Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Atletico wanapaki bus hatari ,Hawa haitakiwi kupoteza nafasi kirahisi kabisa ,inatakiwa first leg tumalize mapema ...!Fixture chafu hii, lakini apo INATAKIWA HAO ATLETICO pep amalizane nao kwenye first leg pale etihad then ni kufocus zaidi kwa liver...akifanya hivyo UEFA tunapita na liver anatulizwa vyema tu pale etihad...kwa mfano: Atlet akipigwa goli 3 au 4 yule atletico kwa uchezaji wetu wa kuposses na yeye kupack bus muda wote sion akirudisha hizo goli hata tukienda kule kwao metropolitano.
Tukiwaua atletico mapema ,tayari tutakuwa na winning spirit ya hali ya juu Liverpool lazima atateseka Sana akija etihad