Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Wameongeza 7 na ndani ya dakika Saba ,Kuna var review kuhusu penalty ,Kuna goli lilipatikana ,kushangilia na kuweka mpira kati ni wastage of time walizma kufidia ,Kane akafunga ,kushangilia na kuweka mpira kati wastage of time .....Sasa u ashangaa kwanini zilifika 9 ,hivi wewe unaelewa kweli mpira ,au mikeka inakusumbua mzee ....maana hata sielewi unacholilia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi na Arsenal mliiba ile game na FA waliwasaidia!
Penalty ya Ederson alimkwqtuq Degaard na pia kadi nyekundu yaa Gabriel ilikuwa ya mchongo.
Mnapendelewa sana na EPL hamchukui,huwezi chukua EPL bila false 9 wa ukweli