The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

NAsomaga makala zako nyingi ambazo hua sina ufahamu nazo na hua naamini kua usemacho hua ni kweli, kwa hili la profesa Kighma Ali Malima nalikumbuka vizuri sana, kwa ufupi umedanganya tena sana. Malima ali under perform sana kwenye wizara ya Fedha Enzi za Mwinyi, ikumbukwe pia mwezi February Mrema alifukuzwa uwaziri na yeye akaamua kuondoka kabisa ccm, Mrema wa wakati huo alikua kipenzi mno cha Watanzania, wengi wakaanza kuhoji how Mrema aliyekipenzi kafukuzwa na waziri wa fedha ambaye ana under perform vibaya hivyo hafukuzwi!? Ni kwamba hata mzee MWinyi alimwondoa uwaziri kwa shingo upande though inaelekea alikua kipenzi chake; Malima labda atetewe kwasababu ya dini yake but sio taaluma yake, kwenye fedha pale alipwaya sana, tena sana. Nakumbuka mwaka huo huo, hiyo wizara alipewa Kikwete, michakato ya uanzishwaji wa TRA ilianzia kwake, JK ndio alipojengea jina hapo hata kigodo (kama isingekua Nyerere) angepewa na Urais, Kikwete alijengea jina hapo alipoharibu Malima. Kwangu mimi Malima ni miongoni mwa maprofesa walifeli sana kwenye siasa. Kikubwa ilikua ni DINI na UDini wake tu, kwenye performance tuwe wakweli, he was hopeless!
 
I didn't understand even a letter (A) my brother,no punctuations no paragraphs. You come up with critical thoughts but how you present total is poor .

writing style just like devil speech,quote me positive .

kolimba has gone ,malima too
 
Gama nimetafiti katika historia ya kudai uhuru hivyo sina taarifa za Kolimba.
umemuliza mzee kingunge mkuu?

maana alisema ccm.haina dira wala mwelekeo na kingunge alimwambia aende mbungeni akaeleze hayo maneno.sielendelei tena
 

Kusema Mtu Ali under perform au Ali perform bila ya kueleza Facts ni ujuha wa Kiwango cha juu sana. Unapaswa kujua Wakati wa Prof Kighoma Ali Malima Nchi ilikuwa kwny Transition kutoka kwny Mfumo wa Ujamaa kwenda wa Soko huria na Transition Dunia Nzima ni kipindi cha risk kubwa sana lakin Prof Aliwezesha kutuvusha bila ya Mtikisiko Mkubwa wakati Mataifa makubwa Kama ya Russia yakijaribu na kuanguka kabisa. Unaleta Blaa blaa za kusema Jk aliweza aliposhindwa Malima lakin husemi ni yapi hayo? We unadhani Mchakato wa kuanzisha TRA ulianzishwa wakati Waziri wa Fedha alikuwa Nani?

Inawezekana Uchamungu ya Malima ndio Msingi wa Chuki zako ndio sababu ukaitaja kinafki
 
Sijawahi kumchukia mtu kwasababu ya dini yake, kama ingekua hivyo Jakaya Kikwete na Malima wote ni dini moja na wote ni wa mkoa mmoja, how comes nimsifie JK wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo halafu nisimkubali Malima wa dini hiyo hiyo na mkoa huo huo? Hivi ilikuaje akafia London kama kweli ni mchaji wa Mungu!? Tena yasemekana chanzo cha kifo chake kilianzia Bank, waziri wa fedha mcha mungu anaogopa nini kuweka pesa zake kwenye bank za ndani hadi apelike kwa wazungu!? May be hili neon UCHAJI wa mungu lina tafsiri tofauti na ninayo ijua mimi! Usidhani chuki zako wewe kwa watu wa dini zingine basi wote tuko hivyo, NO, absolutely No. Wengine tunamchukilia mtu vile alivyo na sio kwasababu ya dini yake. To me profesa Kighoma Ali Malima ninamfananisha na maporesa wote tu walifeli kwenye siasa, huko kwenye taaluma zao (walimu wa vyuo vikuu) walifanya vizuri sana but Not on the field, hi haina uhusiano wowote na dini ya mtu. Kwa ufupi bwana Yeriko Nyerere nitaanza kua nazifanyia utafiti habari zake cause kwenye hili la Malima ninalifahamu and sihitaji mtu kunisaidia kulikumbuka.
 
Hivi huyo Kighoma Malima si alifariki baada ya JK kwenda majuu kuzuia a/c zake?!
 
I didn't understand even a letter (A) my brother,no punctuations no paragraphs. You come up with critical thoughts but how you present total is poor .

writing style just like devil speech,quote me positive .

kolimba has gone ,malima too
Based on what you have written above, it is clear that you will never understand what I wrote in the paragraph you quoted. I understand that English is not our first language but probably it is your last language.
 

Nasikitika kuona mtu anahangaika kumjenga mwizi mkubwa yule eti bado analazimisha alionewa kwa uislamu wake hata hivyo umemjibu kwa ustaarabu mkubwa sana ila kwangu mimi Malima ni FISADI LILIIBA FEDHA TANZANIA NA LILIKUSUDIA KUINGAMIZA NCHI KWA KUTUMIA UDINI NA CHAMA LAKE NRA LAKINI MUNGU ALISHAONA NIA YAKE MBAYA KAFANYA YALIOMPENDEZA BWANA WA MAJESHI ASIYESHINDWA KITU.
 
I didn't understand even a letter (A) my brother,no punctuations no paragraphs. You come up with critical thoughts but how you present total is poor .

writing style just like devil speech,quote me positive .

kolimba has gone ,malima too
DON'T FORGET STEVEN KIBONA AND GILMAN RUTIHINDA
 
NENO
 
Watu hua wanadanganya hata eti Malima ndio aliyeanzisha mfumo wa NAMBA. Nimeanza darasa la kwanza mwaka 1983, mfumo wa namba ulikuwepo and by that time hakukua na mtihani wa darasa la nne, mwanzilishi wa mitihani ya darasa la nne alikua JAckson Makweta na darasa letu ndio lilikua la kwanza kuanza mitihani hiyo mwaka 1986 na tulitumia namba, kibaya zaidi hata huyu anae jiita Mohamed Saidi nae eti husisitiza kwamba mwanzilishi wa namba badala ya majina ni profesa Kighoma Ali Malima na eti tokea Nyerere awe raisi hajawahi kuweka waziri wa elimu Muislamu, so means Malima alikua waziri wa elimu Enzi za Mwinyi na mimi hapa kama shahidi nilianza shule Enzi za Nyerere, kama sikosei baada ya Makweta alipokewa na Athuman Malagila mbunge wa Iringa mjini kwenye hiyo hiyo wizara na huyu alikua Muislam. Hua binafsi nachukia sana mtu akiwa anajifanya mcha Mungu halafu muongo, mfitini, mchonganishi. Kwangu tu hayo yanatosha kabisa kukupeleka Jehanamu, halafu eti "Fulani ni mcha Mungu" Pumba kabisa.
Nimalizie tu kusema, nina mashaka sana kama kuna mwana siasa wa magamba (iwe leo au hata zamani) ambaye anaweza kusimama mbele za watu na kujisifia kwamba yeye ni mcha Mungu na nafsi yake isimuhukumu, nina mashaka sana. Kighoma Ali Malima hakua msafi, hata kutolewa wizara ya fedha alitolewa kwa hayo ambayo mkuu umeyasema na tena uamuzi wa kumtoa ulichelewa sana, he was suppose to be left even before Augostine Lyatonga Mrema. Kuthibitisha hilo kwanini Mrema alipofukuzwa uwaziri majority of Tanzanians walikua na yeye bila kujali dini zao and then Malima alipendwa na baadhi tu ya waislamu? Hasa wa pale kwenye msikiti wa kwa Mtoro? Tusidanganyane we know Malima, msimpake RANGI ili apendeze.
 

Hata kwenye Taaluma Malima hakufanya vizuri; inawezekana aliingizwa kwenye taaluma ya kufundisha bila kupenda kwa vile ndiyo iliyokuwa njia pekee kwake wakati huo. Malima alianza kazi chuo Kikuu cha Dar akiwa professor kamili kutokana na kuwa alihamishwa kutoka kuwa katibu mkuu wa Wizara ya mipango chini ya Waziri Abdulrahman Babu baada ya kushindwa kazi. Uprofesa alipewa kutokana na mshahara alioingia nao UDSM wa Katibu Mkuu wa Wizara akiwa anabebwa na Nyerere. Ilimchukua miaka mingi sana kutoa Professorial Inaugural Lecture kabla hajakaamka na pumba za "Political Economy of devaluation in Developing Countries" alizotoa akiwa Waziri katika serikali ya Mwinyi. Mwulizeni mwenzie Profesa Shivji kuhusu pumba alizotema jamaa huyo wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…