Ubaya zaidi sterling anachukua golden boot
Nipe mfano wa timu iliyotengenezwa kuchukua vikombe pale EnglandMan city hamna kitu, miaka mitatu na uwekezaji wote huo mnakuwa wa kusuasua tuu na kuishia Robo fainali, Guardiola ni looser sana, mbwembwe nyingi lakn mwisho wa siku unalamba mchanga, gori tatu unapigwa home hii inaonyesha timu haijabalance.. amebase kweny Attacking mmiddfld na striker , na kujisahau kwenye Defending mdf na defender, ndo mana walikuwa wanakatika sana na kuwapa tottnham nafas ya kustrike freely...
Nafkri utashangaa sana utakavyoona City analoose na Epl, labda kombe la mbuzi FA ndo atapata.....tengeneza timu ya kuchukua vikombe na sio entertainment
Not salah.Labda goldeb boot ya Handeni!
Mane au Salah ndiyo watachukua sababu week hii wanacheza na trash Cardif watafunga,week ijayo na trash Hudd watafunga,kisha na Newcastle watafunga then home na Wolves watafunga!
Nadhani Mane atachukua golden boot!
Tumechukua mara tano akiwepo.
Ww umechukua mara ngap mkuu!
So inawezekana kukosekana kwa Harry Kane ndiko kulikoleta chachu ya ushindi toka kwa Tottenham mechi ya jana Chifu[emoji848]
Tuambie vigezo vya kumfanya awe kocha bora zaidi duniani.Mkuu guadiola anamambo madogo anazingua.
Anahitaji kujirekebisha.
Nje ya ayo yeye ndie kocha bora duniani.
NAni anabisha?
Amechukua makombe mengi kuliko kocha wowote ndan ya miaka 7Tuambie vigezo vya kumfanya awe kocha bora zaidi duniani.
Liverpool haikuwa na kocha wala wachezaji,team hii imeundwa sasa na Klopp na imeimarika!
Mwaka huu EPL na CL ni zetu!Kwanza hata mngemfunga Spurs kwa beki yenu hii Ajax wangewadharirisha tu
Mbona umepaniki mkuu
Uwekezaji wa city ni wa kawaida sana hana mchezaji wa garama kama ilivyo kwa man u
PSG
Madrid
City ni timu ninayo jengwa bado na inahitaji kuendelea kujengwa maana INA vijana ila wamekosa kiu ya kombe la uefa watakapo pata kiu watapambana kama walivyo pambana kuipa EPL
Muulize wametumia shngap wao mpak aiseme city.
Unajua washabiki wengi huwa hawajui mpira ila wanajua kushangilia matokeo
Ww man u umewekeza shingap?
Anzia wakati wa morinho tu.
Na bado unatarajia kusahili
Hahah! Wakati mwingine ushabiki tukiuacha tutakua tunauona uhalisia wa mamboNaona unaelekea kufikia kiwango cha Mchambuzi wa Kimataifa kama kama Dokta Ricky
Amechukua makombe mengi kuliko kocha wowote ndan ya miaka 7
No no noCL ya ajax
City ilinunua wachezaji wengi sio mmoja
πππ jamaniCL ya ajax
Atafundishaje timu isiyoweza ata kuingia top 4?Kati ya hayo makombe kuna timu gani aliyoifundiaha ikiwa nje ya top 4 ikapanda mpaka kunyakua kombe?
Mkuu mbna una kichwa kigumu sana kuelewa..au umeishia form fourCity ilinunua wachezaji wengi sio mmoja
Hizi zingne zina nunua mmoja ambae anakuwa sawa na wachezaji wawili au watatu wa city
Umeona kazi io.City ilinunua wachezaji wengi sio mmoja
Hizi zingne zina nunua mmoja ambae anakuwa sawa na wachezaji wawili au watatu wa city
πππ jamani
Ajax alichokuwa anakitaka kashakipata.[emoji23][emoji23][emoji23] jamani