The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Fixture chafu hii, lakini apo INATAKIWA HAO ATLETICO pep amalizane nao kwenye first leg pale etihad then ni kufocus zaidi kwa liver...akifanya hivyo UEFA tunapita na liver anatulizwa vyema tu pale etihad...kwa mfano: Atlet akipigwa goli 3 au 4 yule atletico kwa uchezaji wetu wa kuposses na yeye kupack bus muda wote sion akirudisha hizo goli hata tukienda kule kwao metropolitano.
Atletico wanapaki bus hatari ,Hawa haitakiwi kupoteza nafasi kirahisi kabisa ,inatakiwa first leg tumalize mapema ...!

Tukiwaua atletico mapema ,tayari tutakuwa na winning spirit ya hali ya juu Liverpool lazima atateseka Sana akija etihad
 
Atletico ni low block defence na huwa wanashambulia kwa kushitukiza ...Felix ,greizman Hawa ni WA kuaangalia Sana ...


Kingine atletico ni wahuni Sana na ni wataalamu wa technically foul,yaani wanajua kuharibu mbinu kweli kweli ,hawana mfumo zaidi ya huo ...na ukiangalia CL knock out stage ni kucheza na 90min home na 90 min away ....

Lazima tuwafungue ....!
 
Baba lao Ulaya kwa kuifunga Leipzig,Club Brugges na Sporting Lisbon?
Mmecheza na nani Ulaya hadi sasa kupata hiyo ranks?
Mm nimempiga Porto,AC Milan,Atletico na Inter Milan
PSG tulikuwa nae kwenye group mzee[emoji28]
 
Kuna takataka mojaa la hii timu man shityee huwaga linazungusha marinda yake kutafuta bwana.
Liambieni litulie maana sisi hatulagi hayo makitu.
 
ATL watawabandua nje ndani kisha mitatuliza vijambio vyenu ..Nyie teteeni epl achaneni na uefa, siyo saizi yenu.
 
Screenshot_20220319-162156.jpg
 
Dah!...huyu laporte fala sana, watu wanapambana kutafuta goli na walivyo wabishi hawa saints...Yeye anajitia kamba huyu jamaa huwa anamakosa ya ajabu akiwa underpressure!
 
Dah!...huyu laporte fala sana, watu wanapambana kutafuta goli na walivyo wabishi hawa saints...Yeye anajitia kamba huyu jamaa huwa anamakosa ya ajabu akiwa underpressure!
1HT hatukuwa vzuri aiseee sub ya foden& Mahrez ndio zimeleta matokeo
 
Back
Top Bottom