The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sasa PSG ni wale wale tu nyuma ya pazia wanamwaga pesa nyingi sana, AC Milan hawana pesa kama waarabu wa PSG na Man City
Tatizo city angekuwa ameshapewa penalty ila ushahidi walionao uefa ambao ndio wanawashtakia city umetokana na taarifa ziliizoibiwa(hacked data)
Na huwezi kumshtaki mtu kwa ushahidi uliopatikana kwa wizi .
Nadhani ndio sababu mpaka sasa hukumu inasuasua.
 
He looks like Sane...
FB_IMG_15629524441310446.jpeg
FB_IMG_15629524383914571.jpeg
FB_IMG_15629524225878727.jpeg
 
Shark team,kula tizi,waka usiende nao asia.
Wewe moja kwa moja uwanjani
FB_IMG_15629999425592202.jpeg
FB_IMG_15629999580120325.jpeg
 
Unakosea.
Hao wawili wapo kwenye hall of fame ya uefa.
Ila liverpool haipo kwenye hall of fame ya epl kwa kuanzia.

Utwae English league title (not EPL) 18 times then usiwe kwenye hall of fame ya EPL ni kichekesho cha mwaka.
Aston Villa na Nottingham Forest walibeba European Cup na sio UCL. Na ndio maana hawajarudi tena UCL.
Hizo accolades sio ajabu manake hata hao Liverpool ndio the only English club permitted to wear multiple stars badge on their jersey in the UCl games and also the last club to be permanently awarded by UEFA the original replica of the UCL cup when they won UCL in Instabul heshima hizo wamepewa na uefa
Labda tukuulize ManCity vipi wamo kwenye UCL hall of fame?
 
City ipo kwenye hall of fame ya epl .
Vipi liverpool?
 
City hata akichukua uefa bado mtatafuta cha kukosoa .
 
Huyo ni wakufukuza tu
Hapana mkuu...
Danilo ni mchezaji mzuri tu,anafaa kuendelea kutumika kama mchezaji wa akiba...
Kyle Walker bado ataendelea kuwa beki wetu wa upande wa kulia kwa msimu ujao,pia ninaamini ataimprove, yale makosa aliyokuwa anayafanya msimu uliopita atakuwa ameyafanyia kazi..!
 
Mpaka sasa nashindwa kupredict lineup ya City kwa msimu ujao...
So far wachezaji wenye uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza ni wanne tu,wachezaji wenye uhakika wa namba ni Ederson, Laporte, Walker na Bernardo...
Beki ya kushoto kuna ushindani mkubwa,sijui ni nani ataanza kati ya Angelino, Mendy na Zinchenko...
Beki wa kati atakayesaidiana na Laporte kuna ushindani mkubwa kati ya Eric Garcia,Otamendi na Stones...
Kiungo mkabaji kuna ushindani mkubwa kati ya Fernandinho na Rodri...
Nafasi ya kiungo mshambuliaji,nani akae benchi,De Bruyne, Foden au David Silva..?
Vipi kuhusu Gundogan..!?
Kudadadeki, hii timu ina kikosi kipana ajabu..!
Bernardo atacheza kama winga au kiungo wa kati,akicheza kama winga nafasi ya winga iliyobaki anacheza nani, Mahrez, Sane au Sterling..?
Vipi kuhusu nafasi ya mshambuliaji,Jesus ataendelea kukaa benchi au ni muda wa Aguero kuanza kupumzika..!?
Weka kikosi chako cha kwanza kwa msimu ujao,mimi binafsi nimechemka ila ninaamini msimu ujao idadi ya wanaoichukia hii klabu inaenda kuongezeka,maana vipigo viko palepale,tunaenda kubeba tena "takataka" zote za Uingereza..!
Ila HATERS wanakaribishwa kuja na excuse yao ya kombe la UEFA.
 
Kikosi cha "Mickey mouse trophies"
1. Bravo
2. Danilo
3. Zinchenko
4. Otamendi
5. Garcia
6. Fernandinho
7. Sane
8. Gundogan
9. Aguero
10. Foden
11. Mahrez

Kikosi cha "Major trophies"
1. Ederson
2. Walker
3. Mendy
4. Stones
5. Laporte
6. Rodri
7. Bernardo
8. De Bruyne
9. Jesus
10. David Silva
11. Sterling

Hicho kikosi kwaajili ya "Mickey mouse trophies" kinabeba Ligi kuu ya Uingereza bila shida yoyote ile..!
 
Hauko serious Jesus amuweke bench kun'?
 
Hapana mkuu...
Danilo ni mchezaji mzuri tu,anafaa kuendelea kutumika kama mchezaji wa akiba...
Kyle Walker bado ataendelea kuwa beki wetu wa upande wa kulia kwa msimu ujao,pia ninaamini ataimprove, yale makosa aliyokuwa anayafanya msimu uliopita atakuwa ameyafanyia kazi..!
Danilo mzuri sana tunaposhambuliwa sana.
 
Kikosi cha "Mickey mouse trophies"
1. Bravo
2. Danilo
3. Zinchenko
4. Otamendi
5. Garcia
6. Fernandinho
7. Sane
8. Gundogan
9. Aguero
10. Foden
11. Mahrez

Kikosi cha "Major trophies"
1. Ederson
2. Walker
3. Mendy
4. Stones
5. Laporte
6. Rodri
7. Bernardo
8. De Bruyne
9. Jesus
10. David Silva
11. Sterling

Hicho kikosi kwaajili ya "Mickey mouse trophies" kinabeba Ligi kuu ya Uingereza bila shida yoyote ile..!
Ebwana nimekukubali apo.
 
Mm naona aguero na jesus msimu huu kuna uhakika wa pasu kwa pasu idadi za mechi watakazocheza.
Huyu jesus ana goal/matches rate kubwa muone hvyo.
Na hii copa america ndio itambeba zaidi.
Uzuri hana maneno mengi ya kujipaisha na yupo tayari kujifinza.
Kasoro zake chache ni zile offside pamoja na finish sio pure perfect
 
Apo kwa kun mbadilishe na gabby.
Kun huu msimu bado bado kdg.
Ule unaokuja sasa gabby on the wheel.
Na atapoondoka kun kuna dogo namkubali anaitwa Lucas nmecha ana body kali ya namba tisa halisi.
Nmecha wataleteana ushindan sana gabby huko mbele.
 
Kikosi cha "Mickey mouse trophies"
1. Bravo
2. Danilo
3. Zinchenko
4. Otamendi
5. Garcia
6. Fernandinho
7. Sane
8. Gundogan
9. Aguero
10. Foden
11. Mahrez

Kikosi cha "Major trophies"
1. Ederson
2. Walker
3. Mendy
4. Stones
5. Laporte
6. Rodri
7. Bernardo
8. De Bruyne
9. Jesus
10. David Silva
11. Sterling

Hicho kikosi kwaajili ya "Mickey mouse trophies" kinabeba Ligi kuu ya Uingereza bila shida yoyote ile..!
Fenandinho 35 now.
Akiguswa kdg ni majeruhi.
Kwenye tough game ataanza ila izo zingine atapumzishwa.
Kdb wakati wowote atakaokuwa fit lazma apate namba. Na natarajia msimu huuu atakuwa fit. Msimu ulioisha tulipata tabu kwa sababu ya watu kama yeye kukosekana.
Silva atacheza mechi za mwishoni sana kwa sababi ataagwa msimu huu kuisha comfirmed.

Ila izo mickey mouse trophies kama ulivyozitaja naona hivi.
Bravo
Danilo
Garcia
Otamendi
Zinchenko/angelino
Rodi
Foden
Benardo.
Jesus
Mahrez
Sane
 
Kwa ligi na uefa msimu huu.
Ederson
Stones
Laporte
Mendy
Walker
Fenandinho when fit
Silva
Debruyne
Sterling
Aguero
Bernado.

Ikibadilika forwad na midfield.
Fenandinho
Kdb
Bernado
Sane
aguero
sterling
 
Back
Top Bottom