Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
Na uzuri ni kuwa Pep anajua wazi kwasasa pale juu nyie ndo timu pekee ambayo inaweza mchallenge kwenye title race...so kitaalamu tunasema bado pep hayupo kwenye comfort zone na katika instinct kama hiyo tayari PEP amesha achieve EPL title.Hawa walipigwa 5-0 na Liverpool tena kwake,Man U ndiyo metric yako kama upo sawa?