The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo sheikh mansoor atakuwepo artatuk stadium kujionea kwa macho yake tunavyoenda kukwapua kikombe cha uefa kwa mara ya kwanza.

You are welcome sir
Leo ndio itakua mechi ya pili kuhudhuria, mara ya mwisho alihudhuria ilikua 2010.

Acha aje ajionee matunda ya uwekezaji wake.
 
Leo tukibeba hii ndoo, tunaenda kuwa jina la 23 kwenye list ya timu zilizoshinda champions league kwenye vitabu vya UEFA.
 
Julian alvarez will become a 10th argentine player to win both world cup and European tittle if city will win today.
 
The way we arrive
FB_IMG_1686412185827.jpg
 
Jack grealish ndiye mchezaji aliyekokota mpira umbali mrefu zaidi kwenye michuano ya msimu huu, amekokota mpira kwa jumla ya kilomita 3.2

Top ball carriers wa Inter, Barella na Bastoni combined wamekokota kilomita 2.78
 
Some crazy stats.

1. Hakuna timu iliyofungwa mechi yake ya kwanza UCL imefanikiwa kubeba taji la UCL. Inter mechi yao ya kwanza wamepigwa na bayern

2. Kwenye fainali 3 ambazo inter wameshinda, zote walishinda dhidi ya timu zilizokuwa zinaelekea kukamilisha treble.
 
BT sports' UEFA 2022/23 team of the season


Vinicious jr__Haaland___Salah


Gundogan___Rodri___KDB


Camavinga__Akanji__Stones__walker


__________Courtois
 
Tunafaham wazi kbs kua tuna maadui weng leo tena wako kmy wanasbr litokee la kutokea watoke vichakani.

Lkn nipende kuwaambia leo ndo mwsh wa wao kujificha kwny kile kichaka "City sio team kubwa haina ubingwa wa ulaya" wamejificha sana kwa mda hapo na ss ni wkt wa kufyeka kichaka hicho.

Let's Go The Cityzens [emoji838]View attachment 2652176

Mimi kama mimi na shabiki mpendwa wa Chelsea leo nipo na nyie mpaka tone la mwisho.

Kwann nawasapoti mchukue?
1. Sitaki Lukaku abebe kombe la UEFA. Lukaku, lukajinga alitoka Chelse kwa zarau simsapoti hata tone.

Naomba chonde chonde man city msiniangushe[emoji23][emoji23]
 
Mimi kama mimi na shabiki mpendwa wa Chelsea leo nipo na nyie mpaka tone la mwisho.

Kwann nawasapoti mchukue?
1. Sitaki Lukaku abebe kombe la UEFA. Lukaku, lukajinga alitoka Chelse kwa zarau simsapoti hata tone.

Naomba chonde chonde man city msiniangushe[emoji23][emoji23]
Lukaku atapata medali tu.
 
Back
Top Bottom