kayamtumbi
Senior Member
- Aug 6, 2022
- 134
- 136
Tukutane saa 6 uckuEndelea kubisha utajionea mwenyewe,Man City Haina beki za kuwazuia Vinicious na Benzema,leo lazima mtayakanyaga.
Kapambanie kwanza kutushusha pale kileleni, habari za madrid ni maji marefu sana kwako.Endelea kubisha utajionea mwenyewe,Man City Haina beki za kuwazuia Vinicious na Benzema,leo lazima mtayakanyaga.
Unajua kuna watu bado hawaamini tunaenda kubeba hii uefa.Pep "one day we will reach the final and we will win it"
June 10 is going to be that "one day"
Kenge kusikia mpaka damu imtoke masikioni.Unajua kuna watu bado hawaamini tunaenda kubeba hii uefa.
Washazoea city ni wa kutolewa tu wacha waone.
Watu wanampa nafasi madrid eti sababu ya historia, vichekesho.Sioni Madrid akichomoka leo kwa beki ile wamzuie Haaland. Itoshe kusema Madrid ameyakanyaga leo. Tukikosa kuingia fainali kwa kikosi hiki kweli ntaaminj tuna laana.
Leo nimageuziMan city msimu huu kwenye uefa tumeshinda mechi moja tu ya ugenini.
1 win
4 draws
0 loss
Mauaji yote ni etihad.
Wanashindwa kujua Madrid mwaka jana kashinda dakika za mwisho sababu ya timu yetu kukosa uzoefu wa games za mtoano UCL na beki ya kulia alicheza Walker akiwa not 100% fit na babu Fernandinho.Watu wanampa nafasi madrid eti sababu ya historia, vichekesho.
Draw vs copenhagen (heavy rotation)Man city msimu huu kwenye uefa tumeshinda mechi moja tu ya ugenini.
1 win
4 draws
0 loss
Mauaji yote ni etihad.
What makes him even more dangerous ni kwamba huwa ana combine na rodrigo ambaye huwa anatoka kulia kuja upande wa kushoto, kulia wanamuacha valverde.Vinicius jr ana goal contribution ya 43 goals msimu huu.
Utaona ni kwa namna gani wanavyomtegemea vinicius.
Walker akimuweka mfukoni huyu chalii madrid wanakuwa vilema.