The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ubaya zaidi sterling anachukua golden boot

Labda golden boot ya Handeni!
Mane au Salah ndiyo watachukua sababu week hii wanacheza na trash Cardif watafunga,week ijayo na trash Hudd watafunga,kisha na Newcastle watafunga then home na Wolves watafunga!
Spurs na Man U hamna mabao mengi ya kufungana!

Nadhani Mane atachukua golden boot!
 
Man city hamna kitu, miaka mitatu na uwekezaji wote huo mnakuwa wa kusuasua tuu na kuishia Robo fainali, Guardiola ni looser sana, mbwembwe nyingi lakn mwisho wa siku unalamba mchanga, gori tatu unapigwa home hii inaonyesha timu haijabalance.. amebase kweny Attacking mmiddfld na striker , na kujisahau kwenye Defending mdf na defender, ndo mana walikuwa wanakatika sana na kuwapa tottnham nafas ya kustrike freely...
Nafkri utashangaa sana utakavyoona City analoose na Epl, labda kombe la mbuzi FA ndo atapata.....tengeneza timu ya kuchukua vikombe na sio entertainment
Nipe mfano wa timu iliyotengenezwa kuchukua vikombe pale England
 
Labda goldeb boot ya Handeni!
Mane au Salah ndiyo watachukua sababu week hii wanacheza na trash Cardif watafunga,week ijayo na trash Hudd watafunga,kisha na Newcastle watafunga then home na Wolves watafunga!

Nadhani Mane atachukua golden boot!
Not salah.
Ila izo game unazoziona nyepenyepe ndo mbaya.
Unagame 4 city bado 5.
Na bado unaratiba ngumu
 
So inawezekana kukosekana kwa Harry Kane ndiko kulikoleta chachu ya ushindi toka kwa Tottenham mechi ya jana Chifu[emoji848]

Yes, hiyo wakati mwingine inatokea. Wanaobaki wanapandisha kiwango, hata game plan ya wapinzani inabadilika kwa sababu mpira utapita kwa yeyote.

Wakati Kane akiwepo mipira lazima ipite kwake. Akikabwa kazi imeisha.
 
Mbona umepaniki mkuu

Uwekezaji wa city ni wa kawaida sana hana mchezaji wa garama kama ilivyo kwa man u

PSG

Madrid


City ni timu ninayo jengwa bado na inahitaji kuendelea kujengwa maana INA vijana ila wamekosa kiu ya kombe la uefa watakapo pata kiu watapambana kama walivyo pambana kuipa EPL
Muulize wametumia shngap wao mpak aiseme city.
Unajua washabiki wengi huwa hawajui mpira ila wanajua kushangilia matokeo
Ww man u umewekeza shingap?
Anzia wakati wa morinho tu.
Na bado unatarajia kusahili

Screenshot_20190418-091546.png
 
Kati ya hayo makombe kuna timu gani aliyoifundiaha ikiwa nje ya top 4 ikapanda mpaka kunyakua kombe?
Atafundishaje timu isiyoweza ata kuingia top 4?
Uko ni kumdhalilisha pep.
Ni sawa aende arsenal.
[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom