Vibanduliwa fc kazi kugawa gawa tu hivi hamuchoki kubanduliwa? Hehehe after wedi kapu vichapo ni palepaleninyi ni matakataka hamuna timu.
Nyukasito kawagonga mpaka mmevurugwa hamjui Cha kufanya [emoji23][emoji23][emoji23]ninyi ni matakataka hamuna timu.
Bado kuna timu inamtaka haaland kwa mkopo kwa kipind hiki ambacho atakuwa hachezi .....hako ka timu ni ka uingereza league 1 maana wao watakuwa wanaendelea [emoji23][emoji23][emoji23]Ila kiukweli hii ratiba ya world cup haitakuwa rafiki kwa vilabu Vingi pale ulaya na city naona tutakuwa kwenye hilo kundi....
Wachezaji wetu wengi mataifa yao yana probability kubwa ya kuvuka makundi
Kevin de bruyne (Belgium)
Joao cancelo,Bernardo Silva,Ruben Diaz ( Portugal)
Jack grielish,kyle walker( huyu bado ni majeruhi),john stones,kalvin Phillips, Phil foden (england)
Alvarez (Argentina japo sidhani kama atatumika sana)
Laporte,rodri(Spain)
Akanji(Switzerland)
Ake(Netherland)
Ederson( Brazil ila atasugua)
Gundogan (germany)
Iwapo hizo timu zitafika mbali basi tujiandae kisaikolojia maana wachezaji watachoka ukizingatia baada ya michuano kuisha tunaunga moja kwa moja carabao kwaiyo hapa tutakua na mtihani haswaa
Gari ishawaka,haizimiOna sasa......timu lako ni LA hovyo hadi kushinda mechi tatu mfululizo yamekua mapambio hehehehehe.........timu lishazoea kupakatwa tu ......vipakatwa fc
Matumaini fc hehehehehe mkalitibu kwanza lile takataka lenu li keyita lipone kaswende ndio uje upige mapambio humuGari ishawaka,haizimi
Mtateseka sana mwaka huuMatumaini fc hehehehehe mkalitibu kwanza lile takataka lenu li keyita lipone kaswende ndio uje upige mapambio humu
Hamna jipya na subirini carabao tuwafyatue si mnatuelewa vizuri huwa hatutaki mchezo
Tuliza makalio wewe kibwengo ,unakatiza na kanga Moko imelowa kwenye geto la wanaume eeehZifahamu tabia za thread za timu mbalimbali.
1. Manchester United hawa mashabiki wao asilimia kubwa wanaongelea usajili wa mchezaji fulani ukifanyika basi timu yao itakuwa bora. Hii ni trend toka aondoke Ferguson. Bahati mbaya wamesajili sana makocha na wachezaji lakini msiba haujaisha.
2. Manchester city wao ni mashabiki oyaoya, hawaujui mpira bali ni kelele nyingi kwasababu Guardiola anawapa mafanikio. Wengi wao ni wahanga kutoka klabu mbalimbali ambazo hazifanyi vizuri.
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa uchambuzi wa mpira unaochezwa ndani ya uwanja. Wataalamu wote wa uchambuzi wa soka wapo pale. Pia ndio wanaongoza kupokea kejeli kutokana na kutofanya vizuri kwa misimu mingi ikiwemo kutobeba UCL wala Europa.
4. Chelsea wao thread yao imepambwa na malalamiko. Jamaa kila siku wako na lalamiko jipya. Kwa miaka kumi wamebeba karibu makombe yote makubwa lakini malalamiko hayaishi. Watamlaumu kocha, mmiliki, usajili m-bovu na hata timu pinzani.
5. Liverpool kwenye uzi wao utakuta wanaandika komenti ndefu sana lakini hamna cha maana zaidi ya kuwaongelea FSG, kiburi cha Klopp na majeruhi ya wachezaji. Wachambuzi wao wanapenda pia kutumia viingereza na huwa wanapotea kila timu inapofungwa na kurudi wakishinda.