The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huu ubingwa mtuachie tu liverpool!...🤣🤣🤣🤣

Kwa Aston villa hamtatoka salama
 
Huu ubingwa mtuachie tu liverpool!...🤣🤣🤣🤣

Aston villa hamtatoka salama
Mi nimeelewa hivi.

Game za mwisho united anasuluhu, Westham anashinda.

Wanalingana points ila magoli ya Westham ni mengi hivyo anaenda nafasi ya sita na united anaenda ya saba.

Conference league.

We hutaki kumuona Ronaldo conference league?
 
Goal keeper wetu kaz kuacha goli kuja mbele...bora kupaki kama west walivofanya chaaa...hata after half time uchezaj ni ule ule chaaa ndomana tumepata tulichopata. Inauma
 
Goal keeper wetu kaz kuacha goli kuja mbele...bora kupaki kama west walivofanya chaaa...hata after half time uchezaj ni ule ule chaaa ndomana tumepata tulichopata. Inauma
Acha hofu.

Kombe lenu hili. Pep kafanya makusudi ili united iende conference league
 
United anakwendaje Conference ikiwa atashinda mechi yake ya mwisho dhidi ya Palace?
 
Table imerudi kama mwanzo ,tumebakisha game moja .....


Tunabeki mbovu ambazo hazijawahi kutokea aisee ,yaani nikimuona frenandihno anacheza RB nabaki nacheka tu[emoji28]


Game na astonvilla sioni ikiwa nyepesi ,villa wako makini Sana ,na kwa beki zetu zileee aloooooo aloooooooooo .....!

Hii ni fainal nyingine tunaenda kucheza na astonvilla .....

Sasa kama tutashindwa kumfunga astonvilla kwenye final....no comment
 
Agueroooo
Capture%2B_2022-05-14-19-35-47.jpg
Capture%2B_2022-05-14-19-36-06.jpg
Capture%2B_2022-05-14-19-35-14.jpg
Capture%2B_2022-05-14-19-34-50.jpg


Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
 
Nachukua EPL May 22
Isha chukua FA na Carabao
Pia nachukua UCL
Quadruple baby
Kumbe nanyi mwataka Epl msijali baada ya miaka 30 ijayo mtachukua tena,ila sasa wanaume tupo kazini,pamoja na wagonga nyundo kujitahidi kutupunguzia mwendo safari ya mafanikio kamwe hawajaweza kuizuia.
 
Back
Top Bottom