Yule kalabai koloboi ndo amkabe haaland?Uoni usajili tulofanya? Mtu kaa halaand anaweza kupita kwenye ukuta wa Chelsea,? Labda atingishe wowowo akina Fofana na Silva wamsaau..πππ
Mnasajili mabeki tu ,kwa hiyo hamna mpango wa kufunga magoli msimu huu[emoji23][emoji23]Uoni usajili tulofanya? Mtu kaa halaand anaweza kupita kwenye ukuta wa Chelsea,? Labda atingishe wowowo akina Fofana na Silva wamsaau..[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mwamba nafurahi sana kabaki
Huyu mjamaaa ataishiaga tu kusumbua EPL ..UEFA Hana chake Zama zake zimeshapita.
Msimu huu hamtaamini....this is cityyyyyHuyu mjamaaa ataishiaga tu kusumbua EPL ..UEFA Hana chake Zama zake zimeshapita.
Koulibaliy atamdaka HalaandNyie matakataka saivi hamuyiogopi Chelsea??
Fofana Anaburuzwa na MartinelUoni usajili tulofanya? Mtu kaa halaand anaweza kupita kwenye ukuta wa Chelsea,? Labda atingishe wowowo akina Fofana na Silva wamsaau..[emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri iyo game city vs Chelsea ndio mutajua sisi Ni Nani..Koulibaliy atamdaka Halaand
Martinel yule takataka wa arse8?? Hamna mtu pale...muchezaji wa mechi moja tu yuleFofana Anaburuzwa na Martinel
Steven g anahangaika asije kufukuzwa kazi maana matokeo game za nyuma zote sio mazuri na sio kwamba wanacheza vibaya hapana ila hawapati kabisa matokeo ...Game ya Leo binafsi naona tunaweza kupata wakati mgumu sana licha ya kwamba Aston villa wamekua na matokeo mabovu ya mfululizo lakini kwa mechi ya Leo huenda jamaa watakamia...hats msimu uliopita tuliwafunga kwa mbinde
CL tunaenda kuchukua simple kabisa msimu huu [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mjamaaa ataishiaga tu kusumbua EPL ..UEFA Hana chake Zama zake zimeshapita.
Cha muhimu ule ugonjwa wetu wa kuvuja nyuma usiwepo maana sio kila game inawezekana kwa comeback asee na nafikiri akanji kuna kitu atatu offer pale nyumaSteven g anahangaika asije kufukuzwa kazi maana matokeo game za nyuma zote sio mazuri na sio kwamba wanacheza vibaya hapana ila hawapati kabisa matokeo ...
Game ya Leo itakuwa ngumu ,ila tukianza kwa high energy,pressing na uhakika villa wataachia point 3 wenyewe ...
Hii game haitakuwa rahisi kabisa ,tukimchapa villa basi Steve g atakuwa hatarin kutimuliwa ...
Aisee Leo villa watakuwa wagumu kweli kweli ,inatakiwa utulivu na akili kuwafungua Kama tulivowafanya westham, uzuri huwa wanafunguka hawakai nyuma hovyo hovyo .....,Cha muhimu ule ugonjwa wetu wa kuvuja nyuma usiwepo maana sio kila game inawezekana kwa comeback asee na nafikiri akanji kuna kitu atatu offer pale nyuma