Na uzuri ni kuwa Pep anajua wazi kwasasa pale juu nyie ndo timu pekee ambayo inaweza mchallenge kwenye title race...so kitaalamu tunasema bado pep hayupo kwenye comfort zone na katika instinct kama hiyo tayari PEP amesha achieve EPL title.Hawa walipigwa 5-0 na Liverpool tena kwake,Man U ndiyo metric yako kama upo sawa?
Chukua nyingine hii...Huwezi mfunga CP
Huwezi kabisa
Zaha. Olise. Eze
Hutoki
Jamaa wachezaji wao wamekuwa kama walevi wanahanguka hovyo tu uwanjani...Man U wachezaj wake weng wamekuwa maflop siku hizi
Vipi na UCL mmelisusa au nyie ni epl tuSisi City jambo letu lipo palepale kwa habari ya kutwaa kombe Epl.
Vipi na UCL mmelisusa au nyie ni epl tu
Kwani man City imeisha tolewa UCL?subiri akitolewa ndipo pep haitwe failure zaidi yahapo ni majungu tuUCL wanajijua ni wasindikizaji tu. So far Pep bado ni failure hapo ManShity
Inter Milan kakuonesha kuwa wewe ni mbumbumbu tu [emoji28][emoji28]UCL wanajijua ni wasindikizaji tu. So far Pep bado ni failure hapo ManShity
Epl is better than CL mzee ....sisi hatuna shida na CL kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Vipi na UCL mmelisusa au nyie ni epl tu
Pep akitoka kapa mwaka huu bila uefa lazima ajiuzuru kama alivyo fanya Bayern.Epl is better than CL mzee ....sisi hatuna shida na CL kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Epl is better than CL mzee ....sisi hatuna shida na CL kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Inter Milan kakuonesha kuwa wewe ni mbumbumbu tu [emoji28][emoji28]