The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

WildCard,
Unajiogopesha bila ya sababu.
Kwangu mie kuwapo duniani miaka 10 ijayo hayo majaaliwa ya Allah.
Najua Topic za Waislam wazuri kwako na Uislam hazitakoma humu na kwingineko. Angalia hiyo picha ya chini kabisa kwenye thread starter yako Mwalimu alivyoishi na kufanyakazi na Waislam waliomuelewa.
 
Nimeiona picha.
Yupo Kawawa na Mwinyi.

Itapendeza kama nitatoa darsa kwa ajili yako na kwa faida ya Majlis.
Naanza na Kawawa kisha tutakuja kwa Mwinyi In Shaallah.

Hii itasaidia Majlis na wewe zaidi kumwelewa Kawawa na
itakuwa manufaa kwani tutazidi kuwaelewa wote - Nyerere
na Kawawa:
Mohamed Said: KITABU CHA RASHID KAWAWA ''SIMBA WA VITA'' MFANO WA UPOTOSHWAJI WA HISTORIA YA UHURU 3

Sasa hali ilivyokuwa wakati Mwinyi anatawala kama rais wa Tanzania:
''Joining in this anti-Mwinyi anti Muslim campaign was the newly established free press controlled by the Christian lobby. In a daring and dramatic encroachment of the Church into politics, the Tanzania Press Club hosted Reverend Christopher Mtikila, secretary of Full Salvation Church. In that press luncheon of the Tanzania Press Club Mtikila attacked Mwinyi's government as being corrupt echoing Nyerere's speech of February that year. [1] Mtikila was not a new name in this anti- Mwinyi campaign. In 1987 during the CCM-NEC conference in Dodoma he distributed a document which among many allegations to Mwinyi he accused him of supporting “Muslim fundamentalism” and slotting Muslims into important positions in his government. Dar es Salaam University also hosted Mtikila and was allowed to talk at the prestigious Nkrumah Hall, the centre of serious debate and lectures by reputable personalities. Mtikila spit his venom by concluding his speech by saying that “the Church must show the way.” [2] The Christian lobby wanted to give an impression that all was not well with Mwinyi’s government. It was possible for this to happen during Mwinyi’s rule because Mwinyi was a gentleman president. What was happening could not have taken place under Nyerere because his was an authoritarian regime in which opposition was completely stifled. Dissent was discouraged through statutes and rarely was Nyerere required to use actual physical force to counter opposition. To the outside world the country gave an impression of unity and stability - a role model for other African countries engulfed with persistent internal strife to imitate. But why was Nyerere quite while this was happening?''

[1]Business Times, 22 June, 1990.

[2]In October, 1989 the Chairman of the Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) Colonel John Garang visited Tanzania. Garang received a very warm reception from the University Community which is predominant Christian. The academic staff as well as students went out of their way to poetry Garang as a “true son of Africa”, and a crusader against Muslim hegemony in Sudan. And Garang cherished every moment of it. The ten percent Muslims at the Dar Es Salaam University did not even dare pose a single question to Garang much as it was evident that Garang was fighting an anti-Muslim war in the name of war of liberation. It was not a wonder that Garang was receiving military assistance and moral support from Christian controlled governments Tanzania being one of them. Garang really felt at home. Garang himself a Marxist Christian was speaking in a Marxist School and among fellow Christians. Probably in response to this visit by Garang, the government of Al Bashir sent its official delegation to try and explain to the people of Tanzania its own point of view to the conflict. The Sudan government delegation was coldly received at the University. Protocol was flouted shamelessly. While Garang was accorded all the honours fit for a head of state, the Vice Chancellor himself receiving him, the Sudanese government delegation was received by one of the academic staff in the Department of Political Science. The Vice Chancellor was conspicuously absent. Garang spoke in the famous Nkrumah Hall, the venue for all visiting dignitaries. The Sudanese government delegation was ushered hurriedly into a lecture theatre. The University administration knows who can speak in the lecture theatre and who cannot speak in the Nkrumah Hall. The University community made sure that the Sudan government delegation understands that it had walked into an alien territory, where Islam in whatever form was not tolerated. Hostility through rhetoric in the question posed to the delegation was evident from every angle. But the speakers were not intimidated they were cool and composed taking everything in their stride. The audience seemed only interested in painting the delegation as descendants of Arab slave traders presenting an anti- Christian regime. Islam was taken to be synonymous to Arabism by the born-again Christians in the audience who posed questions, while the Marxists thought the conflict in Sudan could be solved through class struggle and advised the delegation that the problem could be understood better through class analysis. It was clear that the audience was either ignorant of the background to the conflict or was so much taken by anti-Muslim sentiments portrayed by the international press that it lost all objectivity, untypical trait of academicians.
 
Tunafurahi kuwa tunapata muda wa kusikiliza story mbalimbali toka kwa bwana mohamed said na dhana zake mbalimbali. ni jambo jema maana anapata nafasi ya kupunguza mawazo na wengine pia wanapata muda wa kuburudika. sijajua katika hizi hadithi alizokuwa nazo kwa miaka kadhaa sasa zimesaidiaje sana kwenye jamii yake. maana mimi nlidhani alipaswa sana sana angejikitika kuwasaidia ndugu zangu wa kiislamu kwenye mikoa mingi ya pwani au ambayo ilikuwa chini ya mwarabu kupata elimu na kuacha kulalamika miaka na miaka.
mohamed said amekuwa mmoja ya waislamu ambao hawana msaada kwa waislamu wenzao hata kidogo. na hili ndo huwa linaniuma sana. badala ya kutafuta namna ya kuwasaidia waweze pata elimu, waelimike wajiweze waache kulalamika yeye amekuwa akiwaongoza kulalamika miaka kadhaa sasa.
ni aina ya watu kama wale viongozi wa boko haram ambao walipata elimu kiasi flan wakaja kuitumia kwa manufaa yao kuwadanganya wajinga. so ni vizuri kuwepo mtu kama huyu ili naye aweze kuwapotosha maamuma kwenye mambo haya akawapotezea muda wazidi kujikita kwenye malalamiko na siku zinaenda. "THERE IS NO FUTURE IN THE PAST" na huwezi badilisha historia. Na mbaya kwa kujichanganya umemzungumzia Mtikila kana kwamba eti alikuwa anamponda Mwinyi na hakuwa alishindwa kumponda Nyerere. Inaonekana humfaham Mch Mtikila. Mtikila ndiye kiongozi aliyekuwa akiweza msema Nyerere kwa uhuru kabisa na kumsema alitawazwa kuwa kiongozi wa nchi na washirikina na Nyerere anakiri kuwa alishawahi kufanyiwa zindiko na wazee flan flan akafukiwa akachinjiwa na mbuzi n.k na hao wazee unaowasema.
Ni mtikila aliyekuwa anampinga Nyerere kwa uwazi na kuukataa huu Muungano. Ni huyu Mtikila alimwita Rais Mmoja wa Tanzania kuwa ni GAIDI na akashinda Hiyo kesi mahakamani. So mtikila alikuwa akizungumza kitu anachokijua. Prof Kighoma Malima nini kilikuwa chanzo cha kifo chake? unadhani NRA ilikuwa tishio? la hasha.
Kighoma malima alikuwa amepewa pesa nyingi sana na mataifa flani kwa ajili ya kuchafua amani ya Tanzania na bahati mbaya alifariki akiwa katika harakati hizo. na pesa zake nasikia zilitaifishwa na serikali iliyokuwepo madarakani wakati huo ambayo utanikumbusha ilikuwa sijui ni ya Rais gani.
Ni upumbavu kudhani kuna chama kinaweza kuongoza tanzania kwa kupitia WAKRISTO peke yake. na Ni Upumbavu kudhani kuna chama kinaweza kuongoza tanzania kupitia WAISLAMU PEKE yake. ashakum si matusi nimetumia neno Upumbavu.
Said Mohamed mi napenda unapojaribu kila mara kuelezea historia yako au amabvyo ungetaman iwe kulingana na itikadi yako. ni jambo jema kabisa maana mimi binafsi hunisaidia kujua wengine wanawaza nini na je katika hayo wanaonekana wanasonga mbele au wanarudi nyuma. Nliwah kuuliza ni utawala gani waislamu hawakuwahi kuonewa hapa duniani? na kwa nini wao waonewe kila sehemu? kutakuwa na tatizo katika fikra za wahusika wa hayo malalamiko.
Wakristo/Waislamu ni dini ambazo tumezikuta zikiwa na misingi na imani tofauti, Mungu tofauti, saikolojia tofauti,mitizamo tofaut, tamaduni tofaut n.k sisi waafrika tulizipokea na kuchukua mpaka tamaduni ya asili ya dini hizo na mpaka saikolojia yake ikatukaa tukajikuta tunakuwa na dini ya Watu wakatili,Wenye kiu ya kumwaga damu, wenye chuki na tunakuwa na dini yenye watu wanaosisitiza upendo,mshikamano na kusameheana. hii imejengeka hivyo toka tangu na tangu.
na ndo maana ukimkuta mkristo ana ustaarab wake, ukimkuta muislamu ana ustaarab wake, ukimkuta baniani ana ustaarab wake. kwa sababi dini zinakuwa zinamjenga mtu mentally ,spiritually na hata emotionally. so kuna watu wana hulka flan kulingana na imani za dini zao ni saikolojia tu. malezi na makuzi au wanayoaminishwa.
mimi ninachosema kila siku tusijenge kuwa na tabata linaloamini lenyewe siku zote halina jema, na tusijenge tabata ambalo ni lalamishi miaka yote. kama John ataua mtu kwa kisingizio flan asisemwe mkristo ameua kwa sababu ukristo unakataza kuua kwa kigezo chochote kile(labda sasa iwe ni kuwa likuwa akipambana) but si kuwa eti Kristo ametukanwa basi huyu John Mkristo Mpumbavu akasema kwa kuwa wamemtukana Yesu basi anaenda kuwalipua. Huo si Ukristo.
nachotaka kusema ni nini? Hakuna Utawala wa kikristo duniani..popote pale. ila wapo watawala wenye majina ya Kikristo. Ukristo si jina au kwenda tu kanisani. Mimi sijui kama Nyerere alikuwa mfuasi wa Kristo. sijui kama mwishowe alikuja kutubu kwa mabaya aliyotenda kama binadamu.
But siwezi mtetea Nyerere au mshambulia kwa sababu ni mkristo. hali kadhalika siwezi Mtukana X kwa sababu ni Muslamu nikasema hafai kabisa kwa kigezo cha uislamu. ntakuwa MPUMBAVU nami naogopa kuwa mpumbavu.
Nyerere anapingwa hata na wakristo katika mambo kadhaa. Tumekuwa na Marais goi goi lakini sitaki kuamini ni kwa sababu ya dini zao. tumekuwa na marais/rais hopeless lakini staki kuamini ni kwa sbab ya dini yake.
Huwa nawatizama wanozungumzia dini na nawashangaa maana mafisadi ni hawa hawa akina john,mohamed,ali,frank,fatma,stella. hawa hawa huenda kanisani na misikitini. na hawa hawa hutumia viambaza hivyo kwa manufaa yao kisiasa nasi kwa kufunikwa na udini tunakuja hapa na kuwafanya mashujaa.
Prof kighoma malima amelifanyia nini Taifa hili? mbali na yeye kuwa muislamu? kalifanyia nini taifa hili? au ni zile zile story za kwnye vijiwe vya kahawa na kashata?
mi napenda uendelee na moyo huu huu . na pia kuna mengi ambayo naweza nikakupa dondoo uandikie kuwasidia "ndugu" zangu wa kiislamu. nashukuru mimi nina upande wa dini zote mbili kwa baba na kwa mama. so nafaham mambo haya na hulka ya dini hizi kwa kiasi kikubwa sana.
 
GuDume,
Bahati mbaya unanishambulia na kunitaja kwa kejeli na kutupa shutuma.
Hali inapokuwa hivi mie hujiweka pembeni.
 
Mohamed you are pathetic...now at this error who do you think 'oud care 'bout Kigoma malima stupid muslim professor who worked so hard to sow the seeds of hatred between the two ethnicities? Damn you ..the like of you no way must be hunted...Nyerere's differences with Kigoma has nothing to do with the living...perhaps the AGENTS OF EVIL SUCH AS YOU AND SHEICKH PONDA NEED who so urgently must BE ANIHILATED possibly ...
 
Kahollya,
Why the anger, insults and threats?
Let us debate:

Betrayal of Ideals
On 5 th November, 1985, before he stepped down as president, Nyerere delivered an emotional speech to elders of Dar es Salaam. Most of them were former members of TANU-the townsman who supported Nyerere during the struggle for independence[1] Nyerere acknowledged the role of Muslims in those difficult days. Nyerere told his audience that the imbalances between Muslims and Christians which his government had inherited from the British were rectified under his rule:

''And they (Muslims) gave us chance through our education policies, to correct the imbalances which we have done. I am now in the happy position of sometimes not knowing whether a new member of Parliament, a Minister, or a Principal Secretary in our government ministries, is a Muslim or a Christian or neither unless their first name happens to give it away. And even that is not a sure guide in Tanzania, for we have Christians with Muslim names, Muslims with Christian names. This religious tolerance and freedom is your creation; what I have done is to speak up for those values on your behalf. [2]''​

The speech was a farce. The truth is that three decades after independence Muslims are not better off than they were under colonialism. Sivalon has revealed that the Church has been able to create its own lobby which controls 75% of the seats in the parliament. Among these seats 70% are held by Catholics and the rest are divided among Muslims and Christian denominations.[3]

(From: ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press, London 1998.

[1] See footnote no.19.

[2] Daily News, 6 th November, 1985

[3] Sivalon, op.cit. p. 49.
 
Utahangaika sana kumsafisha Kighoma Malima.

He was divisive just like you.
He was also corrupt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa waziri wa Fedha ndiye aliyeenda ku-freeze account zake za kifasadi huko UK na Malima akapatwa na shinikizo la damu lililomuua.

Na si kweli kuwa Malima ndiye aliye anzisha mfumo wa namba za mitihani (Najua baadaye utaleta hizo stories).
tell us who then
 
Kwa jinsi Mohamed Saidi alivyo mdini hata ajali ya gari ikitokea na mkristu akawa kamgonga muislam atasema amemgonga kwa makusudi kwakua ni muislam. Na kama Muislam ndio kamgonga mkristo atasema huyo mkristo amemsababishia mwenzake ajali kwa makusudi kwakua ni muislam. Huyu mzee ni mdini mnooo.
 
NAWACHUKIA SANA WATU WANAO POTOSHA UKWELI NAKUINGIZA DINI NATAMANI SANA THIS TYPE OF PEOPLE WANYONGWE. PIA ACHA MAELEZO MENGI WAKATI MUHUSIKA ALIKUWA NAYAKE NYUMA YA PAZIA LEO UNALETA UDINI NA KIFO CHAKE SHAME ON U. KWANINI KILASIKU UISILAMU TU UISILAMU TU WAKATI KATIBA YASEMA SERIKALI HAINA DINI.
 
Duhh, very interesting inawezekana huyu prof. aliuwawa halafu zikatengenezwa siasa zinazo karibiana na ukweli kuwa alikufa kwa presha baada ya akaunti zake kufilisiwa.
 
A
Kahollya,
Why the anger, insults and threats?
Let us debate:

Betrayal of Ideals
On 5 th November, 1985, before he stepped down as president, Nyerere delivered an emotional speech to elders of Dar es Salaam. Most of them were former members of TANU-the townsman who supported Nyerere during the struggle for independence[1] Nyerere acknowledged the role of Muslims in those difficult days. Nyerere told his audience that the imbalances between Muslims and Christians which his government had inherited from the British were rectified under his rule:

''And they (Muslims) gave us chance through our education policies, to correct the imbalances which we have done. I am now in the happy position of sometimes not knowing whether a new member of Parliament, a Minister, or a Principal Secretary in our government ministries, is a Muslim or a Christian or neither unless their first name happens to give it away. And even that is not a sure guide in Tanzania, for we have Christians with Muslim names, Muslims with Christian names. This religious tolerance and freedom is your creation; what I have done is to speak up for those values on your behalf. [2]''​

The speech was a farce. The truth is that three decades after independence Muslims are not better off than they were under colonialism. Sivalon has revealed that the Church has been able to create its own lobby which controls 75% of the seats in the parliament. Among these seats 70% are held by Catholics and the rest are divided among Muslims and Christian denominations.[3]

(From: ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press, London 1998.

[1] See footnote no.19.

[2] Daily News, 6 th November, 1985

[3] Sivalon, op.cit. p. 49.
Mzee wangu Mohammed Said,Mwenyezimungu atakulipa kwa hekima,busara na subra ya hali juu sana,maandiko yako yamejaa utajiri wa historia ambayo huwezi kuipata popote,hakika wewe ni mja mwenye akili
 
Dilekeni,
Amin ila mie ni mwanafunzi tu kaka hapa sote tunasomeshana.
 
Kwa jinsi Mohamed Saidi alivyo mdini hata ajali ya gari ikitokea na mkristu akawa kamgonga muislam atasema amemgonga kwa makusudi kwakua ni muislam. Na kama Muislam ndio kamgonga mkristo atasema huyo mkristo amemsababishia mwenzake ajali kwa makusudi kwakua ni muislam. Huyu mzee ni mdini mnooo.
Al gator,
Lete ushahidi wa udini wa Mohamed Said.
 
Mzee Mohamed Said tuletee pia The Last Days of Horace Kolimba.
We nawe. Kwani Kolimba Mwislamu? Mwanahistoria huyu huwa hajishughulishi na historia ya makafiri. Yeye ni waislamu tu kwani wao ndo waliteswa sana na kunyimwa nafasi za kusoma elimu dunia na utawala wa kigalatia wa Nyerere.

Hata hapa huoni kuwa ana-insinuate kuwa Malima pengine aliuawa na makafiri?
 
Back
Top Bottom