The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

Wewe shetani saidi naona unataka kuiteka JF kinanmna....you are a lie just like the person who brought the religion of your name!!! pretender, treachery and cheating....is who you are...wewe ni tawi la ISIS ila wengi hawakujui...
Kahollya,
Mbona unatukana ndugu yangu ilhali hapa tuko kwenye mjadala?
 
Kipaji chako ungetumia kwa maslahi ya nchi ungesaidia sana. Na siamini kama una upendo kiasi kwamba ukaingia gharama kuchapa kitabu na kisha kukitoa bure.. kuna ufadhili gani kwenye hili? Na wanaokufadhili ni ili wapate maslahi yapi?
Diranghe,
Kitabu kinachapwa na wachapaji kama Oxford University Press na
wachapaji wengine kisha wao ndiyo wananilipa mimi, ''royalty.''

Vitabu vyangu vyote vinauzwa na ''booksellers'' kama biashara yao.
Angalia hapo chini ujifunze:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).

3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Diranghe,

Ikiwa mambo madogo kama haya huyajui unataka mnakasha na mie utaniweza?
 
"Katika nchi nyingi, Wazayuni hawana haja ya kuweka taasisi za muundo mwingine bali wanapenyeza watu wao au kuwa na maajenti katika mashirika ya nchi husika na huwa na mamlaka ya kuendesha mambo watakavyo. Kwa mfano, CIA iko mikononi mwa Wazayuni ikipokea malekezo na mikakati toka Israel. Isiajabishe kusikiya kuwa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa vyombo ambavyo kupitia kwavyo Wayahudi wanatimiza malengo yao ya kijasusi kimataifa.

Mwanasiasa, kiongozi au mwanataaluma yeyote anayekwenda kinyume na watakavyo majasusi wa dunia huhatarisha maisha yake, mfano mmojawapo ni wa hapa Tanzania. Aliyekuwa waziri wa elimu, baadaye mipango, kisha fedha marehemu Profesa Kighoma Malima aliondolewa uwaziri wa mipango kwa kuwa hakuwa tayari kupokea sera za kinyonyaji kutoka kwa majasusi wa dunia katika kile kilichoitwa kufufua uchumi wa mataifa hasa ya ulimwengu wa tatu. Ili kumuua kisiasa na kitaaluma, majasusi wa kimataifa waliwatumia maajenti wao hapa nchini.

Kazi iliyofanywa na maajenti hao ilikuwa kumpiga vita kupitia magazeti ndani na nje ya nchi. Maajenti hao wakati huo huo walitumia fursa hiyo kufanikisha mipango yao dhidi ya mwanataaluma huyo ambaye kwa wakatoliki alitazamwa kama kikwazo cha masilahi ya kanisa lao wakati huo. Silaha walizotumia zilikuwa udini na uendeshaji vibaya uchumi wa nchi akiwa kama Waziri wa elimu, wa mipango na baadaye wa fedha. Mwaka wa 1995 iliandikwa makala katika jarida moja kuwa Prof. Malima alikuwa mshiriki katika njama za kuingiza silaha nchini zitumike na “waislamu wenye siasa kali” ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu.

Wakati ikiandikwa makala hiyo Askofu Polycarp Pengo wa Kanisa Katoliki alisema kuwa Prof. Malima alikuwa mtu hatari ambae ni lazima ashughulikiwe. Karibu mashirika yote ya Umoja wa Mataifa ni nyenzo ya kutimizia maslahi ya majasusi wa kizayuni duniani kote na Wazayuni wanauona Umoja wa Mataifa na mashirika yake kama ndivyo vyombo muafaka kabisa vya kutimiza malengo yao. Mwanasheria mashuhuri wa Kiyahudi wa Mjini New York, Henry Klein, alielezea mambo haya haya katika kitabu chake kilicho wazi kabisa, Mazayuni wanaotawala dunia (Zions Rule the World, New York, 1948) ameandika: Umoja wa Mataifa ni Uzayuni. Ni serikali kuu iliyotajwa mara nyingi katika protokali za wanazuoni wakongwe wa Kiyahudi zilizotangazwa rasmi kati ya mwaka 1897 na 1905. Bila kuangalia mawanda ya dunia, mabavu (nguvu za ziada) yanayofanya kazi ulimwenguni pamoja na kuangalia ukubwa wa tatizo, basi hakuna tiba itakayopatikana na hivyo ufumbuzi utabaki kuwa mgumu. Wakati zielezwapo nguvu na hila za Wazayuni dhidi ya ulimwengu wa Waislamu, haina maana kuwa hili ndilo tatizo pekee linalowakabili Waislamu hivi leo. Ila tu hakuna namna ya kuukanusha ukweli kuwa kazi inayofanywa na Wazayuni ndiyo hatari kubwa kwa jamii ya Waislamu popote pale walipo. Matatizo mengineyo ni matokeo tu ya sera zinazotekelezwa na (mtandao wa) Uyahudi wa kimataifa.

Wasusi wa mipango ya Wazayuni ni mahodari kweli kweli wa kutekeleza programu yao Duniani kote ikiwa ni pamoja na nchi za Waislamu, ambapo wao hushughulika na kazi ya “kuzalisha” migogoro kwa mpangilio uliotafakariwa barabara. Kwa kweli mbinu yao hii huwa na athari za chinichini mno na ule upeo wa malengo ni wa jumla, kiasi kwamba ni watu werevu na makini tu ndio wanaoweza kuuona mzizi".



Nukuu kutoka kwenye mswaada wa kitabu
changu kinachohusu ujasusi.

Ulimpenda Allah kampenda zaid..rip prof..
 
Sir Mimi,
Unanionea bure.
Kwa kuwa nimenadika kitabu cha Malima basi lazima niandike cha Kolimba?

Angalia historia ya Malima na Kolimba kisha nieleze nani kwa ukweli amekuwa
na historia ambayo ni muhimu ikafahamika.

Unadhani Kolimba ana historia muhimu ikahifadhiwa?
Ikiwa unalo lolote la Kolimba basi lilete barzani tusome usibaki kulaumu.

Tuletee ya Imran Kombe!
 
GuDume,
Bahati mbaya unanishambulia na kunitaja kwa kejeli na kutupa shutuma.
Hali inapokuwa hivi mie hujiweka pembeni.
Ukweli unauma na ni kweli unapotosha jamii na unachochea chuki zisizo na msingi
 
Ukweli unauma na ni kweli unapotosha jamii na unachochea chuki zisizo na msingi
Nra2303,
Hakika ukweli unauma lakini kati yetu nani mwenye ukweli na nani
anaumizwa na ukweli huo?

Ikiwa wewe una historia kinyume na hii niliyoandika basi iweke hapa
jamvini tuisome.

Hili litazamaliza na dhana ya kuchochea chuki na kupotosha jamii.
 
Munachukia historia yeyote nzuri na kuiita udini,hata ikiwa ukweli,kisa ametajwa muislamu.akili zenu finyu za kutaka watu wote waone ukristo siyo chanzo cha matatizo yaliyopo leo duniani wakati hata watoto wa malaya zenu wanajua hivyo.
 
Mzee said, huyu jamaa hapa anaitikisa imani yangu. Msaada sheikh
 
Prof Malima was one of the most bogus professors we ever had at UDSM. With his Ph.D, it is definitely that he was academically good in school, but after attaining that Ph.D. degree and hanging his doctoral certification on one of his welcoming walls, he flushed his brain and remained VOID. It seems that he was a typical of students who work hard to graduate by just following their advisors' instructions without contributing anything. Even his professorial inaugural lecture titled "The political Economy of Devaluation in Developing Countries" was a b/s bunch of stuff. He pushed himself to deliver it because of the pressure he was getting from UDASA after holding a professorial title for many years without delivering this important lecture.
 
Back
Top Bottom