The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


Mechi na Arsenal mliiba ile game na FA waliwasaidia!
Penalty ya Ederson alimkwqtuq Degaard na pia kadi nyekundu yaa Gabriel ilikuwa ya mchongo.
Mnapendelewa sana na EPL hamchukui,huwezi chukua EPL bila false 9 wa ukweli
 
Mechi na Arsenal mliiba ile game na FA waliwasaidia!
Penalty ya Ederson alimkwqtuq Degaard na pia kadi nyekundu yaa Gabriel ilikuwa ya mchongo.
Mnapendelewa sana na EPL hamchukui,huwezi chukua EPL bila false 9 wa ukweli
Mbona tulishachukua kitambo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo tungi?
GD kati ya Liva na Man City ni goli 2 tu na sisi tuna kiporo na Leeds Jumatano na tunampiga kuanzia 3+ na kukuzidi GD
Lkn kabla ya game na Liverpool ww huwezi toka kwa Man U na Palace na hata Wolves
Hadi tunakutana upo nyuma points 6+
Yaani wewe endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe ...et leeds unampiga goli 3+ ....subili uone ... Norwich tu umemfunga kwa tabu kweli kweli sembuse Leeds [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah!...nililisema hili tu mara baada ya droo ile mechi ya southampton vs city...na nachoona ndo kinachoenda kutokea "GOD SAVE US"...hii dhahama isije zamisha city down to the mud.
 
Dah!...nililisema hili tu mara baada ya droo ile mechi ya southampton vs city...na nachoona ndo kinachoenda kutokea "GOD SAVE US"...hii dhahama isije zamisha city down to the mud.
That's football bro,,u don't have to win every game
 
Dah!...nililisema hili tu mara baada ya droo ile mechi ya southampton vs city...na nachoona ndo kinachoenda kutokea "GOD SAVE US"...hii dhahama isije zamisha city down to the mud.
Hahaaaa mkuu haina haja ya kuogopa ...tunapoteza game moja Bado tuna chance ya kuwin hata game 10 mfululizo ...!

Kuhusu Liverpool hata usiwe na shaka ...soon anaenda kupoteza game ,ni swala la muda tu ....

Mhimu ni kufocus tu ....pep kashaliona hili ,gap la point 6 sio dogo ....hata kama Liverpool anakipolo ,mpaka acheze ndio atakuja kusema tunamzidi point 3 ....
 
That's football bro,,u don't have to win every game
Ni kweli ila tatiz unapotez izo game kikiwa ni kipind gani?...na baya zaid tumetengeneza mazingira magumu game yetu na liverkuku itakuwa kama fainali vile na kiuhalisia ukishakuw katik mazingir kama haya anzia game zinazofuatia mbele yetu tutachez na tension kubwa kitu ambach kinaleta doubt ya kushinda wandugu.
 
Kwa pale EPL uoga lazim...angalia hizo game zilizobakia tunawafuata wolve, palace na westham wote wakiw kwao sasa ni salama hapo?...ukizingatia first leg tulipat matokeo ya tabu na wao, na icho kipolo cha liver dhidi ya leeds ni kazi ndogo kwa klopp hawawez potez kirahis hivyo maan ukizingatia washaona upenyo wakutufikia...hapo leeds atapigwa tu...but anyway our squard has made for tough moment like this so let's assume vijana wetu wanao uwez wa kuoverturn hivyo vikwazo.
 

Game ya uhakika lazima mpoteze tena ni ya dhidi ya crystal palace.maana timu zilizowafunga au kutoka sare matokeo yanajirudia vile vile kama southampton na Spurs matokeo ya round ya 2 yamekuwa ya round ya kwanza yale yale.na mimi nasubiria crystal palace.

Mlikuwa mnategemea muongoze ligi kuanzia sasa mpaka inaisha? Hicho kitu hakipo.
 
Kwa hiyo unakalili maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23 mzee mbona unaniangusha .....

Kwamba kwa vile Liverpool tulidraw kwa hio round ya pili tutata draw?..

Palace katufunga kwa hiyo round ya pili atatufunga?

Man utd tulimfunga round ya kwanza kwa hiyo round ya pili lazima tumfunge ?...

Wolves tulimfunga round ya kwanza kwa hiyo round ya pili lazima tumfunge?....


Hakuna game itakuwa nyepesi kama ya palace na wolves hao tutachukua point tatu kirahisi kabisa. ...
 

Mkuu sio kwa Liverpool,ni kwenu nyinyi matokeo yenu ya round ya kwanza hajabadilika kwenye round ya pili mpaka sasa mechi ya 7 hii ambayo ni inakaribia nusu ya mechi Za round ya pili Tayari.ndio maana nimejenga hoja hapo crystal Palace lazima mpoteze,kwa Liverpool ni tofauti yeye yanabadilika lakini man city round ya pili matokeo ni yale yale ya round ya kwanza mpaka sasa hakuna kilichobadilika kama yamebadilika niambie mechi gani?jibu ni hakuna.

Southampton mlitoa sare round ya pili sare tena na Spurs round ya kwanza mlifungwa na round ya pili mkachezea kichapotena nyumbani kwenu licha ya Spurs kuwa mbovu maana conte katoka kufungwa mechi 3 mfululizo lakini mkashindwa kumfunga.

Kwa crystal palace nakataa kwa trend ilivyoenda kwenu.hao wolves mnashinda asubuhi tu.

Hautanielewa saizi baadae utanielewa
 
Acha kukalili na inaonesha ni mweupe kichwani kabisa ....

Unahoja gani za msingi za kusema ile crystal palace inawezakutufunga ?....Tena unasema ni lazima [emoji53][emoji53][emoji53] unaakili kweli wewe ? Au hujielewi

Acha mpira wewe kafuatilie hata wacheza mieleka mzee ....

Et lazima palace atufunge ,uchambuzi wa kijinga kabisa ...
 
Kwa mktadha wa uefa tunawaomba muungane na wenzenu mje kwa wingi pale wanda metropolitano mashetani tuna jambo letu.
 
Naona leo WOTE mtakua mashabiki wa Leeds lkn mtakatishwa tamaa mapema sana!
Akina Mane wanafunga bao 4 mapemaa kisha wanapumzishwa kuwanyuka Chelsea Jpili
 
Kwa msimamo huu, hiyo april-10 itakuw bonge moja la game kama fainal incase kama tofauti itabaki kuwa hivi hadi game ya city vs liver april-10...ila nina wasiwasi mechi muhim dhidi ya wakubwa pep huwa anabottle kutokana na overthinking na kwa form aliyonayo liver sahiv...naipa 50/50 tusitegemee kumpigia mpira kama ilivyokuw first game pale anfield, but ngoja tuone!
 
Ahahah hamtoki leo kwa Everton
Mkijitahidi sana sare eti ndiyo umtabishe Mane kachukia?
Tuache masihara jamani
Liverpool bingwa EPL 2021/22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…