The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haalanf wanajaribu kumtafuta kumpa nafasi lakin wapi ..

Haaland inabidi aanze kuwa anashuka chin kutengeneza build up Kama Alvarez...
 
Haalanf wanajaribu kumtafuta kumpa nafasi lakin wapi ..

Haaland inabidi aanze kuwa anashuka chin kutengeneza build up Kama Alvarez...
Ndio maana nasema asipo kua makini Alvarez akipewa nafas nyng kama yy kwny kikosi atamOut score.

Kwa sbb mwenzake anauwezo wa kufanya build up na kumaliza lkn yy ana rely on good service ambayo kwa ss KDB ndo ivo hatuna Gundo pia.. Kwhy tunaweza badilika uchezaj wetu na ikamAffect sana.
 
Utasifu assist ya foden lakin ile pass ya kovacic ndio zao kubwa la goli ....

Option ilikuwa kupiga chin kwa Walker lakin kapenyeza mpira katikati ya wale wachezaji wa Newcastle mpaka kwa foden ...

Kovacic doing kdb things ...
 
Ndio maana nasema asipo kua makini Alvarez akipewa nafas nyng kama yy kwny kikosi atamOut score.

Kwa sbb mwenzake anauwezo wa kufanya build up na kumaliza lkn yy ana rely on good service ambayo kwa ss KDB ndo ivo hatuna Gundo pia.. Kwhy tunaweza badilika uchezaj wetu na ikamAffect sana.
Haaland ata struggle asee unless kova or foden wawe wanacheza direct kwake though inarisk timu kupoteza mipira mara kwa mara kitu ambacho pep hayuko tayari kuruhusu.
 
Mpaka sasa Foden karise up to the occasion hii 1st half kafanya chance creation 5 kuliko mchezaj yoyote yule.

Hiki ndio kiwango tunatak kua tunamuona nacho game in game out.
 
Our spider Man ...
FB_IMG_16924749278456477.jpg
 
Haaland ata struggle asee unless kova or foden wawe wanacheza direct kwake though inarisk timu kupoteza mipira mara kwa mara kitu ambacho pep hayuko tayari kuruhusu.
Kbs yan Pep atawaua kwa maneno wakitak kurisk kumpa Haaland pasi.. Yan yy ndo anabid atafute namna kucheza wenzake akisbr ile. Mipasi ya maajab ya kdg haiwez kua ya mara kwa mara kutoka kwa hawa waliopo.

Mm nasema Pep akimuamin Alvarez.. AtamOut shine Haaland msimu huu au watakua close sana.
 
pep ni master.. uwezi kujua anaingia na aina gani ya uchezaji.. kila game anabadilika kulingana na mpinzani alivo.
Na ndo kitu kinamfanya adumu sana on top kubeba sana makombe na team zake kwa sbb yuko dynamic sana anajua mda gn wa kufanya shuffling ya team na kubadilika kutokana mpinzani.

Leo watu wengi walijua Newcastle atatuchallenge sana lkn had sasa tumemOut class hawachez mpr wao watulia wanasikiliza maelekezo yetu.
 
Kbs yan Pep atawaua kwa maneno wakitak kurisk kumpa Haaland pasi.. Yan yy ndo anabid atafute namna kucheza wenzake akisbr ile. Mipasi ya maajab ya kdg haiwez kua ya mara kwa mara kutoka kwa hawa waliopo.

Mm nasema Pep akimuamin Alvarez.. AtamOut shine Haaland msimu huu au watakua close sana.
Mpaka ije ikafike january, kwa style hii ya uchezaji basi hata mimi sioni haaland kama atakuwa na magoli ya kutosha.
 
Mpaka ije ikafike january, kwa style hii ya uchezaji basi hata mimi sioni haaland kama atakuwa na magoli ya kutosha.
Unless pep abadilike aje na style itakayo mpa sana Service mara kwa mara vinginevyo atanuna sana maana anapenda kufunga.
 
Versatility is key.

Akanji leo ametupwa kati kucheza inverted fullback [emoji23]
Kuwa chini ya pep kunataka moyo.
[emoji23]Ukijifanya huwez ayo jua bench utasugua.. Pep anatak akikupa kazi usilete ooh me sijawah kucheza iyo nafas ww kacheze kwnz atajua yy baada ya kucheza kua unafaa huko au la
 
Mimi si man city ila EPL nzima ukiniambia nichague finisher wangu wa kwenda nae naenda na Alvarez si EPL tu Dunia nzima, Mimi naenda na Alvarez kama finisher wangu.
Mkuu siwez kukupinga hata dakika moja.

Mwnyw ukiniambia nichague finisher lzm Alvarez asimame pale kwnz anakupa kila kitu anajua kufanya kila kitu kama striker.

Alvarez is a better finisher than Haaland but that conversation is for another day [emoji817]
 
Back
Top Bottom