The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

ukiwa citizen tembea kifua mbele sema hakuna mjinga wakuchukua point mtu anaesema tutafungwa bac kaanza kujua mpira kwa zincheko
 
Mechi zilizosalia ni hizi.

Fulham (Away)

West ham (Home)

Leeds (Home)

Everton (Away)

Chelsea (Home)

Brighton (Away)

Brentford (Away)
Kabla hatujacheza game ya Brighton na Brentford tutakuwa tushatangaza ubingwa ....

Arsenal hachomoko Kwa Newcastle na Brighton ....
 
Kuna ka clip kanatembea mtandaoni kanamuonesha kipara wakati wengine wanashangilia goli la kwanza yeye akamuita ederson akaanza kumfokea [emoji23][emoji23]
Arsenal walikuwa wanakabia juu ,Sasa wanafanya pressing Kali ...

Ederson akampa stone mpira kwenye mazingira magumu ,maana jesus ,martnell walikuwa washafika miguuni ,pep ndio alimind sanaa ....stone akabutua kwenda mbele ,uzuri ukamkuta halaand ,haaland anatoa pass Kwa kdb kdb akafunga ....

Ederson ujinga wake ni kutoa pass wakati mchezaji yupo kwenye angle ngumu ....rodri alishawahi fanyiwa hivo ,tukapigwa ...
 
Kabla hatujacheza game ya Brighton na Brentford tutakuwa tushatangaza ubingwa ....

Arsenal hachomoko Kwa Newcastle na Brighton ....
Arsenal sasa hivi wameshavurugika kisaikolojia, huenda wakazidi kupasuka.
Cha muhimu sisi tushamaliza kazi yetu, tufocus na mechi zetu tu wao watajijua wenyewe sababu kwa sasa hatima ya ubingwa wa epl ipo mikononi mwetu tayari.
 
Haaland jana alikuwa hajafocus kwenye kulishwa pekee, alikua involved kwenye kutengeneza space kwa wengine.

Akiwa na trait hiihii, basi tutakuwa tumeshampata kane wetu.
Na ndio kinachofanyika, anatengenezwa kuwa Kane.
 
Vijitu vinakaa vinadanganyana arsenal bingwa pumbavu. Watu tumekimbizana na liverpool ambayo ilikua ni bora kuliko arsenal af et leo kigenge cha watoto kitusumbue, kuna watu utafikiri wameanza kuangalia epl juzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manu Akanji, mtu na nusu huyu bwana, BVB lishakua chimbo letu hawajawahi kutuangusha, vile tuliwabeba akanji, haaland, gundogan the same tunatia nanga kwa bellingham.

Sheikh mansoor afanye kuiongeza bvb kwenye city group, wanatupa vyuma sana hawa.
Bellingham akija City bas woyaaaa woyaaaaa.
 
According to Noel Gallagher who entered the dressing room after the match, Erling Haaland looked gutted & unsatisfied by his own perfomance.
He think he should've scored atleast a hat trick!

What a fvcking mentality.
 
According to Noel Gallagher who entered the dressing room after the match, Erling Haaland looked gutted & unsatisfied by his own perfomance.
He think he should've scored atleast a hat trick!

What a fvcking mentality.
We call it a monster mentality.

Jamaa ana akili ya kiuaji sana, yan pale anaona kazingua kinoma [emoji28]
 
Ni mwezi huuhuu ambao Arsenal alikua anatuacha point 8.

Lakini mwezi huu huu hata haujaisha tayari tunaongelea point 2 na game 2 mkononi.

Kweli kuna timu hazijielewi.
 
Pep guardiola has said kevin de bruyne requested to come off because he felt some "niggles" in his legs.

Mwanaume kapiga kazi mpaka miguu imemwambia mzee imetosha utatuvunja.
 
10 Premier League fowards with the best goals per game (GPG) ratio since 2000.

10. Diego Costa

Matches: 104
Goals: 52
GPG: 0.50


09. Robin Van Persie

Matches: 280
Goals: 144
GPG: 0.51


08. Zlatan Ibrahimovic

Matches: 33
Goals: 17
GPG: 0.52


07. Mohammed Salah

Matches: 224
Goals: 136
GPG: 0.61


06. Luis Suarez

Matches: 110
Goals: 69
GPG: 0.63


05. Ruud Van Nistelrooy

Matches: 150
Goals: 95
GPG: 0.63


04. Harry Kane

Matches: 314
Goals: 207
GPG: 0.66


03. Sergio Aguero

Matches: 275
Goals: 184
GPG: 0.67


02. Thierry Henry

Matches: 259
Goals: 175
GPG: 0.68


01. Erling Haaland

Matches: 29
Goals: 33
GPG: 1.14
 
Kevin De Bruyne, John Stones and Erling Haaland have been nominated for the Etihad player of the month award.
 
Ni mwezi huuhuu ambao Arsenal alikua anatuacha point 8.

Lakini mwezi huu huu hata haujaisha tayari tunaongelea point 2 na game 2 mkononi.

Kweli kuna timu hazijielewi.
[emoji23][emoji23] imagine tulivyokuwa kwenye race na liverpool, ilikua shinda nishinde hakuna mtu kudondosha point hovyo, sasa hawa vibwengo wanadroo wanaenda mechi 4 bila kushinda af wanataka kombe, ujinga mtupu.
 
Huyo tutamdaka tu pale ndio shamba la bibi kwa city.
Huyu bellingham huwa naona anakuwa overrated, tungeconcentrate kwa hawa.

1. McAllister
2. kovacic
huwa sioni kitu chochote alichonacho bellingham ambacho hawa watu hawana na bei zao ni ndogo kuliko Jude.
 
Huyu bellingham huwa naona anakuwa overrated, tungeconcentrate kwa hawa.

1. McAllister
2. kovacic
huwa sioni kitu chochote alichonacho bellingham ambacho hawa watu hawana na bei zao ni ndogo kuliko Jude.
Umri ndio factor kubwa.
Bellingham ana miaka 19, una uhakika wa kumtumia kwa zaidi ya miaka 10 ijayo, hao wengine tayari wapo 25+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…