Kumbe nanyi mwataka Epl msijali baada ya miaka 30 ijayo mtachukua tena,ila sasa wanaume tupo kazini,pamoja na wagonga nyundo kujitahidi kutupunguzia mwendo safari ya mafanikio kamwe hawajaweza kuizuia.
Nateseka nikiwa top of the table, 4 points clear with goal difference of 7.
Do you have a problem with that?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Manka Babayako, jiheshimu tafadhali.
Huwezi kuniita Manka ingali hujui jinsia yangu.
Mu timu unaenda kuporomoka. Next season you won't reach even top three...Spurs ndio tishio mazee, sio Man City...
...labda hiyo buluu inamvutia, you never know na hawa Chelski.
Comment ya 2009 una reply 2022Ti
Mu timu unaenda kuporomoka. Next season you won't reach even top three
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa mankaManka Babayako, jiheshimu tafadhali.
Huwezi kuniita Manka ingali hujui jinsia yangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa manka
2022/2023 ..!View attachment 2228704
Haaland will be a big flopper in EPL history
Haaland will be a big flopper in EPL history