The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Siku zote nimekuwa najiuliza inakuwaje mwanaume unatumia 'viemojiemoji' vya udaku kama kina mwanahamisi..ila leo uzi huu umenasibisha jinsi akili yako ilivyo cheketuliwa..empty set kabisa
Nimefatilia comments zako hakuna hata moja ambayo unaelewana na watu sijui ni wivu???
 
Acha kumchora mwenzio, Dodoma na Dar wapi na wapi au kila siku anaruka kwa vitunguli...
 
Nyata na wewe tunguli zikunyatie...
 
Ama kweli vitunguli vishatingisha mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…