Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Mi nimeelewa hivi.Huu ubingwa mtuachie tu liverpool!...🤣🤣🤣🤣
Aston villa hamtatoka salama
Kwa Aston villa ni laini sana. Mechi ngumu ilikuwa ni West ham.Huu ubingwa mtuachie tu liverpool!...🤣🤣🤣🤣
Kwa Aston villa hamtatoka salama
Aston Villa hawezi niangusha kama WesthamKwa Aston villa ni laini sana. Mechi ngumu ilikuwa ni West ham.
Ubingwa mfululizo
Kwa Aston villa ni laini sana. Mechi ngumu ilikuwa ni West ham.
Ubingwa mfululizo
Unateseka ukiwa WAPI?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha hofu.Goal keeper wetu kaz kuacha goli kuja mbele...bora kupaki kama west walivofanya chaaa...hata after half time uchezaj ni ule ule chaaa ndomana tumepata tulichopata. Inauma
Akishinda haendi.United anakwendaje Conference ikiwa atashinda mechi yake ya mwisho dhidi ya Palace?
Nenda england kawaambieHuyo ni Tony Kroos kabisa kwa 100%, mi ni mshabiki wa Chelsea FC [emoji1]
Kumbe nanyi mwataka Epl msijali baada ya miaka 30 ijayo mtachukua tena,ila sasa wanaume tupo kazini,pamoja na wagonga nyundo kujitahidi kutupunguzia mwendo safari ya mafanikio kamwe hawajaweza kuizuia.Nachukua EPL May 22
Isha chukua FA na Carabao
Pia nachukua UCL
Quadruple baby