The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Husband achana nayeee picha yangu ya nn wewe ndo unayelala na mm wengine wanataka wapate za nn

Naheshimiana sana na mshana jr lakini hili suala la wewe kua ubavu wake ghafla bado linanisababishia chembe moyo kabisaaaa!!!!

Sijajua ni yale masory ya bonge au yule mzee wa full doze yamempagawisha kiongozi wangu? Uzuri siku zote nayaamini sana maamuzi yake.

Hapa amenitandika chale za mbavu na ulimi kuniwekea kismasi niwe kama Ice, maumivu yake sasa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…