Tatizo city angekuwa ameshapewa penalty ila ushahidi walionao uefa ambao ndio wanawashtakia city umetokana na taarifa ziliizoibiwa(hacked data)Sasa PSG ni wale wale tu nyuma ya pazia wanamwaga pesa nyingi sana, AC Milan hawana pesa kama waarabu wa PSG na Man City
Nadhani mmemuona henderson pemben.Shark team,kula tizi,waka usiende nao asia.
Wewe moja kwa moja uwanjani
View attachment 1152338View attachment 1152339
Unakosea.
Hao wawili wapo kwenye hall of fame ya uefa.
Ila liverpool haipo kwenye hall of fame ya epl kwa kuanzia.
City ipo kwenye hall of fame ya epl .Utwae English league title (not EPL) 18 times then usiwe kwenye hall of fame ya EPL ni kichekesho cha mwaka.
Aston Villa na Nottingham Forest walibeba European Cup na sio UCL. Na ndio maana hawajarudi tena UCL.
Hizo accolades sio ajabu manake hata hao Liverpool ndio the only English club permitted to wear multiple stars badge on their jersey in the UCl games and also the last club to be permanently awarded by UEFA the original replica of the UCL cup when they won UCL in Instabul heshima hizo wamepewa na uefa
Labda tukuulize ManCity vipi wamo kwenye UCL hall of fame?
City hata akichukua uefa bado mtatafuta cha kukosoa .Utwae English league title (not EPL) 18 times then usiwe kwenye hall of fame ya EPL ni kichekesho cha mwaka.
Aston Villa na Nottingham Forest walibeba European Cup na sio UCL. Na ndio maana hawajarudi tena UCL.
Hizo accolades sio ajabu manake hata hao Liverpool ndio the only English club permitted to wear multiple stars badge on their jersey in the UCl games and also the last club to be permanently awarded by UEFA the original replica of the UCL cup when they won UCL in Instabul heshima hizo wamepewa na uefa
Labda tukuulize ManCity vipi wamo kwenye UCL hall of fame?
Hapana mkuu...Huyo ni wakufukuza tu
Hauko serious Jesus amuweke bench kun'?Kikosi cha "Mickey mouse trophies"
1. Bravo
2. Danilo
3. Zinchenko
4. Otamendi
5. Garcia
6. Fernandinho
7. Sane
8. Gundogan
9. Aguero
10. Foden
11. Mahrez
Kikosi cha "Major trophies"
1. Ederson
2. Walker
3. Mendy
4. Stones
5. Laporte
6. Rodri
7. Bernardo
8. De Bruyne
9. Jesus
10. David Silva
11. Sterling
Hicho kikosi kwaajili ya "Mickey mouse trophies" kinabeba Ligi kuu ya Uingereza bila shida yoyote ile..!
Danilo mzuri sana tunaposhambuliwa sana.Hapana mkuu...
Danilo ni mchezaji mzuri tu,anafaa kuendelea kutumika kama mchezaji wa akiba...
Kyle Walker bado ataendelea kuwa beki wetu wa upande wa kulia kwa msimu ujao,pia ninaamini ataimprove, yale makosa aliyokuwa anayafanya msimu uliopita atakuwa ameyafanyia kazi..!
Ebwana nimekukubali apo.Kikosi cha "Mickey mouse trophies"
1. Bravo
2. Danilo
3. Zinchenko
4. Otamendi
5. Garcia
6. Fernandinho
7. Sane
8. Gundogan
9. Aguero
10. Foden
11. Mahrez
Kikosi cha "Major trophies"
1. Ederson
2. Walker
3. Mendy
4. Stones
5. Laporte
6. Rodri
7. Bernardo
8. De Bruyne
9. Jesus
10. David Silva
11. Sterling
Hicho kikosi kwaajili ya "Mickey mouse trophies" kinabeba Ligi kuu ya Uingereza bila shida yoyote ile..!
Mm naona aguero na jesus msimu huu kuna uhakika wa pasu kwa pasu idadi za mechi watakazocheza.Kikosi cha "Mickey mouse trophies"
1. Bravo
2. Danilo
3. Zinchenko
4. Otamendi
5. Garcia
6. Fernandinho
7. Sane
8. Gundogan
9. Aguero
10. Foden
11. Mahrez
Kikosi cha "Major trophies"
1. Ederson
2. Walker
3. Mendy
4. Stones
5. Laporte
6. Rodri
7. Bernardo
8. De Bruyne
9. Jesus
10. David Silva
11. Sterling
Hicho kikosi kwaajili ya "Mickey mouse trophies" kinabeba Ligi kuu ya Uingereza bila shida yoyote ile..!
Apo kwa kun mbadilishe na gabby.Mm naona aguero na jesus msimu huu kuna uhakika wa pasu kwa pasu idadi za mechi watakazocheza.
Huyu jesus ana goal/matches rate kubwa muone hvyo.
Na hii copa america ndio itambeba zaidi.
Uzuri hana maneno mengi ya kujipaisha na yupo tayari kujifinza.
Kasoro zake chache ni zile offside pamoja na finish sio pure perfect
Fenandinho 35 now.Kikosi cha "Mickey mouse trophies"