Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Atletico wanapaki bus hatari ,Hawa haitakiwi kupoteza nafasi kirahisi kabisa ,inatakiwa first leg tumalize mapema ...!Fixture chafu hii, lakini apo INATAKIWA HAO ATLETICO pep amalizane nao kwenye first leg pale etihad then ni kufocus zaidi kwa liver...akifanya hivyo UEFA tunapita na liver anatulizwa vyema tu pale etihad...kwa mfano: Atlet akipigwa goli 3 au 4 yule atletico kwa uchezaji wetu wa kuposses na yeye kupack bus muda wote sion akirudisha hizo goli hata tukienda kule kwao metropolitano.
Mkuu achana. Nao hao ata club ranking europe across all competition this season...CITY BABALAO!
View attachment 2151213
PSG tulikuwa nae kwenye group mzee[emoji28]Baba lao Ulaya kwa kuifunga Leipzig,Club Brugges na Sporting Lisbon?
Mmecheza na nani Ulaya hadi sasa kupata hiyo ranks?
Mm nimempiga Porto,AC Milan,Atletico na Inter Milan
PSG tulikuwa nae kwenye group mzee[emoji28]
1HT hatukuwa vzuri aiseee sub ya foden& Mahrez ndio zimeleta matokeoDah!...huyu laporte fala sana, watu wanapambana kutafuta goli na walivyo wabishi hawa saints...Yeye anajitia kamba huyu jamaa huwa anamakosa ya ajabu akiwa underpressure!
Pep kachez kma pele zile Sub...maana watot walitaka kutuzoea wale...hapo tukipewa palace pia safari hii lazim tuwakalishe.1HT hatukuwa vzuri aiseee sub ya foden& Mahrez ndio zimeleta matokeo