Maandishi yako yote ambayo nimeshawahi kuyaona japo unajaribu sana kuyapamba na kuyavika vazi la "unofficial history" lakini the common theme ni ile ile: kuonyesha jinsi waislamu walivyoonewa na kuteswa na Nyerere na mfumo wake wa kikristo. Wachache wasioelewa hasa lengo lako ni nini huwa wanakusifia.
Mtu unavumilia mpaka mwishowe unafika mwisho na inabidi useme tu ukweli liwalo na liwe. Yes wewe ni mtu hatari na acha tu waendelee kukuchekea waone utakakowafikisha. Unaweza kuniambia lengo lako la hizi porojo za siku za mwisho za Kighoma Malima ni nini kama siyo ku-implicate kwamba aliuawa na Nyerere? Ukiambiwa utoe ushahidi utaweza? Chuki, chuki na kujaribu kuchochea mioto ambayo wala haikuwahi kuwaka.
You, sir, are not a muslim scholar, an intellectual or an investigate historian. On the contrary you are just an angry person and a religious fanatic full of hatred. There I said it! That's who you are hata ujifiche vipi lengo lako na theme-mama katika maandishi yako itakutosa tu.
By the way, sikujua kama Taliban ni sifa mbaya kwa watu kama wewe. Sorry for that ma braza.
Shimba...
Tutakwenda hatua kwa hatua In Shaallah.
''Maandishi yangu yote...''
Hata mimi mwenyewe sijui nimenadika kiasi gani ukiacha vitabu na ''papers.''
Nakuwekea hapa chini baadhi ya machapisho yangu uangalie ni ngapi
Nyerere yumo:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
1.
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as
Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).
3. Contributing author for an African anthology:
The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
5.
Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
6.
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
7.
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
8.
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
9.
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
10.
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
11.
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
12.
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
13.
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
14.
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11th April 2004).
15.
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
16.
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, and Nairobi.
17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.
18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Sasa tuje kwenye ''mtu hatari...''
Miaka yote hiyo naandika nahadhiri, nachapwa na ''publishers'' ndani na nje ya nchi ''mtu hatari,'' naalikwa kwenye mikutano, nakwenda kwenye vyuo kama ''visiting scholar'' ''mtu hatari...''
Umeniuliza nini lengo langu.
Kila kitabu, kila ''paper'' niliyoandika ina lengo lake maalum sitoweza hapa kukueleza yote ila nitakwambia kuwa kitabu cha
Abdulwahid Sykes lengo lake lilikuwa kuonyesha mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Historia hii ilikuwa imefutwa kwa kukusudiwa.
Ukitaka ushahidi wa hilo na mengine fungua uzi makhsusi.
Angry person?
Soma unavyoandika na nisome mimi kisha jiulize nani anaandika ameghadhibika.
Au ukipenda tunaweza kuwaachia wanaukumbi watuamue.
Unazungumza kuhusu chuki.
Ushamsoma
P van Bergen (1981),
Sivalon (1992),
Njozi (2002) wanasema nini?
Kuhusu ''Taliban'' wapi nimesema ni sifa mbaya?
Nilichokueleza ni kuwa umenipa jina ambalo si langu.
Waingereza wanasema, ''name calling.''
Naamini unatambua kuwa watu hapa JF hupewa ''kifungo'' kwa kosa la ''name calling.''