Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Ndio maana nasema asipo kua makini Alvarez akipewa nafas nyng kama yy kwny kikosi atamOut score.Haalanf wanajaribu kumtafuta kumpa nafasi lakin wapi ..
Haaland inabidi aanze kuwa anashuka chin kutengeneza build up Kama Alvarez...
Niliwaambia watu huyu Kamanda Kova akija kwetu lzm atakua wa htriiiii sana.Passs ya kovacic to foden ni bonge moja la pass ......
Haaland ata struggle asee unless kova or foden wawe wanacheza direct kwake though inarisk timu kupoteza mipira mara kwa mara kitu ambacho pep hayuko tayari kuruhusu.Ndio maana nasema asipo kua makini Alvarez akipewa nafas nyng kama yy kwny kikosi atamOut score.
Kwa sbb mwenzake anauwezo wa kufanya build up na kumaliza lkn yy ana rely on good service ambayo kwa ss KDB ndo ivo hatuna Gundo pia.. Kwhy tunaweza badilika uchezaj wetu na ikamAffect sana.
Kbs yan Pep atawaua kwa maneno wakitak kurisk kumpa Haaland pasi.. Yan yy ndo anabid atafute namna kucheza wenzake akisbr ile. Mipasi ya maajab ya kdg haiwez kua ya mara kwa mara kutoka kwa hawa waliopo.Haaland ata struggle asee unless kova or foden wawe wanacheza direct kwake though inarisk timu kupoteza mipira mara kwa mara kitu ambacho pep hayuko tayari kuruhusu.
Na ndo kitu kinamfanya adumu sana on top kubeba sana makombe na team zake kwa sbb yuko dynamic sana anajua mda gn wa kufanya shuffling ya team na kubadilika kutokana mpinzani.pep ni master.. uwezi kujua anaingia na aina gani ya uchezaji.. kila game anabadilika kulingana na mpinzani alivo.
Mpaka ije ikafike january, kwa style hii ya uchezaji basi hata mimi sioni haaland kama atakuwa na magoli ya kutosha.Kbs yan Pep atawaua kwa maneno wakitak kurisk kumpa Haaland pasi.. Yan yy ndo anabid atafute namna kucheza wenzake akisbr ile. Mipasi ya maajab ya kdg haiwez kua ya mara kwa mara kutoka kwa hawa waliopo.
Mm nasema Pep akimuamin Alvarez.. AtamOut shine Haaland msimu huu au watakua close sana.
Unless pep abadilike aje na style itakayo mpa sana Service mara kwa mara vinginevyo atanuna sana maana anapenda kufunga.Mpaka ije ikafike january, kwa style hii ya uchezaji basi hata mimi sioni haaland kama atakuwa na magoli ya kutosha.
[emoji23]Ukijifanya huwez ayo jua bench utasugua.. Pep anatak akikupa kazi usilete ooh me sijawah kucheza iyo nafas ww kacheze kwnz atajua yy baada ya kucheza kua unafaa huko au laVersatility is key.
Akanji leo ametupwa kati kucheza inverted fullback [emoji23]
Kuwa chini ya pep kunataka moyo.
Mkuu siwez kukupinga hata dakika moja.Mimi si man city ila EPL nzima ukiniambia nichague finisher wangu wa kwenda nae naenda na Alvarez si EPL tu Dunia nzima, Mimi naenda na Alvarez kama finisher wangu.