Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Ake ni pigo ndio lakin point yangu ni kwamba, atleast tuna laporte ambae tayari ana experience ya kucheza hilo eneo tofauti na tungekuwa hatuna kabisa.Najua kwamba alishacheza hapo mara kadhaa lakini hajawahi kudeliver na kuonyesha composure kwa kiwango alichoonyesha Ake.
Ake's injury is a huge and serious blow.
Ngoja tuone atakuwa ruled out kwa muda gani.Hata game ya arsenal naona ataikosa.
Mbadala wa gundo unatafutwa hapo.Mateo Kovacic's representatives have officially entered talks with Manchester City for a potential transfer from Chelsea.
Dakika ya 16Arsenal washinde leo wajipoze maana kisago cha etihad hakitakua cha kitoto.
Hii timu ambavyo hawako serious, unaeza shangaa naleo wanadroo [emoji23][emoji23][emoji23]
Soton hamna kitu pale me wala sina mategemeo yeyote pale, wale watapigwa 4 ama 5.Dakika ya 16
Arsenal 0-2 saton ...
Saints sioni wakilinda hizo goli.Yaani na leo akitoa sare huyu itapendeza sana naona kachomoa 1
Mnasubiri soton amng'ang'anie arsenal?Japo wanaongoza half time ila wanapelekewa moto, sioni wakilinda goli nilale tu.
Mpira unadunda huu, unaweza shangaa wakapigwa pressure hivyo hivyo tu mpaka game ikaisha.Mnasubiri soton amng'ang'anie arsenal?
Mimi wale sijawapa dhamana, hapo watapigwa comeback watakula 4.
Arsenal tutamsulubu sisi wenyewe hao walala hoi hamna kitu wanasubiri kushuka daraja tu.