MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kumbuka mpotoshaji aliyejipanga lazima awavutie wengi. Kwa mfano babu wa Loliondo, Kibwetere, Hitler na wengine walifanikiwa kuwapotosha watu wengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahollya,
Huna sababu ya kunitukana kwani mimi sijakutusi.
Nilichofanya nimenyambua kurasa kwenye kitabu cha Prof. Malima ninachoandika.
na kukiweka hapa.
Why debate the past?
Why not?
Elimu dunia tumeikataa?
Umepata wapi hiyo?
Au hujui kuwa Waislam walitaka kujenga Chuo Kikuu mwaka wa 1968 chini ya EAMWS
na jiwe la msingi likawekwa lakini mradi ukahujumiwa kwa Nyerere kuipiga marufuku
EAMWS?
Ukipenda kujijua historia hii nifahamishe.
Mimi naeneza ujinga!
Mimi nimechapwa na Oxford University Press mara kadhaa na vitabu vyangu vinasomwa
kote.
Au hujui hili?
Nalo ungependa nikuwekee hapa nimeandika nini?
Sasa jikague mimi na wewe mjinga ni nani?
Wewe umejaa matusi matupu na ushahidi ni hii post yako ninayojibu.
Elimu ya madrasa ni upuuzi...
Hii umepata wapi?
Mimi ni zao la elimu hiyo na wala si mpuuzi.
Wewe mwenye hiyo elimu isiyo ya madrasa uko humu unatoa matusi na lugha zisizo pendeza.
Hebu jipekue tena ujitazame hiyo elimu unayoisifia imekufaa nini.
Je ungependa nikupe historia ya waliosoma elimu ya madras akina Sheikh Hassan bin Amir,
Iddi Faizi Mafongo, Sheikh Sulieman Takadir, Sheikh Mohamed Ramia na wengine
wengi unajua hawa ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika bega kwa bega na Nyerere
na ndiyo walioijenga TANU?
Usiwe mtu wa kuropoka ovyo.
Tuliza kichwa chako soma na jifunze adabu.
Kahollya,
Huna sababu ya kunitukana kwani mimi sijakutusi.
Nilichofanya nimenyambua kurasa kwenye kitabu cha Prof. Malima ninachoandika.
na kukiweka hapa.
Why debate the past?
Why not?
Elimu dunia tumeikataa?
Umepata wapi hiyo?
Au hujui kuwa Waislam walitaka kujenga Chuo Kikuu mwaka wa 1968 chini ya EAMWS
na jiwe la msingi likawekwa lakini mradi ukahujumiwa kwa Nyerere kuipiga marufuku
EAMWS?
Ukipenda kujijua historia hii nifahamishe.
Mimi naeneza ujinga!
Mimi nimechapwa na Oxford University Press mara kadhaa na vitabu vyangu vinasomwa
kote.
Au hujui hili?
Nalo ungependa nikuwekee hapa nimeandika nini?
Sasa jikague mimi na wewe mjinga ni nani?
Wewe umejaa matusi matupu na ushahidi ni hii post yako ninayojibu.
Elimu ya madrasa ni upuuzi...
Hii umepata wapi?
Mimi ni zao la elimu hiyo na wala si mpuuzi.
Wewe mwenye hiyo elimu isiyo ya madrasa uko humu unatoa matusi na lugha zisizo pendeza.
Hebu jipekue tena ujitazame hiyo elimu unayoisifia imekufaa nini.
Je ungependa nikupe historia ya waliosoma elimu ya madras akina Sheikh Hassan bin Amir,
Iddi Faizi Mafongo, Sheikh Sulieman Takadir, Sheikh Mohamed Ramia na wengine
wengi unajua hawa ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika bega kwa bega na Nyerere
na ndiyo walioijenga TANU?
Usiwe mtu wa kuropoka ovyo.
Tuliza kichwa chako soma na jifunze adabu.
Ana miaka 64 na imekuwa chaka la kujificha. Kumbe unaweza kuwa hata na miaka 200 na bado ukawa mjinga tu usiyejitambua. Busara haikai katika mvi pekee ati!Huyu mzee pia ukimbana anajificha kwenye umri wake na wachapaji kumkubalia kuchapa. Mungu amsamehe Nyerere makosa yake kwa kuwanyoosha watu kama hawa kwa maslahi ya Taifa la Tanzania.
Shimba wa Buyenze,Ana miaka 64 na imekuwa chaka la kujificha. Kumbe unaweza kuwa hata na miaka 200 na bado ukawa mjinga tu usiyejitambua. Busara haikai katika mvi pekee ati!
Hatakaa amsahau Mchonga huyu na wafia dini wenzake. Ndo maana kuna kipindi nilishauri bora tu ajifunge mabomu aende akajiripue huko Butiama ili kukata mzizi wa fitina na kujihakikishia mabikra 72 huko mbeleni. TCRA bado wamelala na wakija kushtuka itakuwa too late!
Diranghe,Huyu mzee pia ukimbana anajificha kwenye umri wake na wachapaji kumkubalia kuchapa. Mungu amsamehe Nyerere makosa yake kwa kuwanyoosha watu kama hawa kwa maslahi ya Taifa la Tanzania.
Maturanya,Mohamed Said you have to re-think before it is too late na utajuja yaani unashinda hapa unatetea falsafa zako unabishana weeee, aaah Mzee unaweza your better than this bwana tafuta style nyingine basi badilisha taste kidogo
Diranghe,Kumbuka mpotoshaji aliyejipanga lazima awavutie wengi. Kwa mfano babu wa Loliondo, Kibwetere, Hitler na wengine walifanikiwa kuwapotosha watu wengi sana.
Diranghe,
Kwanza ningependa kukufahamisha kuwa sikuanza kuandika uzeeni.
Nimeandika nikiwa na umri wa ujana.
Umemtaja Nyerere.
Nakuwekea hapa chini aliyosema Nyerere mwaka 1962 kuhusu tatizo
la udini Tanganyika ikusaidie kuelewa:
Mohamed Said: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIPOZUNGUMZA TATIZO LA UDINI TANGANYIKA 1962
Diranghe,Hiyo kauli ya Nyerere nimeisoma na hakuna aliposema Waislam ndo walileta uhuru. Ni kauli ya kawaida kabisa kwa kiongozi kama yeye. Na huu ujinga kwamba waislamu ndo walileta uhuru wa Tanzania uuache. Nyerere aliona mbali sana kuwabana watu wabinafsi mnaosema ninyi ndo mlileta uhuru.. mngenyanyasa sana Watanzania wengine. Ila tunamshukuru Mungu kwa watu kama ninyi kukosa nafasi katika nchi hii na kuishia kupuuzwa.
Diranghe,Hicho kitabu chako siwezi kukinunua kwa sababu mbili;
1. Kinamwelezea Sykes kama muislam zaidi kuliko mtanzania. Hapo Sykes katumika tu kuuelezea uislam kuliko yeye kama yeye kwa aliyoyatenda kwa ajili ya Taifa bila kujali imani yake. Na kwa vyovyote vile Sykes alitenda yote kwa ajili ya Taifa na sio dini yake tu tofauti na wewe unavyopotosha.
2. Kimetungwa na mtu ambaye kupitia maandishi yake tayari kajitambulisha kama mdini zaidi kuliko utaifa kwanza.
Diranghe,
Sikukiweka ili kinunuliwe.
Hiki kitabu kimechapwa kwa mara ya kwanza London mwaka wa 1998,
Tafasiri ya Kiswahili ikachapwa Nairobi mwaka wa 2002.
Reprinting ya Kiingereza na Kiswahili imefanyika India mwaka wa 2014.
Sasa tunakwenda toleo la nne la kitabu hiki.
Utaona kuwa kitabu kimependwa na kinasomwa sana.
Kilifanyiwa pitio katika Cambridge Journal of African History na John Illife.
Nadhani unatambua maana ya kitu hicho.
Kimefanyiwa mapitio katika journal nyingine kadhaa Marekani na Ulaya
na James Brenan na Jonathon Glassman.
Ingia Google utawajua hao ni kina nani katika African History.
Glassman alinialika chuoni kwake Northwestern University, Chicago kufanya
mhadhara na nilifanya hivyo.
Kupitia kitabu hiki nikaingizwa katika mradi wa Harvard na Oxford University
Press - Dictionary of African Biography (DAB) mradi ambao umekamilika na
kuchapwa mwaka wa 2011.
Ingia hapo chini kwa taarifa zaidi:
Mohamed Said: KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK
Hakuna aliko kushambulia amekueleza ukweli jibu kwa hoja na mifano dhahiri .usikimbie.GuDume,
Bahati mbaya unanishambulia na kunitaja kwa kejeli na kutupa shutuma.
Hali inapokuwa hivi mie hujiweka pembeni.
Mzee anajiita mwanahistoria but simulizi ziko biased sana na characters wa hizo simulizi ni aki na Ali,Mohammed, said ,juma,ashura,seif ,hassan and the like ukimpata john au Robert ni nadra sana .
Kwa kifupi huwa hasomeki nia na madhumuni yake ni nini hasa .
Na hili ni tatizo kubwa sana kwake
Typical,mzee wangu MS unaonekana umebobea sana kwenye uandishi.. hongera.
maandiko yako yanaeleweka, lakini sijui kama yanaelezea ni namna gani waislam watoke hapo walipo na wapige hatua mbele..
siku moja hebu jaribu kufanya utafiti na kuandikia ni kwanini nchi za kiislam,hata zile zenye idadi chache ya wakristo bado kuna machafuko ya mara kwa mara...
au kama kuna chapisho umeshawahi kuliandika naomba uliweke hapa..
Mazigazi,Hakuna aliko kushambulia amekueleza ukweli jibu kwa hoja na mifano dhahiri .usikimbie.