The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep "one day we will reach the final and we will win it"

June 10 is going to be that "one day"
 
Guardiola alikuwa smart sana kuja na double pivot ya Stones & Rodri.


...........rodri.......stones....

Akanji.........dias..........Walker


Hapa vinicius na benzema watapata tabu sana.
 
Sioni Madrid akichomoka leo kwa beki ile wamzuie Haaland. Itoshe kusema Madrid ameyakanyaga leo. Tukikosa kuingia fainali kwa kikosi hiki kweli ntaaminj tuna laana.
Watu wanampa nafasi madrid eti sababu ya historia, vichekesho.
 
Man city is the only unbeaten team until now in UCL this season.

Tunachukua ubingwa bila kupoteza mechi yeyote.
 
Watu wanampa nafasi madrid eti sababu ya historia, vichekesho.
Wanashindwa kujua Madrid mwaka jana kashinda dakika za mwisho sababu ya timu yetu kukosa uzoefu wa games za mtoano UCL na beki ya kulia alicheza Walker akiwa not 100% fit na babu Fernandinho.

Msimu huu yale makosa ya Mwaka jana hayawezi kujirudia kwanza beki tuna ukuta wa Berlin na kuhusu mentality tuna Monster mentality ya kibingwa hakuna kima yoyote ateyeweza katiza bila kupewa dozi nzito hapo sijamgusia jinj Haaland.

Narudia tena "Madrid kayakanyaga leo" kama hawaamini wakawaulize Bayern wawasimulie.
 
Man city msimu huu kwenye uefa tumeshinda mechi moja tu ya ugenini.

1 win
4 draws
0 loss

Mauaji yote ni etihad.
Draw vs copenhagen (heavy rotation)

Draw vs dortmund (injuries & rotation)

Draw vs leipzig (incosistency)

Draw vs bayern (second leg defensive mentality)

Vs madrid ?

Tuna kila sababu ya kumpiga.
 
Vinicius jr ana goal contribution ya 43 goals msimu huu.
Utaona ni kwa namna gani wanavyomtegemea vinicius.
Walker akimuweka mfukoni huyu chalii madrid wanakuwa vilema.
What makes him even more dangerous ni kwamba huwa ana combine na rodrigo ambaye huwa anatoka kulia kuja upande wa kushoto, kulia wanamuacha valverde.

Huko kwenye mbavu yetu ya kulia kunahitaji nguvu kazi ya kutosha.
 
Uzuri kikosi siku hizi kina tabirika sio kama zamani.

Kosi la ushindi.


Grealish___Haaland___Bernado



Gundogan___Rodri___KDB



Akanji__Dias__Stones__Walker


_____Ederson


Hapa wala hauhitaji degree ya ukocha kujua kikosi ni hiki.
 
Back
Top Bottom