Laana ipi iyo tumefungwa fainal ngapi?Kila la kheri inter Milan
Man City ina laana ya Uefa
Mkipata hata goli moja nipo pale mje
Nani aliejiamini embu tumuoneLeo mme jiamini sana ndo anguko lenu lazima mchapwe .takua hapa kuwa fariji
Leo ndio itakua mechi ya pili kuhudhuria, mara ya mwisho alihudhuria ilikua 2010.Leo sheikh mansoor atakuwepo artatuk stadium kujionea kwa macho yake tunavyoenda kukwapua kikombe cha uefa kwa mara ya kwanza.
You are welcome sir
Yeah, tukiweza kupata bao kabla ya half time tutawavurugia approach yao.Kupaki bus & counter attack.
Ndio approach yao, wakisema wafunguke tutaua ladha ya fainali.
Tunafaham wazi kbs kua tuna maadui weng leo tena wako kmy wanasbr litokee la kutokea watoke vichakani.
Lkn nipende kuwaambia leo ndo mwsh wa wao kujificha kwny kile kichaka "City sio team kubwa haina ubingwa wa ulaya" wamejificha sana kwa mda hapo na ss ni wkt wa kufyeka kichaka hicho.
Let's Go The Cityzens [emoji838]View attachment 2652176
Lukaku atapata medali tu.Mimi kama mimi na shabiki mpendwa wa Chelsea leo nipo na nyie mpaka tone la mwisho.
Kwann nawasapoti mchukue?
1. Sitaki Lukaku abebe kombe la UEFA. Lukaku, lukajinga alitoka Chelse kwa zarau simsapoti hata tone.
Naomba chonde chonde man city msiniangushe[emoji23][emoji23]