Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Atawafanya kitu mbaya ,mahrez come onNjuka wa uefa naona wanatapatapa
Ila kipigo kiko palepale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atawafanya kitu mbaya ,mahrez come onNjuka wa uefa naona wanatapatapa
Ila kipigo kiko palepale
Asee unachekesha huyo famba akipata hata shot on target 1 ashukuru mungu. Man city ongelea de bryne tu ndio anaweza kuruka ruka kidogo maana ana nguvu ,hao wengine kina gundogan mayaiAtawafanya kitu mbaya ,mahrez come on View attachment 1780909
Acha kujifariji kijinga wewe na kubadilisha kauli hovyo. Tulipowafunga ktk FA ulisema oooh sijui kombe la nini... Mara njooni ktk EPL tutawafunga tumekuja na umepigwa saizi unageuza milio Mara oooh ilikuwa mbinu sijui nini? Hovyo kabisa. Timu lako bovu na limezidiwa na mjipange kweli kweli ktk fainali maana tunajua mtakavyokuja mmekania game na ata kocha anatambua nguvu na juhudi zenu mtakavyokuja nazo. Na sisi kz ni moja tu ni kuwasasambua wote kwa Mara ya tatu.Sisi kufungwa na chealse Mara mbili mfululizo hio ni mbinu ya kumkabili chelsea may 29 ....
Yaani moto utakao washwa CL final sio wa kitoto kabisa ...
Mnakumbuka kile kipind ,tulipumzik kama wiki moja ,kisa covid ...
Then game iliyofuata ikawa
Chelsea vs man city , EPL
1H tulikuwa tumeshawapiga goli 3 -0 ....
Mpaka klop akaanza kulialia ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Final game tunaiua mapema sana ,before HT mtakuwa mshakula goli za kutosha ...
Kama uliangalia mpira vizuri ...Acha kujifariji kijinga wewe na kubadilisha kauli hovyo. Tulipowafunga ktk FA ulisema oooh sijui kombe la nini... Mara njooni ktk EPL tutawafunga tumekuja na umepigwa saizi unageuza milio Mara oooh ilikuwa mbinu sijui nini? Hovyo kabisa. Timu lako bovu na limezidiwa na mjipange kweli kweli ktk fainali maana tunajua mtakavyokuja mmekania game na ata kocha anatambua nguvu na juhudi zenu mtakavyokuja nazo. Na sisi kz ni moja tu ni kuwasasambua wote kwa Mara ya tatu.
Battle la jumamosi iliyopita ilikuwa ni battle ya tactics... Guardiola akileta mbinu Fulani, Tuchel ana I- neutralize hiyo mbinu na kuwa boya tu. Na atimae bingwa wa mbinu akaibuka mshindi. Mkajipange kweli kweli maana tunatambua wazi kabisa mnawatwgemea kina Gundogan, Rodrigo, Bernardo Silva. Na Mahrez, KDB na Foden. Lkn hichi ni kikosi chepesi sn ktk defensive machine ya Chelsea....
Leo man utd akipoteza tunatangaza ubingwa wakuu
Level zako ni villarial ,huna ubavu wa kusogea CL wewe takataka ....
Wanaume tunaenda kutetemesha dunia may 29 ...
Wewe mbwa utakuwa unacheza futuhi ...
View attachment 1780736
Kubishana na MTU wa nyumbu ni matumiza mabaya ya akili ...
Mimi nakaa meza moja na buyern ,PSG ,Madrid ,..
Wewe takataka endelea kupambana na Roma ,Genk ,Salzburg,...
Unaenda kuchaza final ,haina hata mvuto et villarial[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Final ya hovyo kabisa ambayo haijawahi tokea dunian ,..
Nahisi viingilio itakuwa bure ...
Siwezi poteza muda Mimi kuangalia nyumbu zikiwa zinacheza na kenge ...
Yaan vilaza kwa vilaza wanacheza ....
Chelsea nayo ilipumzisha wachezaji watano... Meson hakucheza, Kai, Thiago, Ben Chilwell na Jorginho... Nyie mlifanya mabadiliko 9 Chelsea ilifanya matano.
Ata hivo nakuambia Leo. Hao kina Gundogan, Rodrigo, Bernardo Silva, Mahrez KDB na Foden hawana makali yoyote. Hawa dawa yao imeshaandaliwa tayari yaani tarehe 29 watakuwa wanapiga back pass tu na kuzunguka zunguka uwanjani.
Taja hio defence ya chelsea ..Muulize kama amepata mbinu ya ku unlock defense ya Chelsea. Akikujibu unitag
Sisi tunaenda kumfunga Newcastle ,na kutangaza ubingwa hapo hapo ...Unategemea mwenzako afungwe ndio uchukue ubingwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Chelsea 5 Man City 1
Bao 3 za offside mamaeeeee
Na uefa Kuna kila dalili yakuikosa nyie viazi Pepo gadialo amuwez tuchel
Sisi kufungwa na chealse Mara mbili mfululizo hio ni mbinu ya kumkabili chelsea may 29 ....
Yaani moto utakao washwa CL final sio wa kitoto kabisa ...
Mnakumbuka kile kipind ,tulipumzik kama wiki moja ,kisa covid ...
Then game iliyofuata ikawa
Chelsea vs man city , EPL
1H tulikuwa tumeshawapiga goli 3 -0 ....
Mpaka klop akaanza kulialia ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Final game tunaiua mapema sana ,before HT mtakuwa mshakula goli za kutosha ...
.Linatua etihad hili kombe ..View attachment 1780912
Taja hio defence ya chelsea ..
Hao kina rudiger ndio ukuta ?
Pep aliamua kufungwa game hio ,ndio maana akaweka wababishaji kina sterling ..We jamaa huwa unaropoka kama unasokomezwa ukuni, eti kufugwa mara mbili ni mbinu. We NGURUWE ndio maana nakwambia huna akili kabisa, kwahiyo pep alipeleka kikosi chake akiwa anajua atafungwa ama aliwambia wachezaji wake wafugwe? We akili huwa na je, mge shida hizo game mbili ungekuwa unasema hivi? NGURUWE PORI ww