Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #101
Sir Mimi,Sijalalama mkuu,hizo link ukizifungua hamna jipya nimezifungua sana kwenye mabandiko mengine humu ni yaleyale ya siku zote so kusema nizifungue tena ni kupoteza muda na kuchosha akili ndo mana nikahitimisha kumshauri mzee wetu kwamba,kwa sifa ya utunzi aliyonayo ingependeza zaidi kama akajikita kuandika vitabu viakavyosomwa na jamii nzima ya wa-Tanzania sio kama hivi anavyopigania kutugawa,huyu ni hazina kwa taifa but halitendei haki taifa letu,kwamba anaitumia kalamu yake vibaya.
Wewe unaweza kuwa kweli umenisoma sana kwa hiyo kwako
hakuna lazima ya kuzifungua ''link'' ambazo ushazisoma.
Lakini kuwa wengine leo ndiyo mara yake ya kwanza kunisoma.
Hawa ndiyo ninaowakusudia na kuwawekea hizo ''link.''
Mimi sijamgawa yeyote.
Ikiwa unataka kuijua historia hii ya kuligawa taifa hili hebu msome:
P van Bergen (1981), Sivalon (1992) na Njozi (2002).