The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

HAhahhah

Hii hatari sasa

Yaani hata mahasimu wanasupport Sane kutua Allianz Arena?!!

Naona kuna masuala ya utaifa/uzalendo wa Kijerumani hapa kwamba wanataka mjerumani mwenzao arudi kwenye timu kubwa Ujerumani ili Bundesliga iwe na mvuto
Ni kweli, ila wanacheza na akili yake.
Nashangaa mpaka dortmund wanasupport sane kwenda.
 
HAhahhah

Hii hatari sasa

Yaani hata mahasimu wanasupport Sane kutua Allianz Arena?!!

Naona kuna masuala ya utaifa/uzalendo wa Kijerumani hapa kwamba wanataka mjerumani mwenzao arudi kwenye timu kubwa Ujerumani ili Bundesliga iwe na mvuto

Alisha badili na tattoo ukichek vzr utaona yupo na timu ya German namba ya city, uwanja tu.
 
Huyu Angelino anakuja kumfukuza kabisa Zinchenko pale beki tatu, hamna namna inaonekana Zinchenko atagombania kiungo tu sasa hivi
 
Huyu Angelino anakuja kumfukuza kabisa Zinchenko pale beki tatu, hamna namna inaonekana Zinchenko atagombania kiungo tu sasa hivi
Zinchenko alijifunga na mkataba wa miaka 5.
Mendy asipokuwa fit ndo wote watacheza ila mendy akikaa fit watacheza baadhi tu.
Katika wachezaji wote zinchenko ndo anawakati mgumu zaidi.
Labda watamchezesha mechi za FA kama mendy atakuwa fit.
 
And Kovac has spoken out about the difficulties facing the Bundesliga champions in the current market, with the likes of Man City and PSG mopping up talent with impossibly rich owners.

“We fight against states and billionaires,” he added. “The players go to Abu Dhabi, Qatar, Dubai. They have much more money at their disposal than a club like FC Bayern.”

Bayern wanalialia sana hususan mtandaoni.
Biashara zao ni zakizaram sana.
Wao ndio waliopendekeza city ichunguzwe na uefa.
Leo wanalialia kuhusu wachezaji wa city
 
Pengo litakuwepo sababu watu wazuri pale winga ya kulia ni kama watakuwa Hawapo maana we mwenyewe unajua jinsi ambavyo Bernado hawezi kuwapa goli 10 za ligi kwa msimu
Sane anacheza winga ya kushoto.

LW: Sterling &Sane
RW; Bernado, Sterlling &Mahrez
 
Mpira ungekua hivyo City angefika final UEFA.
Sema kiukweli hivi sasa kwa hicho kikosi hapo nyie mnaweza kuchukua EPL mbele ya city?

Natabiri Gabriel Jesus kuja kuwa striker anaefunga goli 20 au zaidi za ligi pale EPL baada ya Aguero kufika 34 au 35.

Na hata Sane na Sterling nao wanaimprove as well bila kusahau katikati kuna Foden ambae anakuja kuwa kiungo anaeshinda magoli mengi.

Hiyo lineup Madrid anaweza pigwa ila matokeo ni either way
 
Sane anacheza winga ya kushoto.

LW: Sterling &Sane
RW; Bernado, Sterlling &Mahrez
Sane ni Left footed

Mahrez naona bado sana kufikia au kuwa sawa kiwango na Sane na ndio maana nikasema naona Sane ataacha pengo sababu Bernado sio mtu wa kukupa zaidi ya goli 10 za ligi kwa msimu ingawa anajua sana
 
Kwa perfomance aliyoionyesha gabby copa america atapata mechi nyingi zaidi msimu huu.
Pia aguero akifika 33 tu naona mikoba rasmi itaanguka kwa gabby,inamaanisha aguero anamisimu miwili tu kwa navyodhani,
Kuna vuguvugu sana brazil kwenye media wanasema kama gabby asipopata namba zaidi msimu huu wanamshauri ahame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…