The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa walipigwa 5-0 na Liverpool tena kwake,Man U ndiyo metric yako kama upo sawa?
Na uzuri ni kuwa Pep anajua wazi kwasasa pale juu nyie ndo timu pekee ambayo inaweza mchallenge kwenye title race...so kitaalamu tunasema bado pep hayupo kwenye comfort zone na katika instinct kama hiyo tayari PEP amesha achieve EPL title.

Screenshot_20220307-200606.jpg
 
Mr scholes...had nicely fell in love with KDB manouvers!!!

#It'sSimplyIfYouCan'tBDefeatKevinThenJoinHim!!!

Screenshot_20220308-195240.jpg
 
Epl is better than CL mzee ....sisi hatuna shida na CL kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pep akitoka kapa mwaka huu bila uefa lazima ajiuzuru kama alivyo fanya Bayern.

Hapo ndo utajua kombe lipi ni better kati ya Epl na UCL
 
Sisi tunachuana na Bayern kuweka mpira vyavuni...na hawa ndio saiz yetu. SI MBAYA TUKAPEWA HAWA BAVARIANS.

Screenshot_20220310-100951.jpg
 
Siku sio nyingi Deal la halaand litawekwa mezani kwa city...It's obviously halaand is a #SkyBlue but let's see the next destination for this young prolific striker on Summer Move!

Screenshot_20220312-125855.jpg


Screenshot_20220312-130037.jpg



HIVI KARIBUNI HALAAND ALIPOST CLIP AKIWA NA DEREVA WAKE KWENYE GARI AKISIKILIZA NYIMBO YA "BLUE MOONS"...that is literally a NickName for City!!!

 
Back
Top Bottom