The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Acha kujifariji kijinga wewe na kubadilisha kauli hovyo. Tulipowafunga ktk FA ulisema oooh sijui kombe la nini... Mara njooni ktk EPL tutawafunga tumekuja na umepigwa saizi unageuza milio Mara oooh ilikuwa mbinu sijui nini? Hovyo kabisa. Timu lako bovu na limezidiwa na mjipange kweli kweli ktk fainali maana tunajua mtakavyokuja mmekania game na ata kocha anatambua nguvu na juhudi zenu mtakavyokuja nazo. Na sisi kz ni moja tu ni kuwasasambua wote kwa Mara ya tatu.


Battle la jumamosi iliyopita ilikuwa ni battle ya tactics... Guardiola akileta mbinu Fulani, Tuchel ana I- neutralize hiyo mbinu na kuwa boya tu. Na atimae bingwa wa mbinu akaibuka mshindi. Mkajipange kweli kweli maana tunatambua wazi kabisa mnawatwgemea kina Gundogan, Rodrigo, Bernardo Silva. Na Mahrez, KDB na Foden. Lkn hichi ni kikosi chepesi sn ktk defensive machine ya Chelsea....
 
Kama uliangalia mpira vizuri ...

Nadhan uliona mwenyewe ,game ilikuwa ngumu sana ile ,..

Najua mmevimba kichwa ,but may 29 hamtaamini kitakacho wakuta ...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo Chelsea hukai nao meza moja ama sio level zako?
 
Muulize kama amepata mbinu ya ku unlock defense ya Chelsea. Akikujibu unitag
 
Unategemea mwenzako afungwe ndio uchukue ubingwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunaenda kumfunga Newcastle ,na kutangaza ubingwa hapo hapo ...

Kama hao lecister city wakishindwa kujitetea top four ..
 
We jamaa huwa unaropoka kama unasokomezwa ukuni, eti kufugwa mara mbili ni mbinu. We NGURUWE ndio maana nakwambia huna akili kabisa, kwahiyo pep alipeleka kikosi chake akiwa anajua atafungwa ama aliwambia wachezaji wake wafugwe? We akili huwa na je, mge shida hizo game mbili ungekuwa unasema hivi? NGURUWE PORI ww
 
Bila Christensen kuchezewa rafu ulikuwa unapigwa 2 bila. Unavunga hujui wakati michezaji yenu ilikuwa inatembea tembea tu bila kujua ifanye nn ipate goli
Taja hio defence ya chelsea ..

Hao kina rudiger ndio ukuta ?
 
Pep aliamua kufungwa game hio ,ndio maana akaweka wababishaji kina sterling ..


Hio ni mind game ,kuwavimbisha nyie ili mtudharau ,huku tumeficha mabomu ya nyukria nyuma ,...


Mkija final mtakula kipigo cha mbwa koko nyie ....


Come on cityzen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…