The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nimeamini mlala ulalwa, man lainiiiiiiiii,,...............kama unanawa. Toka niijue mwaka huu uanze sikuwahi kufikia climax ya furaha ila tu nilipo shuhudia manchester wakipigwa ka wamesimama...6-1, pole sana man fans
 
Acha kukurupuka wewe... hebu angalia hii thread ipo jukwaa gani... !! jukwaa letu hili msituletee siasa & udini wenu ....
 
Mbwa Manyoo walishazoea kuchonga now kimyaaa. Six and the city.
 

watu wa vijijini mnamatatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…