The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Uoni usajili tulofanya? Mtu kaa halaand anaweza kupita kwenye ukuta wa Chelsea,? Labda atingishe wowowo akina Fofana na Silva wamsaau..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnasajili mabeki tu ,kwa hiyo hamna mpango wa kufunga magoli msimu huu[emoji23][emoji23]

Halafu nikwambie ,hakuna beki yeyote wa kuweza kumzuia haaland ,anakuja kuwaharibu hao kina Silva wa mchongo ...
 
.
mancity-20220903-0005.jpg
 
Game ya Leo binafsi naona tunaweza kupata wakati mgumu sana licha ya kwamba Aston villa wamekua na matokeo mabovu ya mfululizo lakini kwa mechi ya Leo huenda jamaa watakamia...hats msimu uliopita tuliwafunga kwa mbinde
 
Uoni usajili tulofanya? Mtu kaa halaand anaweza kupita kwenye ukuta wa Chelsea,? Labda atingishe wowowo akina Fofana na Silva wamsaau..[emoji23][emoji23][emoji23]
Fofana Anaburuzwa na Martinel
 
Game ya Leo binafsi naona tunaweza kupata wakati mgumu sana licha ya kwamba Aston villa wamekua na matokeo mabovu ya mfululizo lakini kwa mechi ya Leo huenda jamaa watakamia...hats msimu uliopita tuliwafunga kwa mbinde
Steven g anahangaika asije kufukuzwa kazi maana matokeo game za nyuma zote sio mazuri na sio kwamba wanacheza vibaya hapana ila hawapati kabisa matokeo ...

Game ya Leo itakuwa ngumu ,ila tukianza kwa high energy,pressing na uhakika villa wataachia point 3 wenyewe ...

Hii game haitakuwa rahisi kabisa ,tukimchapa villa basi Steve g atakuwa hatarin kutimuliwa ...
 
Cha muhimu ule ugonjwa wetu wa kuvuja nyuma usiwepo maana sio kila game inawezekana kwa comeback asee na nafikiri akanji kuna kitu atatu offer pale nyuma
 
Aisee Leo villa watakuwa wagumu kweli kweli ,inatakiwa utulivu na akili kuwafungua Kama tulivowafanya westham, uzuri huwa wanafunguka hawakai nyuma hovyo hovyo .....,
 
Back
Top Bottom