The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

Mkuu Amalinze asilani huyu mzee hawezi kukuwekea chochote kinachohusiana na mtu anaeamini tofauti na yeye.
Sir Mimi,
Unanionea bure.
Kwa kuwa nimenadika kitabu cha Malima basi lazima niandike cha Kolimba?

Angalia historia ya Malima na Kolimba kisha nieleze nani kwa ukweli amekuwa
na historia ambayo ni muhimu ikafahamika.

Unadhani Kolimba ana historia muhimu ikahifadhiwa?
Ikiwa unalo lolote la Kolimba basi lilete barzani tusome usibaki kulaumu.
 
NRA ilikufa kibudu sana.sasa nimepata japo kidogo kisa cha NRA kushamiri kipindi kile 1995..Eneo nilipokuwepo limenifanya niunganishe na haya..
2hery,
Nami nakuongezea kitu kuhusu Malima na NRA na hali kisiasa ilivyokuwa wakati ule:

After the introduction of multi-parties in 1992 Muslims attempted clandestinely to form a political party, trying to invoke their past history but these efforts were thwarted by the government and other factors, the main one being the problem of organising what is to be an open political party in a clandestine fashion. The mainstay of this movement was the underground Muslim nationwide network which has always been there. The aim was to have a political party which Muslims could control although not in the style of the defunct All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT) founded in 1958 by a splinter Muslim group from TANU following the controversial tripartite voting which came to be known as “Kura Tatu.”[1] However Muslims managed to overcome all obstacles when Prof. Kighoma Ali Malima, a symbol of Muslim resistance to the status quo resigned from the ruling party CCM and joined a little known opposition party, National Reconstruction Alliance (NRA) founded by an obscure Muslim politician and former member of TANU Youth League, one Abubakar Ulotu. Prof. Malima earned the wrath of the government and church when he pointed out the existence of long standing circle of Christian functionaries in the Ministry of Education which was sabotaging and discriminating Muslim youths barring them from higher education. Through a confidential letter to President Ali Hassan Mwinyi he exposed this faction and made suggestions to the government on how to put an end to that discrimination and elevate Muslims.[2] Prof. Malima for this he was labelled a “Muslim fundamentalist” and therefore a dangerous person out to endanger peace which has been observed since independence. To make a long story short Prof. Malima was hounded out of the ministry by the powerful Christian lobby in CCM and Mwinyi’s government. But Prof. Malima did not leave the ministry quietly. He told Muslims what he had found in the Ministry of Education. Prof Malima’s findings complimented an earlier study done by Warsha.[3]

After the resignation of Prof. Malima from CCM, Muslims perceived that act as a signal for the second liberation. Signs that the country was being divided into two hostile camps between Muslims in opposition and Christians in the ruling party were very much evident. Had Prof. Malima lived and with the charged political atmosphere which was there at that time, and stood for presidential election to oppose Benjamin William Mkapa, a Roman Catholic and a Nyerere protégé, one can only speculate the outcome. Although there were four presidential aspirants nationwide the battle would have narrowed down to only the two of them, which are Prof. Malima and Benjamin Mkapa. Retired President Julius Nyerere had seen the danger of such a confrontation and asked Prof. Malima not to resign from CCM. Nyerere knew for Prof. Malima to resign on a Muslim agenda that would make him a hero to his people and Muslims would rally behind him. The country would be split and polarised.

President Nyerere sent emissaries to Prof. Malima pleading with him not to resign from CCM. Prof. Malima was to receive thinly veiled threats from other quarters as to what could happen to the country was he to resign from CCM on a Muslim agenda.

[1] It is believed that it was when TANU voted to take part in the Tripartite Election in 1958 under discriminatory conditions which caused Muslims to lose the political dominance they had enjoyed for many years. Trying to regain their power AMNUT was formed. See Mohamed Said, Uamuzi wa Busara, Abantu Publications, Dar es Salaam, 2009.
[2] Prof. Malima who was the first Muslim to head the Ministry of Education found out that the population of Muslim students in primary school was more than 50% but they were few in secondary schools. He realised something must be seriously wrong in the ministry and he therefore directed that examinations numbers should be used in marking examinations instead of names. After these change the number of Muslims students admitted to secondary schools increased by 40%. Prof. Malima's letter was leaked to the press. It is said that among those who received the report was the Church hierarchy, Nyerere, former Vice-President and Prime Minister Joseph Warioba. Warioba had an axe to grind with Mwinyi because in a government reshuffle Mwinyi dropped him from premiership replacing him with Samwel John Malecela. The Church, Nyerere and Warioba were outraged by the letter and tried to have him sacked from the government and party. Muslims were following closely Prof. Malima’s fight against the Christian bastion with great interest.
[3] In 1991 Warsha, an unregistered Muslim youth organisation commissioned its educationists to write a research paper to show why Muslim students were lagging behind in education. For the first time it was revealed that there was a system in the Ministry of Education supported by Christian functionaries which was discriminatory towards Muslim youths, purposely barring them from institutions of higher learning. The paper was circulated to all Muslims in Tanzania.

(Excerpts from ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania'') Unpublished
 
Nilitegemea jibu hili,ila spelling za jina lake la mwanzo zingeanza na Hamad or Hamis,aahh mbona ungemshushia mistari mpaka aombe poo ila kwasababu yupo upande tofauti na wewe data zake huwezi kuwa nazo,it means,vingi unavyoandika unavitoa kuchwani mwako kwa dhumuni maalumu.
Sir Mimi,
Hakika umesema kweli ninaandika kwa madhumuni maalum.
Naandika yale ambayo naamini hayafahamiki na wengi ingawa yana umuhimu.

Hawa hapo chini ni akina Hamad?:
  1. Mohamed Said: CHIEF DAVID KIDAHA MAKWAIA
  2. Mohamed Said: KUTOKA JF: HISTORIA YA TANU - DK. VEDASTO KYARUZI, KASELLA BANTU NA JULIUS NYERERE
  3. Mohamed Said: LAMECK BUGOHE MUASISI WA TANU 1954 KAFARIKI NA KUZIKWA KIMYA KIMYA
  4. Mohamed Said: LAMECK BUGOHE MUASISI WA TANU 1954 KAFARIKI NA KUZIKWA KIMYA KIMYA
  5. Mohamed Said: KUMBUKUMBU MIAKA 60 YA HOTOBA YA MWALIMU NYERERE UNO MARCH 1955
  6. Mohamed Said: THE STORY OF JULIUS KAMBARAGE NYERERE, 1952 PART ONE
Itapendeza sana kabla hujaandika ukafanya angalau utafiti mdogo au ungeniuliza kama hata
kwa mstari mmoja kama nimepata kutafiti na kuandika historia nyingine nje za Waislam.

Pitia hizo link na upate darsa.

Hao niliowaandika mimi hakuna wengine waliochukua tabu ya kuwatafiti na kuandika historia
zao ukitona historia ya Nyerere.

Hao ndugu yangu ndiyo wanaostahili kushambuliwa na kutolewa maneno ya kejeli siyo mimi.
 
Hawa hapo chini ni akina Hamad

Hapa ni ktk kujitetea na kuficha nia yako ovu,nimekuwa nakusoma sana humu jukwaani mada zako unazozileta mara nyingi zinakuwa na mlengo wa kiimani kuonyesha kwamba imani moja&amma watu wa imani moja ktk taifa hili ndo inayopaswa/wanaopaswa kupewa kipaumbele ktk kudai uhuru wa nchi hii,mara kuonewa wanaonewa wao,sijawahi kuona point ktk uandishi wako,kipaji cha uandishi unacho but sio kwa kuandika historia labda ungekuwa unaandika hadithi ukainufaisha jamii nzima ya waTanzania.
 
Sir Mimi,
Unanionea bure.
Kwa kuwa nimenadika kitabu cha Malima basi lazima niandike cha Kolimba?

Angalia historia ya Malima na Kolimba kisha nieleze nani kwa ukweli amekuwa
na historia ambayo ni muhimu ikafahamika.

Unadhani Kolimba ana historia muhimu ikahifadhiwa?
Ikiwa unalo lolote la Kolimba basi lilete barzani tusome usibaki kulaumu.
Sir Mimi,
Hakika umesema kweli ninaandika kwa madhumuni maalum.
Naandika yale ambayo naamini hayafahamiki na wengi ingawa yana umuhimu.

Hawa hapo chini ni akina Hamad?:
  1. Mohamed Said: CHIEF DAVID KIDAHA MAKWAIA
  2. Mohamed Said: KUTOKA JF: HISTORIA YA TANU - DK. VEDASTO KYARUZI, KASELLA BANTU NA JULIUS NYERERE
  3. Mohamed Said: LAMECK BUGOHE MUASISI WA TANU 1954 KAFARIKI NA KUZIKWA KIMYA KIMYA
  4. Mohamed Said: LAMECK BUGOHE MUASISI WA TANU 1954 KAFARIKI NA KUZIKWA KIMYA KIMYA
  5. Mohamed Said: KUMBUKUMBU MIAKA 60 YA HOTOBA YA MWALIMU NYERERE UNO MARCH 1955
  6. Mohamed Said: THE STORY OF JULIUS KAMBARAGE NYERERE, 1952 PART ONE
Itapendeza sana kabla hujaandika ukafanya angalau utafiti mdogo au ungeniuliza kama hata
kwa mstari mmoja kama nimepata kutafiti na kuandika historia nyingine nje za Waislam.

Pitia hizo link na upate darsa.

Hao niliowaandika mimi hakuna wengine waliochukua tabu ya kuwatafiti na kuandika historia
zao ukitona historia ya Nyerere.

Hao ndugu yangu ndiyo wanaostahili kushambuliwa na kutolewa maneno ya kejeli siyo mimi.

Kwa mtu mjinga unaweza kumdanganya umeandika kuhusu Nyerere "The story of Julius Nyerere part one" Ukisoma ndani unakutana na habari ya kuwapamba masheikh wako wa Kariakoo huku ukimfifisha Nyerere eti alikuwa hajulikani wakati Tabora na Makerere alikuwa tayari kiongozi wa siasa tofauti na hao masheikh wako kazi yao kubwa ilikuwa kucheza bao na kunywa gahawa ya mhaya na mchagga.
 
Hapa ni ktk kujitetea na kuficha nia yako ovu,nimekuwa nakusoma sana humu jukwaani mada zako unazozileta mara nyingi zinakuwa na mlengo wa kiimani kuonyesha kwamba imani moja&amma watu wa imani moja ktk taifa hili ndo inayopaswa/wanaopaswa kupewa kipaumbele ktk kudai uhuru wa nchi hii,mara kuonewa wanaonewa wao,sijawahi kuona point ktk uandishi wako,kipaji cha uandishi unacho but sio kwa kuandika historia labda ungekuwa unaandika hadithi ukainufaisha jamii nzima ya waTanzania.
Sir Mini,
Umesema kweli yote.
Hakika mimi kitabu changu cha kwanza ni ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika.''

Nilikiandika kuonyesha mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hii ni baada ya kuona historia iliyoandikwa haikuwa sawa.

Mimi ninacho kipaji cha kuandika historia tena si kidogo.
Alhamdulilah.

Angalia hapa chini:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

1.
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).
3.
Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
4.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
5.
Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
6.
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
7.
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

8.
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
9.
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
10.
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
11.
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
12.
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
13.
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
14.
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11th April 2004).
15.
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
16.
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
17.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.
18.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
19. Awards: Several Awards.
20.Board Member Radio Kheri
21. Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

Sir,
Ikiwa hujui.
Northewestern University ndiyo wanaongoza dunia nzima katika ujuzi wa African History.
 
Kwa mtu mjinga unaweza kumdanganya umeandika kuhusu Nyerere "The story of Julius Nyerere part one" Ukisoma ndani unakutana na habari ya kuwapamba masheikh wako wa Kariakoo huku ukimfifisha Nyerere eti alikuwa hajulikani wakati Tabora na Makerere alikuwa tayari kiongozi wa siasa tofauti na hao masheikh wako kazi yao kubwa ilikuwa kucheza bao na kunywa gahawa ya mhaya na mchagga.
Ngongo,
Hapana haja ya kutumia lugha zisizopendeza.

Tunaweza tukafanya mjadala wa heshima kwa wewe kusema unayotaka kusema
bila ya kutukana.

Linalokuudhi kwa historia ya Nyerere kuhusishwa na masheikh?

Ikiwa utaandika historia ya Nyerere bila kumtaja Sheikh Hassan bin Amir au Sheikh
Mohamed Ramiya
historia hiyo itakuwa na upungufu kwani itakuwa haikusema kweli.

Chuo Cha Kivukoni ilijaribu hilo ona wapi kitabu chao kilipoishia.

Kwetu sisi watu wa pwani kucheza bao na kunywa kahawa ni katika mila na utamaduni
wetu kama vile wengine hukutana katika vilabu vya pombe ili kulewa.

Ajabu kuwa hata hili linakughadhibisha.
 
2hery,
Nami nakuongezea kitu kuhusu Malima na NRA na hali kisiasa ilivyokuwa wakati ule:

After the introduction of multi-parties in 1992 Muslims attempted clandestinely to form a political party, trying to invoke their past history but these efforts were thwarted by the government and other factors, the main one being the problem of organising what is to be an open political party in a clandestine fashion. The mainstay of this movement was the underground Muslim nationwide network which has always been there. The aim was to have a political party which Muslims could control although not in the style of the defunct All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT) founded in 1958 by a splinter Muslim group from TANU following the controversial tripartite voting which came to be known as “Kura Tatu.”[1] However Muslims managed to overcome all obstacles when Prof. Kighoma Ali Malima, a symbol of Muslim resistance to the status quo resigned from the ruling party CCM and joined a little known opposition party, National Reconstruction Alliance (NRA) founded by an obscure Muslim politician and former member of TANU Youth League, one Abubakar Ulotu. Prof. Malima earned the wrath of the government and church when he pointed out the existence of long standing circle of Christian functionaries in the Ministry of Education which was sabotaging and discriminating Muslim youths barring them from higher education. Through a confidential letter to President Ali Hassan Mwinyi he exposed this faction and made suggestions to the government on how to put an end to that discrimination and elevate Muslims.[2] Prof. Malima for this he was labelled a “Muslim fundamentalist” and therefore a dangerous person out to endanger peace which has been observed since independence. To make a long story short Prof. Malima was hounded out of the ministry by the powerful Christian lobby in CCM and Mwinyi’s government. But Prof. Malima did not leave the ministry quietly. He told Muslims what he had found in the Ministry of Education. Prof Malima’s findings complimented an earlier study done by Warsha.[3]

After the resignation of Prof. Malima from CCM, Muslims perceived that act as a signal for the second liberation. Signs that the country was being divided into two hostile camps between Muslims in opposition and Christians in the ruling party were very much evident. Had Prof. Malima lived and with the charged political atmosphere which was there at that time, and stood for presidential election to oppose Benjamin William Mkapa, a Roman Catholic and a Nyerere protégé, one can only speculate the outcome. Although there were four presidential aspirants nationwide the battle would have narrowed down to only the two of them, which are Prof. Malima and Benjamin Mkapa. Retired President Julius Nyerere had seen the danger of such a confrontation and asked Prof. Malima not to resign from CCM. Nyerere knew for Prof. Malima to resign on a Muslim agenda that would make him a hero to his people and Muslims would rally behind him. The country would be split and polarised.

President Nyerere sent emissaries to Prof. Malima pleading with him not to resign from CCM. Prof. Malima was to receive thinly veiled threats from other quarters as to what could happen to the country was he to resign from CCM on a Muslim agenda.

[1] It is believed that it was when TANU voted to take part in the Tripartite Election in 1958 under discriminatory conditions which caused Muslims to lose the political dominance they had enjoyed for many years. Trying to regain their power AMNUT was formed. See Mohamed Said, Uamuzi wa Busara, Abantu Publications, Dar es Salaam, 2009.
[2] Prof. Malima who was the first Muslim to head the Ministry of Education found out that the population of Muslim students in primary school was more than 50% but they were few in secondary schools. He realised something must be seriously wrong in the ministry and he therefore directed that examinations numbers should be used in marking examinations instead of names. After these change the number of Muslims students admitted to secondary schools increased by 40%. Prof. Malima's letter was leaked to the press. It is said that among those who received the report was the Church hierarchy, Nyerere, former Vice-President and Prime Minister Joseph Warioba. Warioba had an axe to grind with Mwinyi because in a government reshuffle Mwinyi dropped him from premiership replacing him with Samwel John Malecela. The Church, Nyerere and Warioba were outraged by the letter and tried to have him sacked from the government and party. Muslims were following closely Prof. Malima’s fight against the Christian bastion with great interest.
[3] In 1991 Warsha, an unregistered Muslim youth organisation commissioned its educationists to write a research paper to show why Muslim students were lagging behind in education. For the first time it was revealed that there was a system in the Ministry of Education supported by Christian functionaries which was discriminatory towards Muslim youths, purposely barring them from institutions of higher learning. The paper was circulated to all Muslims in Tanzania.

(Excerpts from ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania'') Unpublished

Ndugu yangu,
Wapi naweza kupata hii thesis?
 
Nilitegemea jibu hili,ila spelling za jina lake la mwanzo zingeanza na Hamad or Hamis,aahh mbona ungemshushia mistari mpaka aombe poo ila kwasababu yupo upande tofauti na wewe data zake huwezi kuwa nazo,it means,vingi unavyoandika unavitoa kuchwani mwako kwa dhumuni maalumu.
Mkuu unataka Kasema huyu JAMAA ni mdini
 
Najua Mzee Mohamed umeamka tena hadi Magufuli wetu amalize miaka yake 10. Akija Muislam, kama CCM walivyojipangia hako kautaratibu kasiko rasmi, utapumzika kidogo.
 
Back
Top Bottom