa hasa ya ulimwengu wa tatu. Ili kumuua kisiasa na kitaaluma, majasusi wa kimataifa waliwatumia maajenti wao hapa nchini.
Kazi iliyofanywa na maajenti hao ilikuwa kumpiga vita kupitia magazeti ndani na nje ya nchi. Maajenti hao wakati huo huo walitumia fursa hiyo kufanikisha mipango yao dhidi ya mwanataaluma huyo ambaye kwa wakatoliki alitazamwa kama kikwazo cha masilahi ya kanisa lao wakati huo. Silaha walizotumia zilikuwa udini na uendeshaji vibaya uchumi wa nchi akiwa kama Waziri wa elimu, wa mipango na baadaye wa fedha. Mwaka wa 1995 iliandikwa makala katika jarida moja kuwa Prof. Malima alikuwa mshiriki katika njama za kuingiza silaha nchini zitumike na “waislamu wenye siasa kali” ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu.
Wakati ikiandikwa makala hiyo Askofu Polycarp Pengo wa Kanisa Katoliki alisema kuwa Prof. Malima alikuwa mtu hatari ambae ni lazima ashughulikiwe. Karibu mashirika yote ya Umoja wa Mataifa ni nyenzo ya kutimizia maslahi ya majasusi wa kizayuni duniani kote na Wazayuni wanauona Umoja wa Mataifa na mashirika yake kama ndivyo vyombo muafaka kabisa vya kutimiza malengo yao. Mwanasheria mashuhuri wa Kiyahudi wa Mjini New York, Henry Klein, alielezea mambo haya haya katika kitabu chake kilicho wazi kabisa, Mazayuni wanaotawala dunia (Zions Rule the World, New York, 1948) ameandika: Umoja wa Mataifa ni Uzayuni. Ni serikali kuu iliyotajwa mara nyingi katika protokali za wanazuoni wakongwe wa Kiyahudi zilizotangazwa rasmi kati ya mwaka 1897 na 1905. Bila kuangalia mawanda ya dunia, mabavu (nguvu za ziada) yanayofanya kazi ulimwenguni pamoja na kuangalia ukubwa wa tatizo, basi hakuna tiba itakayopatikana na hivyo ufumbuzi utabaki kuwa mgumu. Wakati zielezwapo nguvu na hila za Wazayuni dhidi ya ulimwengu wa Waislamu, haina maana kuwa hili ndilo tatizo pekee linalowakabili Waislamu hivi leo. Ila tu hakuna namna ya kuukanusha ukweli kuwa kazi inayofanywa na Wazayuni ndiyo hatari kubwa kwa jamii ya Waislamu popote pale walipo. Matatizo mengineyo ni matokeo tu ya sera zinazotekelezwa na (mtandao wa) Uyahudi wa kimataifa.
Wasusi wa mipango ya Wazayuni ni mahodari kweli kweli wa kutekeleza programu yao Duniani kote ikiwa ni pamoja na nchi za Waislamu, ambapo wao hushughulika na kazi ya “kuzalisha” migogoro kwa mpangilio uliotafakariwa barabara. Kwa kweli mbinu yao hii huwa na athari za chinichini mno na ule upeo wa malengo ni wa jumla, kiasi kwamba ni watu werevu na makini tu ndio wanaoweza kuuona mzizi".
Nukuu kutoka kwenye mswaada wa kitabu
changu kinachohusu ujasusi.
I didn't understand even a letter (A) my brother,no punctuations no paragraphs. You come up with critical thoughts but how you present total is poor .Prof Malima was one of the most bogus professors we ever had at UDSM. With his Ph.D, it is definitely that he was academically good in school, but after attaining that Ph.D. degree and hanging his doctoral certification on one of his welcoming walls, he flushed his brain and remained VOID. It seems that he was a typical of students who work hard to graduate by just following their advisors' instructions without contributing anything. Even his professorial inaugural lecture titled "The political Economy of Devaluation in Developing Countries" was a b/s bunch of stuff. He pushed himself to deliver it because of the pressure he was getting from UDASA after holding a professorial title for many years without delivering this important lecture.
umemuliza mzee kingunge mkuu?Gama nimetafiti katika historia ya kudai uhuru hivyo sina taarifa za Kolimba.
siku hizi wikipedia imekuwa mafunuo ya allah?! hhhhhhhhh...
NAsomaga makala zako nyingi ambazo hua sina ufahamu nazo na hua naamini kua usemacho hua ni kweli, kwa hili la profesa Kighma Ali Malima nalikumbuka vizuri sana, kwa ufupi umedanganya tena sana. Malima ali under perform sana kwenye wizara ya Fedha Enzi za Mwinyi, ikumbukwe pia mwezi February Mrema alifukuzwa uwaziri na yeye akaamua kuondoka kabisa ccm, Mrema wa wakati huo alikua kipenzi mno cha Watanzania, wengi wakaanza kuhoji how Mrema aliyekipenzi kafukuzwa na waziri wa fedha ambaye ana under perform vibaya hivyo hafukuzwi!? Ni kwamba hata mzee MWinyi alimwondoa uwaziri kwa shingo upande though inaelekea alikua kipenzi chake; Malima labda atetewe kwasababu ya dini yake but sio taaluma yake, kwenye fedha pale alipwaya sana, tena sana. Nakumbuka mwaka huo huo, hiyo wizara alipewa Kikwete, michakato ya uanzishwaji wa TRA ilianzia kwake, JK ndio alipojengea jina hapo hata kigodo (kama isingekua Nyerere) angepewa na Urais, Kikwete alijengea jina hapo alipoharibu Malima. Kwangu mimi Malima ni miongoni mwa maprofesa walifeli sana kwenye siasa. Kikubwa ilikua ni DINI na UDini wake tu, kwenye performance tuwe wakweli, he was hopeless!
Sijawahi kumchukia mtu kwasababu ya dini yake, kama ingekua hivyo Jakaya Kikwete na Malima wote ni dini moja na wote ni wa mkoa mmoja, how comes nimsifie JK wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo halafu nisimkubali Malima wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo? Hivi ilikuaje akafia London kama kweli ni mchaji wa Mungu!? Tena yasemekana chanzo cha kifo chake kilianzia Bank, waziri wa fedha mcha mungu anaogopa nini kuweka pesa zake kwenye bank za ndani hadi apelike kwa wazungu!? May be hili neon UCHAJI wa mungu lina tafsiri tofauti na ninayo ijua mimi! Usidhani chuki zako wewe kwa watu wa dini zingine basi wote tuko hivyo, NO, absolutely No. Wengine tunamchukilia mtu vile alivyo na sio kwasababu ya dini yake. To me profesa Kighoma Ali Malima ninamfananisha na maporesa wote tu walifeli kwenye siasa, huko kwenye taaluma zao (walimu wa vyuo vikuu) walifanya vizuri sana but Not on the field, hi haina uhusiano wowote na dini ya mtu. Kwa ufupi bwana Yeriko Nyerere nitaanza kua nazifanyia utafiti habari zake cause kwenye hili la Malima ninalifahamu and sihitaji mtu kunisaidia kulikumbuka.Kusema Mtu Ali under perform au Ali perform bila ya kueleza Facts ni ujuha wa Kiwango cha juu sana. Unapaswa kujua Wakati wa Prof Kighoma Ali Malima Nchi ilikuwa kwny Transition kutoka kwny Mfumo wa Ujamaa kwenda wa Soko huria na Transition Dunia Nzima ni kipindi cha risk kubwa sana lakin Prof Aliwezesha kutuvusha bila ya Mtikisiko Mkubwa wakati Mataifa makubwa Kama ya Russia yakijaribu na kuanguka kabisa. Unaleta Blaa blaa za kusema Jk aliweza aliposhindwa Malima lakin husemi ni yapi hayo? We unadhani Mchakato wa kuanzisha TRA ulianzishwa wakati Waziri wa Fedha alikuwa Nani?
Inawezekana Uchamungu ya Malima ndio Msingi wa Chuki zako ndio sababu ukaitaja kinafki
siku hizi wikipedia imekuwa mafunuo ya allah?! hhhhhhhhh...
Based on what you have written above, it is clear that you will never understand what I wrote in the paragraph you quoted. I understand that English is not our first language but probably it is your last language.I didn't understand even a letter (A) my brother,no punctuations no paragraphs. You come up with critical thoughts but how you present total is poor .
writing style just like devil speech,quote me positive .
kolimba has gone ,malima too
Sijawahi kumchukia mtu kwasababu ya dini yake, kama ingekua hivyo Jakaya Kikwete na Malima wote ni dini moja na wote ni wa mkoa mmoja, how comes nimsifie JK wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo halafu nisimkubali Malima wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo? Hivi ilikuaje akafia London kama kweli ni mchaji wa Mungu!? Tena yasemekana chanzo cha kifo chake kilianzia Bank, waziri wa fedha mcha mungu anaogopa nini kuweka pesa zake kwenye bank za ndani hadi apelike kwa wazungu!? May be hili neon UCHAJI wa mungu lina tafsiri tofauti na ninayo ijua mimi! Usidhani chuki zako wewe kwa watu wa dini zingine basi wote tuko hivyo, NO, absolutely No. Wengine tunamchukilia mtu vile alivyo na sio kwasababu ya dini yake. To me profesa Kighoma Ali Malima ninamfananisha na maporesa wote tu walifeli kwenye siasa, huko kwenye taaluma zao (walimu wa vyuo vikuu) walifanya vizuri sana but No field, hi haina uhusiano wowote na dini ya mtu. KWa ufupi bwana Yeriko Nyerere nitaanza kua nazifanyia utafiti habari zake cause kwenye hili la MAlima ninalifahamu and sihitaji mtu kunisaidia kulikumbuka.
DON'T FORGET STEVEN KIBONA AND GILMAN RUTIHINDAI didn't understand even a letter (A) my brother,no punctuations no paragraphs. You come up with critical thoughts but how you present total is poor .
writing style just like devil speech,quote me positive .
kolimba has gone ,malima too
Na Gibson MwaikamboMzee Mohamed Said tuletee pia The Last Days of Horace Kolimba.
NENONasikitika kuona mtu anahangaika kumjenga mwizi mkubwa yule eti bado analazimisha alionewa kwa uislamu wake hata hivyo umemjibu kwa ustaarabu mkubwa sana ila kwangu mimi Malima ni FISADI LILIIBA FEDHA TANZANIA NA LILIKUSUDIA KUINGAMIZA NCHI KWA KUTUMIA UDINI NA CHAMA LAKE NRA LAKINI MUNGU ALISHAONA NIA YAKE MBAYA KAFANYA YALIOMPENDEZA BWANA WA MAJESHI ASIYESHINDWA KITU.
Watu hua wanadanganya hata eti Malima ndio aliyeanzisha mfumo wa NAMBA. Nimeanza darasa la kwanza mwaka 1983, mfumo wa namba ulikuwepo and by that time hakukua na mtihani wa darasa la nne, mwanzilishi wa mitihani ya darasa la nne alikua JAckson Makweta na darasa letu ndio lilikua la kwanza kuanza mitihani hiyo mwaka 1986 na tulitumia namba, kibaya zaidi hata huyu anae jiita Mohamed Saidi nae eti husisitiza kwamba mwanzilishi wa namba badala ya majina ni profesa Kighoma Ali Malima na eti tokea Nyerere awe raisi hajawahi kuweka waziri wa elimu Muislamu, so means Malima alikua waziri wa elimu Enzi za Mwinyi na mimi hapa kama shahidi nilianza shule Enzi za Nyerere, kama sikosei baada ya Makweta alipokewa na Athuman Malagila mbunge wa Iringa mjini kwenye hiyo hiyo wizara na huyu alikua Muislam. Hua binafsi nachukia sana mtu akiwa anajifanya mcha Mungu halafu muongo, mfitini, mchonganishi. Kwangu tu hayo yanatosha kabisa kukupeleka Jehanamu, halafu eti "Fulani ni mcha Mungu" Pumba kabisa.Nasikitika kuona mtu anahangaika kumjenga mwizi mkubwa yule eti bado analazimisha alionewa kwa uislamu wake hata hivyo umemjibu kwa ustaarabu mkubwa sana ila kwangu mimi Malima ni FISADI LILIIBA FEDHA TANZANIA NA LILIKUSUDIA KUINGAMIZA NCHI KWA KUTUMIA UDINI NA CHAMA LAKE NRA LAKINI MUNGU ALISHAONA NIA YAKE MBAYA KAFANYA YALIOMPENDEZA BWANA WA MAJESHI ASIYESHINDWA KITU.
Sijawahi kumchukia mtu kwasababu ya dini yake, kama ingekua hivyo Jakaya Kikwete na Malima wote ni dini moja na wote ni wa mkoa mmoja, how comes nimsifie JK wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo halafu nisimkubali Malima wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo? Hivi ilikuaje akafia London kama kweli ni mchaji wa Mungu!? Tena yasemekana chanzo cha kifo chake kilianzia Bank, waziri wa fedha mcha mungu anaogopa nini kuweka pesa zake kwenye bank za ndani hadi apelike kwa wazungu!? May be hili neon UCHAJI wa mungu lina tafsiri tofauti na ninayo ijua mimi! Usidhani chuki zako wewe kwa watu wa dini zingine basi wote tuko hivyo, NO, absolutely No. Wengine tunamchukilia mtu vile alivyo na sio kwasababu ya dini yake. To me profesa Kighoma Ali Malima ninamfananisha na maporesa wote tu walifeli kwenye siasa, huko kwenye taaluma zao (walimu wa vyuo vikuu) walifanya vizuri sana but No field, hi haina uhusiano wowote na dini ya mtu. KWa ufupi bwana Yeriko Nyerere nitaanza kua nazifanyia utafiti habari zake cause kwenye hili la MAlima ninalifahamu and sihitaji mtu kunisaidia kulikumbuka.